Ndokeji
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 698
- 475
Tamisemi kushirikiana na Shirika la Benjamin William Mkapa wametangaza ajira za mda:sifa za muombaji asizidi miaka 35 ,je hawa wenye miaka 36 nakuendelea kuna sheria ipi inayofanya muwe na kigezo cha umri? Miaka 5 na miez 4 Watu wako mitaani sasa mnapokuja na kigezo cha umri mnamanisha nini?