Rais Magufuli ampa maagizo Mmarekani: Kawaambie wenzako Tanzania imeweza kwa nguvu ya Mungu

Status
Not open for further replies.

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,239
113,612
Mapema leo Rais Magufuli akizungumza na TAG, alimwaga kimombo kwa Mmarekani aliyekuwepo ukumbini akimpa ujumbe wa kuupeleka kwao huko Marekani.

Siku za hivi karibuni wale waliokuwa wanayatumia hayo mafua ya Corona kama silaha ya kisiasa dhidi ya Rais Magufuli, siku hizi wamekuwa wapole sana. Wamekuwa kimya kabisa.

Hata ukiwaona hadharani, hamna hata mmoja wao anayevaa barakoa. Hakuna hata mmoja wao anayeacha nafasi kati yake na wengine.

Hata wale ‘critics’ wa humu nao kimya. Halafu hawa ‘critics’ wa humu ni wanafiki ile mbaya.

Walikuwa ni wepesi sana wa kumkosoa Rais Magufuli kuhusu Corona.

Lakini ikija kwa mungu wao Lissu na anavyozikiuka hizo taratibu za kujikinga na Corona, wanakuwa kimya kama maji ya mtungini.

Wameishiwa. Wamefilisika ki-hoja. Wamebaki kurusha matusi hewani tu.

Haya hebu msikilize hapa Rais Magufuli akimwaga umombo mithili ya Sir Winston Churchill 😉.

 
Wamarekani? Yani wajadili kauli ya Magu juu ya Mungu.

Rais Magufuli kutembea na kipaza sauti chake kwenye Madhabahu yetu ni kutukosea Heshima, sisi TAG si Wauaji.
 
JPM amewaweza. Ndio maana kazi waliyonayo sasa ni kuhamisha mmagoli.Corona imewaaibisha wengi wanaojifanya kujua kila kitu ulimwengu huu
 
Utajibizana na ujinga. Jamaa wetu wa Ilboru amefariki last weekend Arusha kwa Corona! Sasa imeishaje wakati Kenya inaongezeka na ni masaa matatu tu mpaka Arusha🤣. Au Mungu kaweka mipaka yaani tumekuwa mbumbumbu😂😂
 
Utajibizana na ujinga. Jamaa wetu wa Ilboru amefariki last weekend Arusha kwa Corona! Sasa imeishaje wakati Kenya inaongezeka na ni masaa materu Tu mpaka Arusha🤣. Au Mungu kaweka mipaka yaani tumekuwa mbumbumbu😂😂
Una uhakika kafa kwa Corona?
 
Aisee,
Kumbe balozi wa marekani nchini nae alikuwepo kwenye mkutano wa TAG
 
Angekuwa na Nguvu ya Mungu asingekuwa anatembea na ile Mitutu na Kuzungukwa na Ma Askari na kutembea na Ambulance, Helcopter etc.
Huyo mungu aliyemtaja sio Mungu wa Ibrahimu na Yacob, Mungu aliye hai
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom