Nafasi za kazi (Mauzo)

Samahani mkuu kama nitakukela,tangazo lako halihitaji kiwango cha taaluma kwa watu wanafasi ulizotangaza yaaani any person anaweza fanya,maana kama ni kidato cha NNE kwa sasa ni wengi mno,pili nafasi zenyewe ni mbili tu,hivi kweli hapo unapoishi umekosa vijana wawili Wa kuchukua hizo nafasi,vipi majirani zako umeshindwa kuwafuata,au watoto Wa Dada,kaka,mjomba nk?

Nikisema huu ni utapeli nitakosea?

Natanguliza neno samahani kama nitakukela mkuu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom