44 New Vacancies At TUME Ya Utumishi wa Mahakama, January 2021- (Various Posts)

Jiml

Member
Jan 4, 2021
47
125
Hawa nao ni magumashi tu! Sio transparency, walitoaga nafasi mwaka Jana sijui ziliishiaga wapi!! Mm niliishaapa tofauti na utumishi kwingine huko Sina Imani napo kabisa!!!
 
2sexy

JF-Expert Member
Oct 3, 2020
260
500
Hawa nao ni magumashi tu! Sio transparency, walitoaga nafasi mwaka Jana sijui ziliishiaga wapi!! Mm niliishaapa tofauti na utumishi kwingine huko Sina Imani napo kabisa!!!
Utaozea mtaani mkuu, usikate tamaa we omba tuu
Kama una muda fanya hvy
 
jonas amos

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
2,349
2,000
Hawa nao ni magumashi tu! Sio transparency, walitoaga nafasi mwaka Jana sijui ziliishiaga wapi!! Mm niliishaapa tofauti na utumishi kwingine huko Sina Imani napo kabisa!!!
Hizo kaka zknakukaga watu wanasombwa kimya kimya neno utumishi lielewe ndani
 
Prince Kunta

JF-Expert Member
Mar 27, 2014
17,675
2,000
Hao mchakato wao wa ajira ni rushwa tupu na kujuana yaani chombo cha mahaakama alafu wanapokea rushwa katika mchakato
 
demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
5,554
2,000
Hivi hata nafasi za Ulinzi Jamaa wanataka rushwa kwenye mchakato?
 
Source07

Senior Member
Oct 5, 2018
192
500
Hivi wanaposema maombi yapitie kwa Karibu Tawala wa Wilaya ndio inakuaje...je nikupeleka tu barua yako then huyo muhusika anaigonga Kama nimuhuri au inakuaje??msaada wenu Tafadhali wakuu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom