tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mchaga

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie. Natanguliza shukrani zangu. BAADHI YA MAJIBU YALIYOTOLEWA NA WADAU: === === === ===
  2. zomba

    JamiiForums Tanzania Asili ya jina Tanzania na mwasisi wake: Mohammed Iqbal Dar

    Jee ni kweli Mohamed Iqbal Dar, mwenye asili ya kihindi, aliyekuwa akiishi Tanga, mnamo mwaka 1964 ndiye aliipa nchi yetu jina zuri la "Tanzania". Kama ni kweli huyu mtu yuko wapi kwa sasa? Na serikali yetu inaweka kumbu-kumbu gani za kihistoria kwa huyu mtu kwa vizazi vijavyo? ili vipate...
  3. BAK

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa CIS: Serikali ya Tanzania yaanza kuajiri kampuni binafsi ili kukusanya madeni ya wadai 916 ikiwemo wafanyabiashara

    Wakuu, Baada ya oparesheni dhidi ya ufisadi katika BoT, Serikali sasa inaelekeza juhudi kwenye kashfa ya Import Support Scheme, ambako yen Bilioni 16.6 (takriban shilingi bilioni 180) zilitoweka. Wizara ya Fedha imeamua kuajiri kampuni binafsi za ukusanyaji madeni ili kuwadai wadaiwa 916...
Back
Top Bottom