Mwanaharakati asema Matukio ya Ubakaji nchini Sudan imekuwa sehemu ya maisha

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Hala Al-Karib ambaye ni Mkurugenzi wa Taasisi ya SIHA inayojihusisha kutetea Haki za Wanawake Barani Afrika amesema Asilimia 70 ya matukio yaliyorekodiwa ya Unyanyasaji wa Kijinsia ni Ubakaji wa Magenge

Anasema hali hiyo imeongezeka hasa baada ya kuibuka kwa vita Aprili, 2023

Akizungumza na Kituo cha BBC, amesema wahusika wakuu wanatokea pande zote mbili zinazopigana kuwania madaraka Jeshi la Sudan na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) lakini anadai Wanamgambo wa RSF wameitumia hiyo kama mbinu ya kutisha jamii.

Ameyasema hayo katika Kongamano linalofanyika Nairobi, Kenya kuangazia athari za vita Nchini Sudan kwa Wanawake.

===============

Rape an everyday reality in war-hit Sudan - activist
A rights activist in Sudan says sexual violence against women has become a deliberate tactic in the civil war which started in April.

Hala al-Karib, who runs the Strategic Initiative for Women in the Horn of Africa, says 70% of documented cases of sexual violence are gang rape, and that the targeting of women and girls has become part of everyday reality.

She told the BBC's Newsday radio programme that both the Sudanese army and the paramilitary Rapid Support Forces (RSF) had carried out attacks on women, but that the paramilitaries appeared to be using it as a tactic to intimidate communities.

A conference is being held in Kenya's capital, Nairobi, to highlight the impact of the war in Sudan on women.

Source: BBC
 
Eti hao ndio watu wanaodai kumpigania Mungu, sijui ni Mungu sampuli gani huyo.
 
Huu mgogoro wa Sudan ulipaswa kuwa kipaumbele kikubwa kwa Waafrika kujadili na kutafuta namna ya kuutatua. Cha kushangaza, attention yote imepelekwa kwenye migogoro mingine ya mbali zaidi.
 
Back
Top Bottom