App developer wa Tanzania kuweni serious basi

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,024
16,495
ninalazimika kuanzisha huu Uzi baada ya kupoteza muda wangu kudownload App ya dogo mmoja wa kitanzania inaitwa ILAPESA

nikili dogo kaja na wazo zuri lakini namna alivyoharakisha kutengeneza app yake inawafanya walioidownload waache kuitumia au waifute kabisa kama nilivyofanya mimi

App iko slow sana sijawahi ona,hivi mtu anakuwa anawahi nini kuingiza app playstore au Appstore wakati anaona kuna feutures hazijawa tayari
 
Mhh hyo app haifany kazi kabisa
 
Back
Top Bottom