Uchaguzi 2020 NEC watumie reverse-psychology. Watoe tangazo kuwa Ruksa kulinda kura. Nawajua Watanzania hawatatokea, na kelele zote zitakwisha

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,408
54,886
Mbona kitaa tuna ULINZI SHIRIKISHI? Kwanini wananchi wasishirikishwe kulinda kura? Kwani Tume ya Uchaguzi si ya kwao?

Kitendo cha Nec kupiga makelele kwamba hakuna ruhusa kulinda kura, kinawafanya wananchi wahisi kuwa NEC wanataka kuiba.

Na wanazidi kukosea kwa kumuandama mgombea anayetetea kura zisiibiwe. NEC walitakiwa wamuunge mkono mgombea huyo kwani ameonyesha kujali usalama wa kura.

Lakini kama NEC wanataka makelele ya kulinda kura yakome, basi watoe tangazo kwamba mwaka huu Ruksa kulinda kura.

Kitendo hicho naamini kutawapa wananchi confidence na tume yao, na makelele kuhusu kulinda kura yatapungua, kama siyo kukoma kabisa.

cc Mag3, Matola, Salary Slip, tindo
 
Hawa NEC ndo wasababisha matatizo. Hivi watu wakiachwa walinde kura na kila kitu wanaona vizuri nani ataleta vurugu? Kukataza watu sheria ambayo hata kwenye sheria za tume hamna ni kutafuta vurugu ya bure.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom