tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani vijenge hoja kwa wafadhili zile Tsh. Trilioni 2 za sharti la kuwepo wapinzani Bungeni, ziletwe kujenga Upinzani Tanzania

    Nawashauri CHADEMA watumie mwanya huu kujenga hoja kuwa zile trilioni 2 ambazo zingeliletwa Tanzania kwa sharti la kuwepo wapinzani Bungeni, basi wapewe wapinzani wajenge vyama vyao. Najua ni ngumu, lakini hakuna lisilowezekana, inategemea unasimamiaje hoja yako. Kwa haya yanayoendelea...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

    Serikali ya Marekani kupitia Taasisi ya Centre for Desease Control ama CDC imetoa onyo kwa raia wa Nchi hiyo kuchukua tahadhari ya kutembelea Tanzania kwani kuna uwezekano mkubwa wa kuambukizwa corona. CDC imesisitiza kuwa watu waepuke kwa gharama zozote kutembelea Tanzania na kama ikitokea...
  3. battawi

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji UKAWA sasa kuliko miaka ile ya nyuma

    Huenda CCM ikadhani kuwa mchezo walioufanya mwaka huu katika uchaguzi ni kwa manufaa kwao tuu. Laa mimi sioni hivyo,bali ni wa manufaa kwa vyama vya upinzani vyote nchini. CCM imejipambanua kuwa haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, ni nani alitarajia kuwa Mdee ange bebwa na CCM kutumika...
  4. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ilipigania uhuru wake. Tanzania ilipewa uhuru bure na Mbeberu

    Watanzania huwa wana kiburi ya hali ya juu sana maana wanaamini kuwa wao ndio waliikomboa Afrika kutoka kwa Mabeberu. Ukiona waziri wao akifoka jinsi waliikomboa Afrika hadi mate inamtoka mdomoni na mishipa kuvimba kichwani ndio utajua kwamba hii propaganda ya CCM ni nzito sana. Ukweli wa...
  5. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Authoritarianism wins big in Tanzania amid bloodshed and vote rigging

    Tanzania’s experience points to how a fully empowered autocrat can demolish a country’s constitutional system. SOPHIE NEIMAN Nov 30 When veteran opposition leader Tundu Lissu returned to Tanzania in August, after three years in exile and with a daring plan to challenge incumbent John Magufuli...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Maamuzi mengi katika Mihimili ya Uongozi Tanzania yanatolewa kufuata hisia za mtu na sio ushahidi (facts) au Sheria

    Hili ni tatizo kubwa sana Tanzania, na huwa naliona katika mihimili mitatu ya usimamizi wa nchi, kuanzia Raisi, Spika, Mwanasheria Mkuu na hata mahakimu katika mahakama zetu! Viongoi wetu wamefika mahali wanavunja Katiba, Sheria au Taratibu zinazokubalika kwa ulevi tu wa hisia zao binafsi. Na...
  7. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania TANGAZA UTALII TANZANIA: ATCL na TANAPA wana nini cha kuwapa wanafunzi 10 (bora) waliofanya vizuri Darasa la Saba 2020?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Wiki moja baada ya kutangazwa matokeo, shirika la ndege la ATCL pamoja na mamlaka ya hifadhi ya TANAPA ina nini cha kuwapa wanafunzi 10 bora (waliofanya vizuri) katika mitihani ya darasa la saba kwa mwaka...
  8. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Tanzania kuhusu COVID - 19 washabihiana na misimamo ya sasa ya wanasayansi wengi duniani

    Rais wetu aliyajua haya mapema. Hebu msikilize Prof. Sucharit Bhakdi anachokisema. He is a distinguished professor of Microbiology and Infectious Diseases.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Madudu yanayofanywa na uongozi wa riadha Tanzania

    Kwanza niwape pole kwa mnayoyapitia tangu mwaka 2016 baada ya kuingia uongozi mpya kwenye Shirikisho la Riadha. Ninafahamu walio wengi hawatafahamu nini kinachoendelea ndani ya Riadha Tanzania kwani wengi wamejikita kwenye michezo mingine. Ni hivi, tangu aingie madarakani Rais wa Riadha...
  10. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Tanzania ifanye nini kuvuna faida za Huduma ya Afya kwa njia ya mtandao?

