tangazo

  1. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Nigeria yafungia Twitter kwa muda, yatumia Twitter kutoa tangazo la kufungwa kwa Twitter

    Serikali ya Nigeria imefungia kwa muda usiojulikana huduma za Mtandao wa Kijamii wa Twitter kwa madai ya Mtandao huo kutumika kuhatarisha uthabiti wa taifa hilo. Tangazo rasmi la kufungiwa kwa mtandao huo limetolewa siku ya Ijumaa na Waziri wa Habari na Utamaduni, Alhaji Lai Mohammed kupitia...
  2. SACO

    JamiiForums Tanzania Baada ya tangazo la Rais Samia kusitisha retantion fee bodi kwangu imekuwa kiama

    NImekatwa miaka mingi hatimaye deni langu imebaki 15,000/= ndio ninayodaiwa. Nimeenda kuomba statement nilipe ili HR asitishe makato kwenye mshahara wangu sababu kwenye salary slip deni linasoma zaidi ya milioni 2 hivyo bila HR kutaarifiwa na bodi hawezi kusitisha makato. Majibu niliyopewa ni...
  3. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Ajira TAMISEMi: Kwanini umri zaidi ya miaka 35 hawaruhusiwi?

    Tamisemi kushirikiana na Shirika la Benjamin William Mkapa wametangaza ajira za mda:sifa za muombaji asizidi miaka 35 ,je hawa wenye miaka 36 nakuendelea kuna sheria ipi inayofanya muwe na kigezo cha umri? Miaka 5 na miez 4 Watu wako mitaani sasa mnapokuja na kigezo cha umri mnamanisha nini?
  4. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Hatutegemei kuona sherehe za Pasaka wakati Nchi bado ipo kwenye maombolezo

    Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. ==== Ndugu wanahabari, kama mnavyojua bado taifa letu lipo katika siku 21...
  5. Ramos Gerald

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi (Mauzo)

  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa CCM kuketi kikao maalum Jumamosi (20/03/2021). Yatangaza siku 21 za maombolezo

    Leo chama cha mapinduzi kimetoa taarifa rasmi ya kifo cha Dkt. John Magufuli ambae amekuwa mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Taarifa hiyo imesomwa na Humphrey Polepole. ======== Polepole: Chama cha mapinduzi, safu yake ya uongozi na wanachama tumepokea kwa...
  7. KIDTVTC

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi ya ushonaji

    FUNDI USHONAJI (FUNDI CHEREHANI) (TAILORS) 1.1 MAJUKUMU YA KAZI • Kushona nguo kulingana na mahitaji ya mteja. • Kufundisha na kushauri mteja kulingana na huduma anayohitaji. • Kutunza vitendea kazi vya ofisi. • Kusimamia kazi zote za mteja. • Kuweka kumbukumbu nzuri za wateja. • Kutathimini...
  8. kidole33

    JamiiForums Tanzania Tangazo La Kazi : Nafasi za Kumwaga.

    Wakuu. Wakala wa Vipimo Tanzania wametangaza Nafasi za Kazi katika kada zifuatazo. 1. Afisa Vipimo daraja la III~ Nafasi 150. 2. Dereva Daraja la II - Nafasi. 55 Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 19 March. Changamkieni Fursa. Pitia hapa kwa maelezo zaidi. www.portalajira.go.tz
  9. Mromboo

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa sana Wizara ya Elimu, Wizara ya Afya, TAMISEMI, Wizara ya Habari na Wizara ya vijana kwa tangazo hili

    Hivi Karibuni kuna Tangazo linapita kwenye TVs zetu likionyesha binti wa chuo na kijana wachuo kama sijakosea wakienda hosipitalini kupata ushauri namna ya kujikinga na mimba wakiwa bado shuleni. Mbaya zaidi binti anatoka huku akijiproud kuwa kapata mwarubaini wa kumaliza masomo bila kupata...
  10. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Je, huyu anaesemwa na Wema Sepetu kwenye tangazo hili la dawa za Mkongo, anaweza kushitaki kwa udhalilishaji kwa manufaa ya kibiashara?

    Nimekutana na tangazo la dawa za nguvu za kiume huko Instagram lililotolewa na Wema Sepetu. Katika tangazo hilo lenye lengo la kujiingizia kipato kupitia biashara hiyo ya dawa za nguvu za kiume, kuna mtu ametolewa kama mfano, wanamuita CK wa ikulu sijui kwa jinsi nilivyosikia humo, lengo likiwa...
  11. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Tangazo: Kongamano la wadau kujadili fursa katika mradi wa SGR

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa Kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF) inapenda kuwaalika wafanyabiashara, watoa huduma, wakandarasi, wasafirishaji wa mizigo na wadau wote katika Kongamano la wadau utakaofanyika jijini Mwanza katika...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

    Habar wanaJF, Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwani huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu. Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake Diamond na kusema kuwa yeye na Diamond wanachangia baba na baba yao anaitwa Mzee Salim Nyange. Haya...
  13. Ushimen

    JamiiForums Tanzania 44 New Vacancies At TUME Ya Utumishi wa Mahakama, January 2021- (Various Posts)

    See the document below for more information
  14. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Tangazo na tangazo kwa wanaume wote ...

    Hakuna mahusiano yanayoanza mwezi huu wa December Huo ni mtego chunga wallet yako.
  15. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TANGAZO: Ongezeko la Safari za Treni Dar es Salaam - Arusha kuanzia Desemba 2, 2020

  16. analysti

    JamiiForums Tanzania Open University of Tanzania (OUT): Tangazo lenu kwa ajili ya wanafunzi wapya, halifunguki

    Naomba ujumbe huu uwafikie Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ambao wameweka Tangazo kwenye tovuti yao kwa ajili ya wanafunzi wapya, lakini tangazo hilo halipakuliki (Undownloadable). Hii ni hata baada ya kutumia browsers tofauti tofauti. Tunaomba wafanyie kazi ili wanafunzi wapya wapate kujua ni...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

    Kwa sasa anaeongea ni spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anasema kikatiba wabunge wanaotakiwa ni 393 jumla na waliopo ni 359 wakisubiri wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi, wateule 10 wa Rais, viti maaum kutoka vyama vingine. Kwa sasa spika anamkaribisha Rais Magufuli...
  18. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Tangazo la mnada wa hadhara - TRC

    Behewa, Kontena, Mataruma ya reli, Reli, Magari na vifaa mchanganyiko chakavu katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Kigoma, Katavi, Kilimanjaro na Tanga https://www.trc.co.tz/tenders
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC watumie reverse-psychology. Watoe tangazo kuwa Ruksa kulinda kura. Nawajua Watanzania hawatatokea, na kelele zote zitakwisha

    Mbona kitaa tuna ULINZI SHIRIKISHI? Kwanini wananchi wasishirikishwe kulinda kura? Kwani Tume ya Uchaguzi si ya kwao? Kitendo cha Nec kupiga makelele kwamba hakuna ruhusa kulinda kura, kinawafanya wananchi wahisi kuwa NEC wanataka kuiba. Na wanazidi kukosea kwa kumuandama mgombea anayetetea...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
Back
Top Bottom