Open University of Tanzania (OUT): Tangazo lenu kwa ajili ya wanafunzi wapya, halifunguki

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
729
612
Naomba ujumbe huu uwafikie Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ambao wameweka Tangazo kwenye tovuti yao kwa ajili ya wanafunzi wapya, lakini tangazo hilo halipakuliki (Undownloadable).

Hii ni hata baada ya kutumia browsers tofauti tofauti. Tunaomba wafanyie kazi ili wanafunzi wapya wapate kujua ni jambo gani lililo mbele yao.
 
Back
Top Bottom