sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard

    JamiiForums Tanzania Je, umeme unokatwa nchini na Tanesco wajumuisha ofisi zote nyeti, balozi na sehemu zingine kama Oysterbay? Au ni kwa watanzania wa hali ya chini tu?

    Kero ya kukatwa umeme na Tanesco imekuwa kubwa na sasa umeme wakatwa nchi nzima katika mikoa mbalimbali. Lakini ningependa kufahamu kama umeme huu wakatwa katika sehemu zote nyeti, ofisi za kibalozi, viwandani, maeneo ya uzunguni na katika makazi ya watu muhimu katika nchi hii? Je, umeme huo...
  2. Babatunde_seneior

    JamiiForums Tanzania Fundi Magari, natafuta sehemu ya kufanyia kazi

    Habari wakuu,. Mimi ni fundi wa gari ndogo nipo Dar es Salaam natafuta sehemu ya kufanyia kazi. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote.
  3. Aziwero

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ndani ya Dar es Salaam panafaa kwa biashara ya vifaa vya simu?

    Habarini ndugu, Hivi karibuni nimekua na uhitaji wa kufungua duka la simu na vifaa vyake ndani ya jiji la Dar lakini imekua changamoto kwangu kujua sehemu sahihi kwa ajili ya hiyo target market yangu ni watu wa kipato cha chini na cha kati. Naomba msaada wenu
  4. al-baajun

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu msaada sehemu ya kuwapeleka wageni wangu Moshi

    Habari wadau, Nina wageni wangu (wanawake wanne from Europe) wapo Kwa project Yao Sasa inabidi niende nao Moshi na wao wananitegemea Mimi kuwatembeza kibudget( ni wanafunzi wa chuo). Naomba ushauri kuhusu nightlife ya Moshi,sehemu gani wazungu wangefurahia kutembea usiku,pia na vivutio vya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Massaga: Uzalishaji Maji tiba Hospitali ya Bugando kuokoa fedha ambazo zingetumika kununua maji tiba kutoka sehemu nyingine

    Idara ya famasi imefanya maboresho makubwa kupitia kitengo cha uzalishaji maji tiba, (Infusion Unit). Akizungumza katika makabidhiano Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, Dkt. Fabian Massaga amewapongeza Idara ya Famasi kwa jitahida kubwa wanazofanya ili kuongeza uzalishaji...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Je, ulishapata kuwazia Raia wa Jimbo la Nchi kutaka kujitenga na kuwa sehemu ya nchi Jirani?

    Hicho ndicho kinachotokea katika Jimbo la Gilgit-Baltistan la Pakistan ambalo ndiyo Jimbo pekee nchini pakistan lenye raia wengi ambao ni Washia. Kwa kifupi nchi ya Pakistan Raia wake wengi ni SUNN na Serikali ya Pakistan inaongozwa na sharia. Kutokana na malalamiko ya muda mrefu ni kuwa...
  7. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

    Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho! Tundu Lissu...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Msaada sehemu ya kupata Vitamin D3 yenye K2 kwa Mwanza au Dar

    Ndgu zangu naomba msaada sehemu gan nitapata Vitamin D3 yenye K2 Kwa Mwanza au Dar
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kamera za Usalama zitaondoa Rushwa na ulazima wa kutumia 'Matrafiki' kila sehemu

    Akizungumza leo Sept. 4, 2023 wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, Rais Samia amesema wananchi bado wanalalamikia tatizo la Rushwa hasa kwa Askari wa Barabarani. Amesema “Mfano tukiweka Kamera za Barabarani hakutakuwa na sababu ya Askari kusimama Barabarani...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa, yanatokea sasa ulijitakia mwenyewe. Ulishiriki kuwa sehemu ya maumivu ya Wapinzani

    Kinachomtokea Wilbroad Slaa ni matokeo ya usaliti mkubwa alioufanya, alikuwa katibu mkuu wa Chadema; aliendesha harakati nzito za chama .aliongoza maandamano makubwa kule Arusha vijana wakapigwa risasi wakafa akashiriki kuwazika, majeneza Yao yalipambwa kwa bendera za chama. Wewe ulitoa hotuba...
  11. haszu

    JamiiForums Tanzania Nimetokwa na kijipu sehemu ya siri ghafla, naomba msaada

    Ni jambo lenye ukakasi ila sinabudi kulizungumza. Naomba mniwie radhi. Nilisafiri sehemu nikakaa siku moja, yapili nikarudi, naweza sema nimekaa siku mbili, lakini zaidi ya haja dogo, sijaenda haja kubwa hata maramoja. Niliporudi ninapoishi siku ya kwanza nikapata choo kigumu, siku ya pili...
  12. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Hivi Ulaya kuna utaratibu wa kuulizwa jina la balozi wa mtaa/mtendaji kata, diwani au mbunge ili kuthibitisha kama ni mkazi wa sehemu husika?

