Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,186
- 10,924
Waziri mkuu wa Palestina katika serikali ya Mahmoud Abbas ameweka wazi kuwa Israel inajidanganya kusema inataka kuwamaliza Hamas. Hiyo haitatokea.
Akizungumza na CNN, Mohammad Shtayyeh amesema Hamas ni sehemu ya harakati za wapalestina kwa hivyo haiwezekani na haikubaliki kuwamaliza.
Kauli hiyo aliitoa baada ya kutoka katika mazungumza na wenzake wa Jordan na Qattar.Akaongeza kwa kusema kinachotakiwa ni kusitishwa kwa vita vinavyoendelea.
Mohammad Shtayyeh akakumbusha kuwa vita vya Palestina na Israel wala havijaanza oktoba 7 bali vimeanza tangu miaka 75 iliyopita.