Tanzania Railways Corp
JF-Expert Member
- Mar 23, 2018
- 251
- 595
mnatumia saa ngap kufika arusha?
Cm unatumia tecno Y2 utapanda 1st class wewe!! Ulizia size yako tafadhari.Mmesahau kuweka daraja la 1
Cm unatumia tecno Y2 utapanda 1st class wewe!! Ulizia size yako tafadhari.
Nadandia treni kwa mbele..... Kwa hiyo wewe ni billionaire. 🤭Na yule Bilionea SANINIU LAIZER anaetumia simu ya tochi je? Kwani kutumia simu flani ndio inaonyesha una fedha kiasi gani?