Wanawake wengi Kanda ya Ziwa huweka ugoro sehemu za siri ili kujistarehesha

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
617
1,801
Baadhi ya vitu wanavyofanya baadhi ya watu vinaweza kuwa chanzo cha saratani ya shingo ya kizazi Kanda ya Ziwa, ingawa hakuna tafiti zinazoonesha kuwa vitu hivyo vinaweza kuwa visababishi vya moja kwa moja.

Meneja wa Ubora na Uvumbuzi kutoka Mradi Mtambuka wa Saratani Tanzania (TCCP) Aga Khan Foundation, Edna Selestine ametaja sababu zinazowafanya wanawake wengi hasa wa kanda hiyo kuweka ugoro sehemu za siri ikiwemo kujistarehesha.

Bi Selestine ameeleza kuwa kuna changamoto kuwa wanawake wengi wanaovutia ugoro sehemu za siri na wanapoenda kwenye vituo kufanyiwa uchunguzi wanakutwa wameweka ugoro.

Ameeleza pia kuwa wale wanaotumia wapo wanaosema wanatumia kama kilevi na wengine wanaeleza kutumia kutokana na kutokuwa na wanaume, kutoridhishwa na wanaume wao na mazoea.

Lakini pia, amaesema wanajamii bado hawajaelewa viashiria au visababishi vya saratani na kuna changamoto kwani wapo wanaoamini kuwa saratani ni ugonjwa unaotokana na ushirikina. Kwahiyo mtu anapokuwa anaugua anaamini kuwa amelogwa na wakati huohuo wengi wanapenda kwenda kwenye matibabu ya asili.

Baadhi ya vitu watu wanavyovifanya vinaweza kuwa chanzo cha saratani ya shingo ya kizazi kanda ya ziwa, ingawa hakuna tafiti zinazoonesha kuwa vitu hivyo vinaweza kuwa visababishi vya moja kwa moja vya saratani.

Meneja wa Ubora na Uvumbuzi kutoka Mradi Mtambuka wa Saratani Tanzania (TCCP) Aga Khan Foundation, Edna Selestine ametaja sababu zinazowafanya wanawake wengi hasa wa Kanda ya Ziwa kuweka ugoro sehemu za siri ikiwemo kujistarehesha.

Bi Selestine ameeleza kuwa kuna changamoto kuwa wanawake wengi wanaovutia ugoro sehemu za siri na wanapoenda kwenye vituo kufanyiwa uchunguzi wanakutwa wameweka ugoro.

Ameeleza pia kuwa wale wanaotumia wapo wanaosema wanatumia kama kilevi na wengine wanaeleza kutumia kutokana na kutokuwa na wanaume, kutoridhishwa na wanaume na mazoea.

Lakini pia, amaesema wanajamii bado hawajaelewa viashiria au visababishi vya saratani na kuna changamoto kwani wapo wanaoamini kuwa saratani ni ugonjwa unaotokana na ushirikina. Kwahiyo mtu anapokuwa anaugua anaamini kuwa amelogwa na wakati huohuo wengi wanapenda kwenda kwenye matibabu ya asili.

View attachment 2841144
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom