Nawashangaa sana Wizara ya Elimu, Wizara ya Afya, TAMISEMI, Wizara ya Habari na Wizara ya vijana kwa tangazo hili

Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,927
6,465
Hivi Karibuni kuna Tangazo linapita kwenye TVs zetu likionyesha binti wa chuo na kijana wachuo kama sijakosea wakienda hosipitalini kupata ushauri namna ya kujikinga na mimba wakiwa bado shuleni.

Mbaya zaidi binti anatoka huku akijiproud kuwa kapata mwarubaini wa kumaliza masomo bila kupata mimba.

Wanaonekana kuwa wako na pills za kupanga uzazi wakati bado ni vijana wadogo na wako masomoni. Tangazo linaonekana kuruhusu wanafunzi kufanya ngono mashuleni bila tahadhari ya virusi vya UKIMWI kuzingatiwa.

Kwenu wizara husika, hili tangazo linatufundisha nini kwamaadili ya Tanzania?

Kwamba mmesharuhusu wanafunzi kujamiana shuleni tena bila kificho huku wakitumia dawa za uzazi wa mpango ilhali hata ndoa hawana?

Mmeamua kuharibu kabisa maadili ya watoto wetu walioko mashuleni maana tangazo hili liko wazi kabisa na linaruka mpaka mida ya mchana?

Naomba sana wizara tajwa hapo juu mkae mapema sana na msitishe hili tangazo.

Tena mtoe mwongozo kwamba wanafunzi shuleni wanatakiwa kusoma na sio kujihusisha na ngono holela ambazo nje ya mimba za utotoni zitasababisha kuenea kwa virusi vya UKIMWI.

Inaumiza sana
 
Some la historia lifundishwe hadi Mitaani
Kwa raia kama hawa hamna namna.
 
Kuficha ukweli haitaondoa uhalisia kwamba wanafanyana sana,nyakati zimebadilika mkuu..kakaa na watoto wako waambie ukweli na sio kuwaficha..kama huna watoto naamini una wadogo zako na ndugu wengine!
 
Siku hizi wanavunja ungo wakila below 10yrs, uwo ndio mwarobaini hakuna namna.
 
Hivi Karibuni kuna Tangazo linapita kwenye TVs zetu likionyesha binti wa chuo na kijana wachuo kama sijakosea wakienda hosipitalini kupata ushauri namna ya kujikinga na mimba wakiwa bado shuleni.

Mbaya zaidi binti anatoka huku akijiproud kuwa kapata mwarubaini wa kumaliza masomo bila kupata mimba.

Wanaonekana kuwa wako na pills za kupanga uzazi wakati bado ni vijana wadogo na wako masomoni. Tangazo linaonekana kuruhusu wanafunzi kufanya ngono mashuleni bila tahadhari ya virusi vya UKIMWI kuzingatiwa.

Kwenu wizara husika, hili tangazo linatufundisha nini kwamaadili ya Tanzania?

Kwamba mmesharuhusu wanafunzi kujamiana shuleni tena bila kificho huku wakitumia dawa za uzazi wa mpango ilhali hata ndoa hawana?

Mmeamua kuharibu kabisa maadili ya watoto wetu walioko mashuleni maana tangazo hili liko wazi kabisa na linaruka mpaka mida ya mchana?

Naomba sana wizara tajwa hapo juu mkae mapema sana na msitishe hili tangazo.

Tena mtoe mwongozo kwamba wanafunzi shuleni wanatakiwa kusoma na sio kujihusisha na ngono holela ambazo nje ya mimba za utotoni zitasababisha kuenea kwa virusi vya UKIMWI.

Inaumiza sana
Meko atakuwa hajaliona hili
 
Ni sawa na wazazi wanao wapa watoto wao vidonge vya kuzuia mimba waende nazo shule, wale wa kiume wanapewa box za kondom.

Nilikutana nayo hapo nchi jirani.
 
Hivi Karibuni kuna Tangazo linapita kwenye TVs zetu likionyesha binti wa chuo na kijana wachuo kama sijakosea wakienda hosipitalini kupata ushauri namna ya kujikinga na mimba wakiwa bado shuleni.

Mbaya zaidi binti anatoka huku akijiproud kuwa kapata mwarubaini wa kumaliza masomo bila kupata mimba.

Wanaonekana kuwa wako na pills za kupanga uzazi wakati bado ni vijana wadogo na wako masomoni. Tangazo linaonekana kuruhusu wanafunzi kufanya ngono mashuleni bila tahadhari ya virusi vya UKIMWI kuzingatiwa.

Kwenu wizara husika, hili tangazo linatufundisha nini kwamaadili ya Tanzania?

Kwamba mmesharuhusu wanafunzi kujamiana shuleni tena bila kificho huku wakitumia dawa za uzazi wa mpango ilhali hata ndoa hawana?

Mmeamua kuharibu kabisa maadili ya watoto wetu walioko mashuleni maana tangazo hili liko wazi kabisa na linaruka mpaka mida ya mchana?

Naomba sana wizara tajwa hapo juu mkae mapema sana na msitishe hili tangazo.

Tena mtoe mwongozo kwamba wanafunzi shuleni wanatakiwa kusoma na sio kujihusisha na ngono holela ambazo nje ya mimba za utotoni
mshangai ni kwanini watu wana kuenea kwa virusi vya UKIMWI.

Inaumiza sana
Hizi zote ni mbinu za adui ili atumalize. mfano mzuri ni africa ya kusini amabapo mtoto wa meaka 12 anachomwa sindano eti ili asipate mimba. ii ni mbinu ya kuharibu mafikira ya watu wao wabaki wakidhani wanakwepa mimba ambayoo siyo hata hatari kama AIDS. Nchi na wizara husika zisimame. Mipango yote ta billgate ye kudepopulate dunia itenguliwe.

Msimuoneshe ushirikaino,...lakini narudi tena pale pale kwamba ukarimu wa mwafrika umemgharimu sana maish na maendeleo yake,.

Hebu tuwe na roho ngumu na za kishujaa kama wao. sisi tunakuwa wanyone kwanini? Hivi hamshangai ni kwanini hawa wenzetu wana interest sana ya kuinvest kwenye dawa za majir na mambo ya ngonongono...kwa nini wasiwekeze kwenye elimu au viwanda ua hata barabara,....wanafiki wakubwa...leo lao kwetu siyo zuri
 
Back
Top Bottom