Enyi wana-CHADEMA na wapenda haki wote Tanzania tumieni simu zenu kama silaha

lee van cliff

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,670
2,000
Kwa wewe Mtanzania mpenda Haki popote ulipo Itumie hiyo simu yako Kama silaha.

Natambua simu nyingi Zina kamera,tumieni kamera hizo wakati wote kurekodi tukio lolote lenye kunyima Haki,uonevu,dhuluma ama kitendo chochote chenye uvunjifu wa amani kipindi hiki Cha Uchaguzi Mkuu.
Kuweni waangalifu mnapotumia silaha hii.

Ili kuwumbua wezi wa maboksi ya kura,kuingiza kura bandia,vituo bandia,uonevu,unyanayasaji na kila Aina ya hujuma Dhidi ya wagombea wetu.

Silaha hii inaogopwa Sana na wazandiki kuliko bunduki .
 
kantasundwa

JF-Expert Member
May 25, 2020
1,557

Naunga mkono hoja kwa
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
40,193

Wazo zuri sana, tena inabidi tuambiane kabisa na platform ya kuhamia iwapo jf itavamiwa kama uchaguzi uliopita.
 
Mhujumu Uchumi

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,458
2,000
Kwa wewe Mtanzania mpenda Haki popote ulipo Itumie hiyo simu yako Kama silaha.

Natambua simu nyingi Zina kamera,tumieni kamera hizo wakati wote kurekodi tukio lolote lenye kunyima Haki,uonevu,dhuluma ama kitendo chochote chenye uvunjifu wa amani kipindi hiki Cha Uchaguzi Mkuu.
Kuweni waangalifu mnapotumia silaha hii.

Ili kuwumbua wezi wa maboksi ya kura,kuingiza kura bandia,vituo bandia,uonevu,unyanayasaji na kila Aina ya hujuma Dhidi ya wagombea wetu.

Silaha hii inaogopwa Sana na wazandiki kuliko bunduki .
Kwenye hilo tupo makini sana, sio simu tu, devices kibao zitatumika kurekodi na kuweka kumbukumbu.
 
msege

JF-Expert Member
May 21, 2016
336
250
Kwa wewe Mtanzania mpenda Haki popote ulipo Itumie hiyo simu yako Kama silaha.

Natambua simu nyingi Zina kamera,tumieni kamera hizo wakati wote kurekodi tukio lolote lenye kunyima Haki,uonevu,dhuluma ama kitendo chochote chenye uvunjifu wa amani kipindi hiki Cha Uchaguzi Mkuu.
Kuweni waangalifu mnapotumia silaha hii.

Ili kuwumbua wezi wa maboksi ya kura,kuingiza kura bandia,vituo bandia,uonevu,unyanayasaji na kila Aina ya hujuma Dhidi ya wagombea wetu.

Silaha hii inaogopwa Sana na wazandiki kuliko bunduki .

Zile video zote zilizorekodiwa 2015 ili kupelekwa the Court of Justice, The Hague ziliishia wapi?

Hamchoki kutumia mbinu za zamani tena zilizofeli?

Mfano,
1. mbinu ya ukosoaji inayotumika sasa hivi imetumika tangu 1992 haijawahi kuleta mafanikio
2. Mbinu ya kuwajengea watanzania kuichukia CCM iliyotumika miaka 25 iliyopita pia haijawahi kufanikisha adhima hiyo
3. Mbinu ya vitisho kama vile jino kwa jino, ng’ang’ari na ngunguri pili zilifeli. 2015 Chadema kwenye mkutano wake pale Tanganyika Parker’s Lisu aliahidi kutokubali matokeo na kuwa angehamasisha maandamano ya kumtoa JK magogoni kwa nguvu, mbinu hii nayo ilifeli

KWANINI HATUJIFUNZI NA KUBADILI MBINU ZA UPINZANI?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom