Tangazo la kazi ya ushonaji

KIDTVTC

Senior Member
Jan 8, 2019
173
30
Habar wana JF mm nina ndugu anatafuta kazi tajwa hapo juu,nifundi mzuri na anashona vzur nguo za kiume na za kike!kwaio naomb mweny kuhitaji mfanyakaz wa hio kaz anitafuta, natanguliza shkran

FUNDI USHONAJI (FUNDI CHEREHANI) (TAILORS)

1.1 MAJUKUMU YA KAZI
• Kushona nguo kulingana na mahitaji ya mteja.
• Kufundisha na kushauri mteja kulingana na huduma anayohitaji.
• Kutunza vitendea kazi vya ofisi.
• Kusimamia kazi zote za mteja.
• Kuweka kumbukumbu nzuri za wateja.
• Kutathimini (monitoring )viwango vya kazi zinazohitajika kufanyika.

1.2 SIFA ZA MWOMBAJI
• Wawe na ujuzi wa kutumia aina zote za mashine za kushonea (Sewing Machine).
• Wawe na uwezo wa kushona na kudalizi
• Wawe wabunifu wa mavazi na uwezo wa kushona nguo za aina zote.

NB: MAWASILIANO 0717157640 /0754469894
Au tutmie barua ya maombi na CV yako mitcomputungtz@gmail.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom