Natafuta sehemu inayouza mbwa (mnada wa mbwa): Sehemu ambayo mtu unafika na kuchagua mbwa unayemtaka kwa maeneo ya Dar es Salaam

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,037
Ninatafuta sana sehemu ambako kuna kitu kama mnada wa mbwa. Sehemu ambayo watu hupeleka mbwa wao kuuza hapo na watu huenda hapo kununua mbwa.

Yaani sehemu ambayo unakuta wauzaji mbalimbali wanauza mbwa aina mbalimbali ili uwe na nafasi ya kuchagua mbwa unayemtaka.

Sehemu yenye ushindani pia wa bei! Maana ukimkuta myu anauza mbwa peke yake hakuna ushindani wa bei huwa wanauza kwa bei ya juu sana.

Mwenye taarifa ya sehemu kama hiyo kwa maeneo ya Dar es Salaam naomba tujuzane!!
 
kwani wewe mhehe?
 
Nenda Tandale kuna sehemu inaitwa nursery/kwa bi nyau kama unatoka Magomeni upande wa kulia kwenye kagorofa
 
Back
Top Bottom