Baada ya kuomba ushauri hapa jukwaani, watu walichangia kwa hekima, kuna waliosisitiza nikatoe mahala ninapoabudu pia kuna walionishauri nikatoe kwa watu wenye uhitaji.
Pia kunawaliosema nikatoe ninapoabudu halafu pia nikatoe kwa wahitaji.
WOTE MLIOCHANGIA, NAWASHUKURU SANA.
Mm na mke wangu...
Mwezi Oktoba mwaka huu timu ya madaktari bingwa 11 kutoka China iliwasili mkoani Kigoma, ambako ilitoa huduma za matibabu kwa wenyeji wa huko kwa muda wa siku tano, ikiwa ni pamoja na huduma za ushauri wa kimatibabu na upasuaji. Balozi wa China nchini Tanzania Bibi Chen Mingjian aliyehudhuria...
Hala Al-Karib ambaye ni Mkurugenzi wa Taasisi ya SIHA inayojihusisha kutetea Haki za Wanawake Barani Afrika amesema Asilimia 70 ya matukio yaliyorekodiwa ya Unyanyasaji wa Kijinsia ni Ubakaji wa Magenge
Anasema hali hiyo imeongezeka hasa baada ya kuibuka kwa vita Aprili, 2023
Akizungumza na...
Unapokuwa na Familia Usiseme Kazi yako ni kuwapa Chakula tu na Sehemu ya kulala.
Unapoitwa Baba au Mama Lengo kubwa sio kumpa mtoto Chakula au Sehemu ya kulala , Maana kila mtu anaweza kufanya hivyo.
Unapokuwa na Familia tenga Muda wa kumjenga mtoto wako kumpatia MAARIFA ya kumjenga Kama...
Wakuu salama?
Naomba kujua chimbo gani zuri naweza kupata pikipiki aina ya YAMAHA mkoa wa Mwanza. Nijue pia bei ya Pikipiki mpya na used.
Nikipata mawasiliano ya muuzaji nitashukuru zaidi.
Karibuni wakuu
Kwa Madiba kuna mambo,
Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma
Muuaji alikua na bifu na Marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo...
Habari Wakuu,
Natafuta Maduka, Vibanda vya Uwakala, Saluni na sehemu za kuweka Donat zangu.
Donati zangu zauza shilingi 100, nikiweka kwako nitakupa shilingi 20 kwa kila donati.
Nipo Mabibo, Dar es Salaam
Ninatafuta sana sehemu ambako kuna kitu kama mnada wa mbwa. Sehemu ambayo watu hupeleka mbwa wao kuuza hapo na watu huenda hapo kununua mbwa.
Yaani sehemu ambayo unakuta wauzaji mbalimbali wanauza mbwa aina mbalimbali ili uwe na nafasi ya kuchagua mbwa unayemtaka.
Sehemu yenye ushindani pia...
Issa Mtemvu akiwa anachangia hoja amesema ana kauli mbiu inayosema Kumtenganisha Rais, kumtenganisha Rais na Wezi, akisema yuko tayari kutofautiana na kauli ya Olesendek alisema "Kuwatenganisha Mawaziri na Wezi" akisema,
Anaamini Makamisaa wamepelekwa kwenye Wizara ili wawasaidie Wabunge na...
Nchi zetu za Afrika zimejaliwa ardhi kubwa na ujenzi wetu wengi ni ujenzi usiopimwa.
Mijjni uhaba wa ardhi umeshaonekana na kuna watu wanaoweza kubuni makazi ya watu wengi katika eneo dogo.
Picha ni chumba kinachoweza kupangishwa na mtu asiye na familia, hiki chumba kinaweza kuwafaa hata...
WAKATI baadhi ya watu wakiepuka kabisa mijadala kuhusu uchawi na kutilia shaka kuwepo kwake kwa sababu ya jamii zetu kupokea imani ya Kikristo, na imani ya Kiislamu, wengine tunaendelea kutafiti mambo hayo kinaga ubaga.
Miongoni mwa vielelezo vinavyopatikana huko ni kwamba uchawi ni elimu ya...
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Makong’onda, wilayani Masasi, Mkoa wa Mtwara, akituhumiwa kumpiga mkewe kisha kumuingizia panga sehemu za siri (njia ya haja kubwa) na kumsababishia majeraha.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 14, 2023; Kamanda wa...
Wenye ujuzi mnisaidie kuelewa hii kitu jamani. Ni nini historia yake? Ilikuaje yaani? Mbona imekuwa shida hivi?
Na joto lote hili watu wananyonyana tu. Kuna maumbile tofauti tofauti yenye tabia tofauti; watu wanamung'unya chumvi tu.
Pamoja na madaktari kusema kuwa maumbile ya kike yana kawaida...
1. KIMARA BARUTI
Ukiwa unatoka Ubungo kabla ya Kikifikia hiki kituo cha mwendo kasi cha "KIMARA BARUTI"
Kuna barabara upande wa kulia inaingia Kwenda Msewe na inatokea mpaka University of Dar es salaam
Katika hiyo barabara kama umbali wa mita 400 tu.
Palikuwa na eneo ya kiwacha cha Cement...
Haya maisha ni burudani kuna wanaume masharobaro akili finyu anakuja sehemu za bata huku ana pesa mbuzi kama elfu50 tu then anavimba, anamleta demu huku haja exhaust fully likes za demu kwenye mitoko wao wanadhani Heineken na savanna ndio kila kitu.
Sasa mimi silaha yangu kuu huwa ni kula...
Wakuu naomba msaada wenu.
Natafuta mzani mdogo wa battery wa kupima uzito kwa ajili ya mgogwa kwa jina la kibiashara inaitwa bathroom scale.
Tafadhali nisaidie kunijulisha ni maduka yapo ya nauza hizo bidhaa hapa Kariakoo au hapa Dar es Salaam.
Personally ukiyatazama Maisha ya uswahilini huwezi yatofautisha na Maisha ya kijijini.
Mfano Tandika
Bidhaa zipo bei Rahisi Sana Kuanzia soko la sterio na masoko mengine.
Mzunguko wa hela , uswahilini pesa haizunguki Sana labda bidhaa za chakula.
Warembo wa huku ni wale ambao hawana...
Mawakala wa kampeni ya kuoa na ndoa ni raha, tafadhari jiheshimuni sana, endapo kuoa ni raha na ndoa pia ni raha basi tunawaonya iwe ni marufuku tusiwaone kwenye sehemu zetu za bata na kwenye Magest mkiwa na michepuko.
Hio mizunguko tuwaone mkiwacna wake zenu wa ndoa.
Sauti iwafikie popote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.