Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Habari wana JF,
Siku zote nimekuwa nikijiuliza jambo moja hapa Tz kwanini Ma Profesa, Wahandisi na wataalamu wabobezi kwenye fani mbalimbali wanaamua kuzipa kisogo fani zao na kukimbilia kwenye siasa hasa ubunge?
Sasa leo Kisalala mbunge wa jimbo la Sumve amenipatia jibu. Wanafuata maslahi...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania;
Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?
Mbali na D.R.C nchi yetu ya Tanzania pia imepakana na...
Nimeonelea nilete hii mada kwa mara ya pili.
Maelezo kwa mtumiaji ni muhimu sana hasa kwa vitu kama dawa. Sasa unakuta bidhaa inauzwa Tanzania na nyingine inatengenezwa hapahapa lakini inakuwa na maelezo ya Kiingereza, Kifaransa, kiarabu na lugha zingine lakini si Kiswahili.
Watumiaji wengi wa...
Habarini.
Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri.
Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi.
Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila mpenda Sebene analazimika kumsalimia Diamond “Shikamoo ” Hata Kama Umemzidi Umri
Kenya is the second most innovative in sub-Saharan Africa, behind South Africa and ahead of Mauritius, according to the World Intellectual Property Organisation’s Global Innovation Index 2019.
Ease of doing business ranking (EAST AFRICA)
1. Kenya — Rank 56
2. Uganda — Rank 116
3. Tanzania —...
ninalazimika kuanzisha huu Uzi baada ya kupoteza muda wangu kudownload App ya dogo mmoja wa kitanzania inaitwa ILAPESA
nikili dogo kaja na wazo zuri lakini namna alivyoharakisha kutengeneza app yake inawafanya walioidownload waache kuitumia au waifute kabisa kama nilivyofanya mimi
App iko...
ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu.
Tumetoka katika uchaguzi uliofanyika tarehe 28 ya mwezi Oktoba, uchaguzi ambao ulitawaliwa na uchafuzi mkubwa...
Sina muda wa kuandika magazeti.
Bara kuna kundi limechukua pesa ili wasaliti wenzao waende bungeni. Bado mna imani nao? Kutokana na figisu za uchaguzi bado una imani na siasa?
Visiwani Kulikua na vurugu kuliko bara. Mara uchaguzi tar 27 mara tar 28 changanya na kura fake sijui watu kupiga na...
Miradi na mikakati ya miradi hii iliyofeli ndani ya miaka kumi ni kielelezo tosha kwamba hatutaendelea Kama tusipoamua kujitathimini na kusimamia mambo machache.
1. Tulitumia fedha nyingi sana kwenye agenda ya Big result Now, tukanunua trektaa na vitendea kazi vingi lakini leo hii hatusikii big...
Wakuu amani iwe nanyi,
Jana Mh Rais ameteua Baraza la Mawaziri na miongoni wa Mawaziri walioteuliwa ni aliyekuwa Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania Mr Geoffrey Mwambe.
Geofrey Mwambe amekuwa mkutugenzi wa TIC kwa kipindi cha miaka mitatu na katika kipindi hicho Mr Mwambe alichemka...
Kuna watu wenye maoni tofauti kuhusu hali ya kiuchumi ya Tanzania. Kuna wanaofikiri kwamba uchumi wetu kama taifa unayumba na kuna ambao wanasema kwamba uchumi unakua. Katika hali ya kawaida kabisa ni lazima kila anayetoa hoja awe na sababu za msingi na ambazo zitahakikisha kwamba hoja...
Mashindano ya taji la Miss Tanzania kwa mwaka 2020 yamefika tamati leo tarehe 5/12/2020 na Mshindi wake kutangazwa kutokana na maoni ya majaji na wapiga kura. Jina lake anaitwa Rose Manfere na namba yake ya ushiriki ilikuwa ni namba 14. Huyu ndiye ataiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya...
First Class Africa (FCA) is the premier provider of African experience. At First Class Africa, we are a vibrant team who imagine and do things differently. We have re-imagined the African tourism and hospitality delivery model and are now seeking a highly regarded hands on General Manager to...
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Dorothy Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI -...
Wanabodi,
Kila mara nasisitiza humu, uongo ukisemwa sana, na kuachwa kujirudia rudia bila kukanushwa, mwishowe uongo huo hugeuka ukweli. Na uongo ambao ni uongo mtupu, ukisemwa kuwa kitu fulani kitatokea, tusipo kanusha uongo huo, halafu hicho kitu kikaja kutokea kweli, then, kufuatia kuanuni...
Inafahamika kuwa Tanzania imekuwa na kipindi imara cha ukuaji wa kiuchumi katika muongo mmoja uliopita. Hii imesaidia nchi hii kuwa yenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi katika eneo la Afrika Mashariki na pia katika Bara la Afrika.
Kulingana na utafiti wa Taasisi ya Legatum ya nchini Uingereza...
Kuna email inasambaa mtandaoni ya kuogopesha. Tunavuliwa nguo uchi.
Hebu soma huu waraka. Wawekezaji wanavyotuchukulia. Kwa mtindo huu, Tanzania inazama
TANZANIA KUWA MOJA YA WAZALISHAJI MUHIMU WA GESI YA HELLIUM DUNIANI
Gesi ya hellium ni moja ya gesi adimu kabisa hapa duniani, ni gesi yenye sifa ya kipekee kabisa, ambayo inaifanya gesi hiyo kuwa na umuhimu mkubwa kabisa katika matumizi mbalimbali hapa duniani
Moja ya sifa kubwa...
By Polycarp Auta
Jos, Dec. 2, 2020 A 45-man contingent of Plateau United FC of Jos has departed for Dar Es Salaam to face Simba SC of Tanzania.
This is for the return leg of the first round of the preliminary fixtures of the CAF Champions League on Sunday.
Mr Albert Dakup, the club’s Media...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.