Napenda kujua concept ya nafasi ya kazi kuwa re-advertised uwa inakuwa Mara ngapi kwenye kazi fulani.
Kuna nafasi Moja walitangaza utumishi mwezi wa saba wakairudia mwezi wa nanë na watu hawakuitwa kwenye usail, Mara zotë inakuaje kwanini wasiendelee kutangaza hilo tangazo kwani inakuaje...
Ni mara chache Jeshi letu la Wananchi kuja na tamko zito kama hili kunani? Je ni kuhusu ugaidi unawosemwa katika mitandao ya kijamii? ama tuvute subira hadi hiyo kesho saa nne (4) asubuhi kujua ni habari hiyo ya kustua.
Pia soma: News Alert: - Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ...
Habari wadau,
Nimemsikia waziri wa TAMISEMI akitoa angalizo kuhusu michango ya wananchi kwa ujenzi wa madarasa na zahanati. Akisitiza wananchi wasitozwe pesa katika ujenzi wa zahanati na madarasa. Ni kweli ni wazo zuri lakini litatukosesha ulaji sisi watendaji wako wa chini.
Kwani kuna...
Soda na Soft drinks zote ni hatari kwa afya ya binadamu. Binadamu hakuumbwa kubugia sukari nyingi namna anayobugia leo. Sukari nyingi huleta unene wa kupitiliza, kitu ambacho huleta kisukari, magonjwa ya moyo nk.
Ni wakati sasa, kama ilivyo kwenye bia; Kwa matangazo yote ya vinywaji laini na...
Nisaidieni ndugu zangu nikashtaki wapi hawa jamaa wa Tigo, FCC au mahakamani? Wana tangazo lao la kina Mkude Simba kwamba wameongeza mzigo kiasi kwamba mtu anakaribishwa pilau ila anasema subiri kwanza namaliza kuangalia movie maana Tigo wameongeza mzigo wa dakika na mb's
Kwa nini tunafanyana...
Nisiwachoshe bure nitaandika kifupi sana. Kuna tangazo limepata airtime kubwa kwenye ITV kuhusu Vanilla International inayo promote kilimo cha vanilla wilayani Njombe. Bottom line ni bei ya soko ya kilo moja kuwa ni Tsh 850,000.
Wasiwasi wangu:
1. Kama faida ni kubwa hivyo kwa nini wasilime...
Kupitia ukurasa wao wa Twitter, klabu ya Yanga imetoa tangazo kuelekea Nigeria siku ya Ijumaa na Kurudi Jumapili baada ya mechi.
Yanga wamewaomba mashabiki wao kuwasapoti kwenda Nigeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Rivers United kupitia ATCL.
Sasa mtu atatoaje kiasi chote cha hela...
Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni
Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu, mtu akitaka na...
UTANGULIZI
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia anatangaza nafasi za mafunzo ya Ualimu kwa ngazi ya Stashahada ya Ualimu Elimu ya Sekondari. Waombaji wa mafunzo haya ni wahitimu wa Kidato cha Sita wenye ufaulu wa Daraja la Kwanza hadi la Tatu (I-III). Wizara inakaribisha maombi ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums Maxence Melo amesema vyombo vingi vya habari hukubali matangazo kwa kuwa yana hela nyingi
Kwa JamiiForums amesema wana sera ambayo inawafanya wakatae matangazo ya Pombe na Matangazo ya Betting japo yana hela.
Aidha Chombo cha habari kutegemea matangazo ni...
Je Umechoka muonekano wa sofa zako na ungependa kuzipa muonekano wa tofauti na wakisasa zaidi?
SALE SALE SALE
Sofa la mmoja ni 30000
Sofa la wawili ni 44,000
Sofa la watatu ni 54,000
●Tuma kochi zako WhatsApp 0713691101 upate ushauri na sample za cover zilizopo
1: Hazipauki wala kuchuja...
Habari wanabodi..!
Kwa sasa inaonyesha kila idara ya Serikali kuna upungufu wa watumishi.Moja ya kitengo nyeti sana ni jeshi la polisi ni muda sasa sijaona Tangazo la ajira za polisi zikitangazwa.
Najua kutokana na protocal za kazi zao hawa jamaa sidhani kama wanaweza kulalamika kwamba tuna...
Baada ya nyie Kuwakataza wasiendelee kutumia Kauli fulani ya Rais Samia kama 'Kibwagizo' chao sasa wameamua kuja na Sauti ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Kikwete (iliyoigizwa) ikihamasisha Wasikilizaji tukutane kwa Mpalange na kwamba huko ndiko 'Kumenoga' kwa sasa.
Hapa GENTAMYCINE nimejikuta...
Tuendeleeni tu Kuruhusu 'Upuuzi' na 'Uhuni' huu wa maneno yanayoashiria 'Ufirauni' kutumika na Makampuni ya Simu huku Serikali mkipokea Kodi yenu Kubwa na Maadili kwa Jamii na Kizazi kuzidi 'Kudidimia' tu.
Kuna Kampuni nyingine nayo nimedokezwa inataka kuja na 'Promo' yake isemayo ' Ukitaka...
Katika maamuzi ya kushangaza ya mwendazake, yaliyofanywa bila consultation, ni lile la kuvunja Jiji la Dar es Salaam, na kuifanya eti Ilala ndio Jiji.
Mh. Ummy, mshauri Mh. Rais aagize consultation kwanza kwa lengo la kufuta uamuzi huo.
Wakuu kuna tangazo nmelipata limetolewa na jeshi la zimamoto kupitia kamishna mkuu kuhusu mafunzo, je ni tangazo la kweli tuchangamkie fursa au ni matapeli? [emoji116][emoji116][emoji116]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.