tangazo

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama wapiga kura wa tarehe 28, Oktoba 2020 wakilifuata tangazo la NEC redioni, kuna uwezekano kura zikapigwa kwa wiki mbili

    NEC najua hapa JamiiForums mpo na 'mnanikodolea' zenu huku wengine hata mkiwa 'mnaninunia' pengine kwa 'Kuwasema' Kwangu ila nina bahati mbaya moja tu Mimi ni kama Bahari ambayo daima huwa haikai kamwe na Uchafu hivyo 'mnivumilie' tu na 'mnizoee' vile vile. Msiposemwa hamtobadilika na...
  2. Filipo Lubua

    JamiiForums Tanzania Tangazo hili la ASAS linachochea kufanya kazi bila kufuata kanuni bora za afya, lizuiliwe

    Hili tangazo ni hatari sana. Linashawishi watu kufanya kazi pasi na kuchukua tahadhari stahiki za kiafya, eti kwa sababu ya brand yako ya maziwa. Unaruhusuje tangazo kama hili liende hewani? Tangazo ambalo linawashawishi watu kufanya kazi bila kufuata kanuni bora za afya eti tu kwa sababu...
  3. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania Tangazo la ufadhili wa miradi (skills development fund) kutoka Tanzania Education Fund

    Habari za sasa jf? Taasisi ya mamlaka ya elimu Tanzania, TEA, imetoa fursa ya ufadhili wa miradi ya kuendeleza ujuzi kwa makundi maalum ya vijana wanaoishi katika mazingira magumu Fungua PDF hii na tembelea mitandao mbalimbali kwa taarifa zaidi
  4. olele

    JamiiForums Tanzania Matangazo (advertisement) makali ya kwenye TV

    Tangazo la coca cola kwenye kombe la dunia la mwaka 2010 (sina hakika sana) Jamaa (mchepuko) yuko ndani na mke wa mtu, mwenye mke karudi ghafla, akajificha kwenye kabati la nguo, mwenye mke akakaa chumbani anaangalia mpira, Goli limefungwa jamaa akaanza kushangilia, mara gafla anaona mtu...
  5. bob nasta

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kondomu au Pedi likirushwa nikiwa karibu na binti yangu huwa napata tabu sana

    Jamani, ni kweli tuko kwenye utandawazi lakini haya matangazo yamezidi ukali utasikia Kondomu ina vidoti inanukia inaongeza utamu au yule binti yuko chooni analia damu zimemtoka ghafla hana Pedi mambo hayo yanatia ukakasi au ni ushamba wangu tu ndo unanisumbua.
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi: Tangazo la nywele lasababisha maandamano

    Waandamanaji nchini Afrika Kusini wamewalazimisha wenye maduka ya dawa na vipodozi kufunga maduka yao, baada ya kurushwa kwa tangazo la nywele ambalo wanadhani kuwa la ubaguzi wa rangi. Tangazo hilo linaonesha picha za nywele za kiafrika zikiwa kavu na hazina muonekano mzuri wakati nywele za...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais CCM adhibitiwe kuhusu suala la matumizi ya lugha ya Kisukuma. Mwongozo wa lugha wanaounadi TBC ufuatwe

    TBC katika taarifa yao kwa maelekezo kutoka Tume ya Uchaguzi ya Taifa wametoa maangalizo mengi lakini mimi moja ambalo nimeliona kama mgombea Urais kupitia CCM analikiuka sana. Lile tangazo linasema kuwa kama mgombea atakuwa jukwaani anamwaga sera basi atumie lugha ya Kiswahili tu, kama...
  8. balimar

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na Tangazo la Haki Elimu mnatudhalilisha

    Hello wana bodi!! Naomba kuuliza hivi hawa 'Haki Elimu' na Tangazo lao la Mwanafunzi hataki kwenda shule kwakuwa anatongozwa na mwalimu wake lina 'credibility' na 'validity' kiasi gani? Moja, hivi sample size yao kwenye huo utafiti ilikuwa ni walimu wangapi wenye tabia hiyo kiasi kwamba liwe...
  9. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA AJIRA 12,000 ZA UALIMU TAMISEMI: Ni la kweli au ni magumashi ya CCM na siasa za uchaguzi mkuu tu?

