tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni amteua mwanaye kuwa Kamanda wa Kikosi Maalum cha Jeshi kinachomlinda

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemteua mwanawe wa kiume Lt Gen Muhoozi Kainerugaba kuwa kamanda wa kikosi maalum cha jeshi SFC. Muhoozi, mwenye umri wa miaka 46, pia ni mshauri maalum war ais, nafasi ambayo aliteuliwa mwaka 2017. Uteuzi huo unafuatia mabadiliko ambayo rais Museveni amefanya...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tafakuri Jadidi: Fukuto la Kongo, Kabila (Baba) alimwandaa Mwanaye Joseph tangu Kunduchi Mtongani, Tanzania

    Kwanini Kongo- Kinshasa Kunafukuta? - Ubia wa Kabila na Tchisekedi u-mashakani - Kuilewa Kongo- Kinshasa Lazima Uumize Kichwa - Kabila ( Baba) alimwandaa Mwanawe Joseph tangu Kunduchi Mtongani, Tanzania. Ndugu zangu, Mwezi Januari mwaka jana niliandaa mfululizo wa makala kuhusu Kongo-...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutoa pesa Neteller and Skrill to Tanzania mobile networks

    Habarin wana jamii forum nina pesa zangu zipo huko neteller ni dollar kadhaa na nina shida nazo nataka nizitoe fasta shida ni kwamba kwa tanzania ni only to bank hakuna mobile network. Na ubaya ni kwamba njia ya benk pesa inachukua mda mrefu kufika na pia makato ni makubwa kulinganisha na simu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania International Democratic Union yatoa maazimio kuhusu Tanzania

    Having regard to credible reports by multiple sources on the ill-treatment, intimidation, violence directed against CHADEMA leaders, candidates and members before, during and after the October 28th, 2020 generalelections; to the systematic and coordinated disqualification of its candidates...
  5. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Patel’s death robs Tanzania of sixth tycoon in just two years

    The demise of Subhash Patel yesterday is another blow for Tanzania, which has so far lost a total of six tycoons in just two years Tanzanians woke up yesterday to news of Mr Patel’s death, who was until his passing on the chairman of the Confederation of Tanzania Industry (CTI) and board...
  6. yuda75

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania One wako wapi, wale walioongoza kitaifa Form Six na Form Four?

    Wako wapi vijana waliojichukulia ujiko wa zawadi na headlines magazetini na vyombo vya habari wako wapi kaka zetu na dada zetu waliotesa kwa ufaulu wa kutisha? Wako wapi jamani? Tusaidiane. Je, wapo chimbo wanajifua kuvunja record zao wenyewe? Je, wako wanasoma na kujiendelezakimataifa? Je...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Siasa za Umeme: Kwa vile Umeme wa Stigler's utatosha na ziada kuuza nje. Je, TANESCO kusaini PPA mpya 6 toka kwa 6 IPPs, sio ufisadi mpya wa kisasa?

    Wanabodi, Kwa vile hii ni mada technical, yaani ni mada ya kitaalam, naomba kuanza bandiko hili kwa elimu kidogo kwa members wenzangu ambao sio wataalam wa mambo ya power na energy. Watu wanadhani siasa ni kusimama tuu majukwaani na kupiga domo, issues yoyote yenye impact kubwa kwa taifa ni...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania China kuisaidia Tanzania ujenzi wa SGR na mradi wa umeme Mto Rufiji

    China imesema itaangalia namna ya kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (standard gauge railway) na bwawa la kuzalisha megawati 2,115 za umeme katika mto Rufiji (Bwawa la Mwl. Nyerere). Hayo yamesemwa na Rais wa...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

    Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 30 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 84 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kujenga miundombinu ya kusafirisha umeme kati ya Tanzania na Zambia. Sehemu ya fedha hizo, kiasi cha Euro...
  10. LUBEDE

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tanzania hatunaga Postal Codes?