    Katika miaka ya hivi karibuni, mapinduzi ya teknolojia za kidijitali yamekuwa mengi. Hii imezipa nchi nyingi faida bunifu za kupambana na changamoto mbalimbali.Mfano wa faida hizo ni huduma za afya kwa njia ya mtandao (m-health). Kwa watoa huduma za afya wengi, m-health imeleta njia mpya za...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mungu likumbuke Taifa la Tanzania wakumbuke Watanzania wanyonge kwa matajiri

    Mungu tunatubu kama kuna mahali tumekukosea sisi watanzania au tumewakosea wazee wetu waliokwisha tangulia mbele ya haki. Mungu usiposhuka nakuliongoza Taifa hili miaka mitano tena hatujuwi Nani atatuongoza. Mungu unajuwa yalio sirini na yalio sio yasirini. Funua ya sirini uliponye Taifa funua...
  12. Evody kamgisha

    JamiiForums Tanzania Bahati nasibu ya kuhamia Marekani, Tanzania tulishafunguliwa na Marekani?

    Tulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani. Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo. Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S. Naomba kujua. kuna gharama zinazotumika unapokuwa unaaply Je valid passport inahitajika? Na...
  13. MissM4C

    JamiiForums Tanzania Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

    Wakuu mnamkumbuka bwana mdogo Rashid Charles Mberesero, Mpare, aliyekuwa moja wa masterminder wa shambulio la Garisa University na kuua 148, amejinyonga Gerezani leo Mapambano mema na kaburi na Je, Sheria inasemaje? Atarudishwa Upareni na Seriakli ya Kenya? --- One of the three people who...
  14. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nunua gari ambayo hujawahi kuona Tanzania

    Toyota Landcruiser (Unique car) Make TOYOTA Model FJ Cruiser Engine size (cc) 4000 Fuel Petrol Color Silver 70,000,000
  15. Bowie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kuipita Kenya kiuchumi

    Professor of wa chuo maarufu nchini Kenya katika mahojiano na kituo cha television cha Citizen amesema baada ya miradi ya Standard Gauge Train na Mwalimu Nyerere Hydro Power Project vikikamilika uchumi wa Tanzania utapanda na kuzidi uchumi wa Kenya.
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Ally awakaribisha ndani ya CCM Halima Mdee na wenzake

    Dkt. Bashiru ametoa kauli hiyo wakati akifungua mkutano wa Kamati za Jumuiya za Chama hicho uliofanyika leo jijini Dodoma ambapo amesema kuwa, vyama vya upinzani vilikuwa na wagombea wengi wanawake majimboni na walikuwa na ushawishi mkubwa. ''Upinzani walikuwa na wakinamama wenye ushawishi sana...
  17. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwanini tanzania hatuna apps store yetu?

    Ingependeza tuwe na sehemu ambako unazikuta app za kitanzania kwa wingi. Maana sehemu kama playstore ni vurugu tupu. App za kila aina. Pia tukiwa na apps store yetu ni rahisi kuweka vitu kama malipo kwa mazingira yetu. Kwanini hatuna apps store yetu?
  18. ibradebo

    JamiiForums Tanzania Tozo ya kodi posta Tanzania unapoagiza bidhaa kutoka Aliexpress China

    Nimekuwa nikiagiza bidhaa nyingi kutoka Aliexpress, na mara zote nimekuwa nikitozwa kodi kubwa na posta ninapoenda kuchukua mzigo zaidi ya bidhaa bei ninazoagiza. Nataka kujua kwa wenzangu ambao mnaagiza kama nyie mnatozwa hivyo au mimi nakosea sehemu! Mnielekeze nifanyaje ili kupunguza kodi.
  19. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Makala Niliyosoma: Tanzania inavyotaka kuingia kwenye chumba kinachokimbiwa na Wakenya

    Katika agenda tisa zilizosababisha kuundwa kwa tume ya kusaka maoni ya maridhiano, mradi ukipewa jina la Mpango wa Kujenga Daraja, yaani Building Bridge Initiative (BBI) Kenya, nyingi zinaihusu na Tanzania, lakini ipo kubwa zaidi. Moja ya agenda ambazo zilibebwa ili kuzitafutia ufumbuzi ni...
  20. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Chama tawala na Wapinzani Tanzania siasa zenu zinayumbisha Wananchi

    Wakuu, Haya ni maoni binafsi kuhusiana na mienendo ya siasa za Tanzania. 1. Chama tawala-mmepewa dhamana ya kuongoza watu wa imani, itikadi, rangi, kabila zote bila kujali nafasi ya kiuchumi, kiuongozi, kiusalama, kiafya na kijinsia ili wajikwamue kutokana na lindi la umasikini ambaye ni adui...
Back
Top Bottom