    Takribani wiki NNE au TATU zilizopita waziri wa OR - TAMISEMI Ndg Selemani Jaffo alizungumza na waandishi wa habari... Kati ya mambo mengi aliyozungumza, aliutangazia umma pia kuwa, serikali imeshatangaza AJIRA MPYA ZA UALIMU 12,000 kwa shule za Msingi & Sekondari... Ukiingia katika website ya...
  10. Isaack Newton

    JamiiForums Tanzania Ifanye gari yako ionekane mpya kwa kushonea roof, seat cover, dashboard n.k. check attachment hapo chini

    Habari wakuu.! Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunashonea seat za magari zilizoharibika, dashboard zilizoharibika, roof za magari aina zote, kwenye milango ya magari. Tunapatikana salasala-Mbezi beach. Unaweza ukatucheki what's up au kutupigia moja kwa moja. 0679478758
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

    Wanabodi, Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadili Msiba wa Benjamin Mkapa. Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya...
  12. Mwamba1961

    JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira: Technician Grade II

    EMPLOYERSHIRIKA LA MZINGA APPLICATION DEADLINE :2020-07-21 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To operate, maintain and assist to repair production machines; ii. To assist to design and inspect products manufactured and other work to ensure they conform to specified standards, plus...
  13. Kapepo

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kukumbushia kunakili namba ya usaili

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawataarifu Wasailiwa wote walioorodheshwa katika tangazo lililotolewa tarehe 29 Mei, 2020 lenye Kumb.NaEA.7/96/01/K/208 linaonyesha Usaili unatarajiwa kuanza tarehe 06 hadi 17 Juni, 2020. Ambao nafasi za kazi walizoomba zimeoneshwa kuwa watafanya...
  14. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Vipi wake zetu wangekuwa kama mdada wa tangazo la Tigo?

    Laiti kama wake zetu wangekuwa na ukarimu wa namna ile mambo ya kupenda vipande yasingekuwepo. "Na ile elfu ninayosevu kila siku ndio nimetumia baabah!" Mwamba unaacha 10 unakula msosi wa elfu 15! 🤣🤣🤣 Ai wishi i kudu bi Haijipiii!!!
  15. Singidan

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya wanachuo wanauza assets zao ili wapate Ada ama nauli

    Tangazo kwa Wanachuo waliokula Ada. Tunanunua simu za wanazouza ili wajazie katika Ada na nauli zao za kurudi chuo. Mwanachuo weka tangazo lako usione aibu.... Kitaa pagumu na ndiyo may be ushakula Ada.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje CCM yenye wabunge zaidi ya 250 inashindwa kujitosheleza kwa sifa za uwaziri hadi hadi wanateuliwa wapinzani na akina Mwigullu kurudi tena?

    Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri. Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kutokusoma vizuri tangazo la kazi kumesababisha vijana wengi kukosa kazi huku wana sifa za kupata kazi

    Ni takribani miaka 3 hivi nimekuwa nikiwasaidia vijana au ndugu wa karibu kuomba kazi katika taasisi mbalimbali hasa za umma. Nimejifunza mengi sana, nimeona challenges nyingi ila leo nitaongelea jambo moja tu. Jambo hilo ni kusoma tangazo la kazi kwa umakini na kulielewa. Wengi wakikuta...
  18. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Waziri Ummy Mwalimu juu ya Coronavirus (COVID-19) lirekebishwe kukidhi mazingira yetu

    Tangazo ni zuri na linatoa taadhari kitaalam, lakini kuna baadhi ya mazoea ya baadhi ya watanzania ambayo yaweza kuzidisha COVID-19 kusambaa yanakosekana. Wana-sosiolojia walitakiwa kushirikishwa katika kuandaa hilo tangazo. Mfano, kuna lile kundi la vijana wavuta sigara kugoneana sigara...
  19. Kibanga Ampiga Mkoloni

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kujiunga na vyuo vya maendeleo ya Wananchi

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza nafasi za kujiunga katika Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) kwa mwaka 2020. Sifa za Mwombaji ni mwananchi yeyote mwenye nia ya kupata ujuzi na maarifa mbalimbali. Aina ya Mafunzo yanayotolewa ni: 1. MAFUNZO YA UFUNDI STADI- NGAZI YA I, II...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza cheti changu cha kuhitimu kidato cha nne

    JAMANI NAOMBA KWA YEYOTE YULE ATAKAYE OKOTA KUSIKIA AU KUWA NA CHETI CHA FORM 4 CHENYE JINA PETRO NATAL KIJUNGA NAOMBA TUJULISHANE KWA NAMBA 0629268795/0757658264
Back
Top Bottom