Sehemu gani naweza kununua pikipiki aina ya yamaha Mwanza?

KAGAMEE

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
3,882
4,511
Wakuu salama?
Naomba kujua chimbo gani zuri naweza kupata pikipiki aina ya YAMAHA mkoa wa Mwanza. Nijue pia bei ya Pikipiki mpya na used.

Nikipata mawasiliano ya muuzaji nitashukuru zaidi.

Karibuni wakuu
 
Aina





Sina uzoefu nazo mkuu.Unaweza kunishauri ipi na nzuri na imara
Hahahahaaaaah jii hapa Tenere 700, je umeipenda nikutajie bei?
Screenshot_20230419-203846_YouTube.jpg

Mtego 🤓 huo usikubali

Onaa, waone hawa jamaa watakupa muongozo, wana AG za shamba, XTZ dual sports na Crux rev za town
Screenshot_20231116-070535_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom