Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

Mwalimu wa tuisheni

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
5,489
8,628
Kwa Madiba kuna mambo,

Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma

Muuaji alikua na bifu na Marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo

Baadhi ya mashahidi wanasema Marehemu alipotaka kukimbia kujiokoa maisha yake Walinzi wa getini walimfungia kwa nje.

Muuaji baada ya kutekeleza mauaji hayo alijipiga picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii

Upelelezi unaendelea.....



17857384_img20231111wa0001_jpeg613b949f2614541864033fac487fc738.jpg

2.jpg

1.jpg

Angalizo picha zinahuzunisha
 
Back
Top Bottom