Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums.

Ndugu zangu watanzania;

Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

tpokjazzfrancoluambo01.jpg

Mbali na D.R.C nchi yetu ya Tanzania pia imepakana na jirani zake kama vile Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi na Msumbiji.

Ninakumbuka enzi zile nipo mtoto baba yangu alikuwa anawapenda sana wanamuziki kama akina M'bilia Bel, Madilu Système, Sam Mangwana, Pepe Kalle and Empire Bakuba, Diblo Dibala, Bozi Boziana pamoja na Awilo Longomba.

Kwanini ni muziki wa Zaire tu na sio hizo nchi zingine zilizopakana na Tanzania? Waliwezaje kuwa "the best"? Ipi ni siri ya mafanikio yao?

images (7).jpg

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Wazaire wanajua..wana ladha zao flani hivi ambazo huwezi zipata kwa hao wengine hata kwa bolingo za bongo pia....eeishhh!! Hao wakenya sijui Zambia na hao waliosalia wanaimba kitu gani..!!..hawana utamu wa ladha za kilingala mpendwa.
 
Historia ya uwekezaji!

Enzi za Mobutu,nadhani alihitafiliana na ukristo,ambao ulienezwa na wabelgiji.
Aliamuru makanisa yatumike kama "Nyumba za kukuza tamaduni"..so ngoma na vionjo vya asili viliachwa,huku vya nje vikidharaulika,hii ilienda sambamba na hata majina,waliwapa watoto majina yenye maana zao,tofauti na sehem zingine ambapo ukristo ulishamiri mathalani..Tz,Kny na Ug.

So hata ukiona mambo ya ushirikina yameshamiri Huko,na mwambao wa ziwa Tanganyika,sio kitu cha kushangaza sana,kuna kuingiliana karibu sana kwa tamaduni kwasababu ya muingiliano wa jamii hizo..

Kuna jamii kule congo inaitwa "Wabembe"..."inasemekana "...wanakula nyama za watu...thts history in short..inaweza isiwe na sahihi saana kutokana na uwakilishaji!
 
Upo vizuri sana kaka mkubwa...
 
Hii ndio ilipelekea WaTz tupende nyimbo za Kongo?! Hakuna uhusiano kabisa.
 
Mziki was Kongo bado unapendwa na upon juu zaidi ya harmony na mondi, mziki was bongo fleva hakuna wanachoimba cha maana.Nigeria Iipo juu kimziki kwa sababu wememodify ngoma zao na kufanya mziki wa kisasa.Mziki hujiuza wenyewe, ndio maana hats nachi za kiihinfi hupendwa TZ japi hatujui kihindi.
 
Back
Top Bottom