    Nikiwa narudi zangu ghetto imebidi nipite shortcut bahati mbaya nimekosea njia nakujikuta napita njia ya kwenda uhani kwa mtu sio mzuri kwenye vichochoro vya mjini sasa wahusika wakaanza kuwa na mashaka na mimi. Wakaniweka mtu kati nakuanza kuniuliza maswali with confidence nikawaelezea kuwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM ina nguvu sehemu zenye umaskini wa fikra na mali?

    CCM inazidi kukosa nguvu kwenye majiji na makao makuu ya miji; hakuna mtu anayevaa kofia na t-shirt kama ishara ya uzalendo tena....wazee nao wamepungua kwa kasi huku idadi ya vijana ikiongezeka. Idadi kubwa ya vijana wanahama kutoka maeneo yasiyo na ajira na kukimbilia mijini. Dar es salaam...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Pemba iko nyuma sana kimaendeleo kulinganisha na Unguja?

    Najiuliza je sababu ya Pemba kuwa nyuma kimaendeleo ni kwamba ni mbali sana na kisiwa cha Unguja ambacho ndiyo makao makuu ya serikali ya visiwa hivyo viwili. Pemba ipo zaidi ya km 130 na ipo karibu na Tanga kuliko Unguja. Je, kwa kuleta maendeleo Pemba ni sababu gani hasa inayozuia mpaka leo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane: Mapinduzi ya kijeshi hupangwa na kufanyika vipi ili hali majeshi huwa na vikosi vingi tena sehemu tofautitofautoi za nchi?

    Wote ni mashuhuda wa taarifa za mapinduzi ya kijeshi sehemu mbalimbali duniani hasa Afrika kwa nyakati za sasa. Binafsi nimekuwa najiuliza haya mapinduzi huwa yanafanyikaje ili hali Jeshi huwa lina askari wengi tena katika sehemu mbalimbali za nchi. Kwa mfano, kikosi au vikosi katika mji mkuu...
  16. Kichwamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanaume wa 1980s tunapendwa sana na mademu wakali kila sehemu?

    Habarini nyote, Nimefanya kautafiti ka rasha rasha ni hivi mademu wakali wengi wanatupenda sisi wanaume wazaliwa wa 1980s kuliko hayo makundi mengine. Na kila mikoa ninayozunguka kibiashara kote vybe ni hilo hilo. Tusaidiane majibu kwa nini iko hivyo? Ni hayo tu 🙏🙏🙏
  17. lufungulo k

    JamiiForums Tanzania TCRA itoke hadharani kukiri kuwa muziki wa matapeli wa mtandaoni umewashinda

    Sasa imekuwa KERO, KERO KERO jumbe za kitapeli mtandaoni zimekuwa nyinginyingi mno! Hapa nadhani TCRA umefikia wakati watoke hadharani na kukubali kuwa muziki wa matapeli umewashinda. Kama kupata line za simu lazima uwe na namba ya NIDA, iweje tabia hii ya kitapeli izidi kushika kasi? TCRA...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana kwani ni lazima kila sehemu utakayoalikwa umtaje kwa Mahaba yote Rais Samia?

    Au labda alikuambia kuwa usipokuwa Unamtaja na Kujikomba Kwake basi atakutumbua upesi? Unaboa mno.....!! Nikiambiwa nimtaje Waziri wa Kwanza wa hovyo kwa sasa katika Serikali ya Rais Samia wala sitochelewa Kumtaja / Kukutaja Pindi Chana na sijui ilikuwaje ukawa Waziri kwani hutoshei na huna pia...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua mtu akikwambia nimeenda sehemu maalamu kufanya kazi maalumu ina maana gani?

    kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
  20. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na Gari hapa dar hakuna sehemu utaiona Mbali

    Toka nimeingia jiji la dar kutoka mkoani miezi michache iliyopita, Hatimaye nimenunua gari yangu ya kwanza hivi karibuni ikabidi kwanza niitest chombo kwa kutembea sehemu mbalimbali nikiwa na mwenyeji wangu hapa dar. Aisee kila sehemu naona ni karibu mno tofauti na nilivyofikiria na...
Back
Top Bottom