Mlitudharau na Kutupuuza sana pale tuliposhauri kwa nia njema tu kuwa 'Mwamba' asirejee sasa nchini Tanzania

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,528
108,808
Nilipoona tu Umati ule umeachiwa huru 'Kutawala' na 'Kujimwambafai' katika Mapokezi yake pale Kiwalani International Airport na Watu ambao siku zote huwa ni 'Maadui' zao na pia nilipoona tu bado wameendelea 'Kunyamaziwa' katika 'Kuagwa' kwa 'Mwamba wa Kimawakuwa' pale Freedom National Stadium nilijua tu kuwa kuna Maandalizi 'Kabambe' ya 'Kuwamaliza' na 'Kuwakomoa' yalikuwa yanakuja na tayari yameshaanza.

Kama hivi tu Timu bado inapasha Moto Viungo vyake kujiandaa na Mechi imeshaanza 'Kukomolewa' je, vipi Mechi ikianza rasmi Wiki kadhaa zijazo?
 
Ni Mpuuzi Mmoja so called igo Sirii Andakava kutoka Upelezi wa ndani ndio ameleta shobo kwa makamanda huyo dogo aliyepona ilitakiwa akate MOTO ili iwe fundisho kwa vijana wengine kutumwa na WAPUUZI kwa maslahi yao kisiasa.
 
Ingependeza
 
Nilipoona tu Umati ule umeachiwa huru 'Kutawala' na 'Kujimwambafai' katika Mapokezi yake pale Kiwalani International Airport na Watu ambao siku zote huwa ni 'Maadui' zao na pia nilipoona tu bado wameendelea 'Kunyamaziwa' katika 'Kuagwa' kwa 'Mwamba wa Kimawakuwa' pale Freedom National Stadium nilijua tu kuwa kuna Maandalizi 'Kabambe' ya 'Kuwamaliza' na 'Kuwakomoa' yalikuwa yanakuja na tayari yameshaanza.

Kama hivi tu Timu bado inapasha Moto Viungo vyake kujiandaa na Mechi imeshaanza 'Kukomolewa' je, vipi Mechi ikianza rasmi Wiki kadhaa zijazo?
Maneno yako wakati mara nyingi huwa kama yalivyotoka kwako. Hata mwezi haujaisha kila ulichosema kiko wazi sasa. Ila sijui sababu ya ukatili huu ni ipi?
 
Back
Top Bottom