    Wakuu hivi kwanini Tanzania hatunaga anuani za uhakika za miji yetu na majumbani mwetu zaidi ya namba za simu tu? Hivi Serikali haioni kama inatucheleweshea maendeleo na kutupa ugumu wa kufanya biashara kimataifa? Wanatuzidi hadi Uganda jamani. Kama nchi ifike kipindi tubadilike, kununua kitu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpango umenena kuhusu Mamlaka ya Mapato Tanzania

    Nimemsikiliza Waziri Mpango wakati akiongea na maafisa wa TRA nchini kuhusu kukusanya kodi na kufikia lengo la tr.2. Nimependa na kuafiki kwa vile miradi mingi itakamilika kwa fedha ya ndani. Kitu ambacho amewaasa maafisa hao wazingatie ni kukusanya kodi kwa weledi, uaminifu na kwa hekima na...
  12. Sherlock

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EAC countries except Tanzania posted increased FDI inflows during the year

    Foreign Direct Investments (FDIs) into East Africa surged in 2019 to hit $11.5 billion, up from $5.7 billion in 2018. This was mainly due to China’s increased interest in East Africa’s construction, manufacturing, and services sector. According to EAC’s Trade and Investment Report (2019), all...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania COVID-19: Tanzania yakataa chanjo ya kigeni, yalenga tiba ya kiasili

    Na Berna Namata Dodoma, Tanzania Tanzania haitaagiza kinga ya kuzuia maambukizi ya virusi vya corona, Wizara ya Afya imesema. Badala yake, msemaji wa Wizara ya Afya Gerald Chami alisema, serikali inaendelea na shughuli ya kufanyia majaribio tiba za kiasili. “Hakuna mipango ya kuagiza chanjo...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Somalia ilivyoziokoa Tanzania na Uganda kutoka kwenye vita

    SOMALIA YAOKOA UGANDA NA TANZANIA KUTOKA KWENYE VITA KWA UFUPI Kukomesha mvutano. Kufuatia mvutano kati ya Uganda na Tanzania 1972, katibu mkuu wa OAU aliwasiliana na Kenya kupatanisha. Hata hivyo serikali ya Jomo Kenyatta ilikataa. Huku Kenya ikikataa kupatanisha, wakuu wengine wa nchi...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Mkongwe Mohammed Fungafunga (Mzee Jengua) afariki Dunia

    MKONGWE wa Tasnia ya Maigizo nchini Mohammed Fungafunga maarufu Kama Mzee Jengua amefariki dunia asubuhi ya Disemba 15 huko Mkuranga, mkoani Pwani. Marehemu alikua akisumbuliwa na Maradhi ya Kiharusi. Enzi za uhai wake, Mzee Jengua alikua akiigiza Maigizo kama vile Kidedea, Handsome wa...
  16. music mimi

    JamiiForums Tanzania DJ Baffy mkali wa Amapiano Tanzania

    Leta DJs wote bongo, ila ikija kwenye mixxin za Amapiano hakuna kama DJ Baffy. Kifupi ndio DJ namba moja wa kutwanga amapiano. Dondosha amapiano yako uliyoielewa baada ya kuisikia kwa Dj Baffy.
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania yaipiku Turkish Airlines

    Katika utoaji wa Tunzo za Tanzania Consumer's Choice Awards hapo tarehe 13 Disemba 2020 shirika letu la ndege limeibuka mshindi katika Category 2 (Most Preferred Domestic Airline) na MOST PREFERRED INTERNATIONAL AIRLINE)). Tujivunie vya kwetu #Uzalendo_Kwanza# NB: Hongereni Sana ATCL kwa Kasi...
  18. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

    Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu. Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Huduma za Google, kama Gmail na YouTube zimeonekana kusumbua kwa baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania na India

    Mtandao wa TechCrunch umeripoti kuwa huduma zinazotolewa na google kusumbua kwa baadhi ya nchi hasa nchi za Ulaya, Uingereza na India. Huduma za kampuni ya Google kama Gmail na Youtube zimeonekana kutofanya kazi. Hata hivyo imeripotiwa kuwa google wapo katika harakati za kurudisha mtandao huo...
  20. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya waiuliza Google kuhusu Corona Tanzania

    Kampuni ya Google imetoa orodha ya maneno yaliyotafutwa zaidi katika nchi mbalimbali duniani mwaka 2020 ikiwemo Kenya. Orodha hiyo sio tu imeonesha mwelekeo unaopendelewa zaidi katika miezi 12 iliyopita, bali pia imeweka bayana matukio makubwa zaidi katika habari, siasa, michezo, burudani na...
Back
Top Bottom