polisi

  1. X

    JamiiForums Tanzania Ajira jeshi la polisi Tanzania

    Nawasogezea hii vijana , Mpya kabisa . kila la kheri
  2. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baraza la Habari Kenya lakemea Polisi kujifanya Waandishi wa Habari ili wakamate Waandamanaji

    Kupitia taarifa iliyotolewa na Baraza la Habari Kenya (MCK) imeeleza kuwa kitendo hicho kilichofanywa na baadhi ya Maafisa wa Usalama kimewaweka hatarini Waandishi wa Habari na kazi zao. Katika video iliyonaswa katika Maandamano ya Julai 19, 2023, imeonesha Afisa wa Polisi aliyejifanya kuwa...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Nimecheka kama mazuri vile, yaani polisi wamelazimika kuchomoka nduki, Wakenya bana

    Wakenya wakiamua huwa wameamua, tatizo nguvu zote hizi mwisho wa siku zinaishia kuwanufaisha wanasiasa, wanagawana mkate kisha mambo yanaisha, nakumbuka kitambo tulikua tunafanya maandamano yaliyokua yanaleta mazuri kwa taifa, sio haya ya siku hizi ya kuwapa viongozi madaraka......
  4. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Hivi wazazi wanaolipaga polisi wawapigie watoto wao huwa wana lengo lipi?

    Nyumba unakuta ina baba lakini cha ajabu wanamlipa polisi eti aende kutoa hukumu Nachojua suala la kutoa displini huwa linafaa zaidi mzazi ndio ashughulikie tena iwe kwa lengo la kumfunda mtoto na si kumuumiza. kwa maana hii ni kwamba ukimkodi mtu akuchapie mtoto wako, impact huwa ni ndogo...
  5. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO OCS kituo cha Polisi Igogo Mwanza jitathimini wewe na askari wako

    Ndugu wanajamvi Habari za muda huu, Nilifungua kesi polisi Igogo Mwanza na hii ni wiki ya tatu mtuhumiwa wangu hajakamatwa, mtuhumiwa amezidi kunitesa na kuniwinda njiani usiku ninapotoka kazini. Mtuhumiwa alinitishia kunidhuru ila RB Inasoma Kutoa Lugha chafu, Hii Imekaaje? Na kwanini...
  6. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: DCI Kingai kaniandikia barua ya wito wa kuripoti ofisini kwake. Nipo nje ya nchi, wiki ijayo narudi kumkabili

    Baada ya mawakili Mwabukusi, Madeleka & Ruge Nshala, sasa ni zamu yangu. Leo DCI Kingai ametuma watu kuleta barua ya kuripoti ofisini kwake. Wamerudi nayo baada ya kujulishwa niko nje ya nchi. Nitarudi wiki ijayo kuwakabili. Madalali wa bandari zetu wasitutishe! Rais anayesaini mikataba ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya serikali na CHADEMA mustakabali wake ukoje kwa hali ya sasa ya utendaji wa polisi?

    Kulikuwa na nuru kuwa serikali, polisi, mahakama, bunge to mention but a few, for that matter, watatenda kazi zao bila kuonea upinzania (hasa chadema) na kufuata sheria zilizopo ingawa ni mbovu, kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli. Sasa, jana na juzi yameanza kujirudia yale yale ya kutesa...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Polisi ni janga la kitaifa

    Ukweli askari polisi ni kero kubwa kwa wananchi. Ni kero kubwa kwa wakulima, wafugaji, wasafirishaji, wafanyabiashara na hata madereva barabarani. Kila jambo na kila kitendo wanachokifanya ni kwaajili ya kupata hela kwa njia ya rushwa au unyang'anyi kunakosababisha Wananchi wanakata tamaa ndani...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka akamatwa na polisi baada ya Mahakama Kuu kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP

    Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Polisi Arusha, Amekamatwa mara baada ya High Court Arusha kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP Taarifa zaidi kukujia ======== Tweet yake ya mwisho ilikuwa .... Mahakama Kuu ya Tanzania Arusha Leo tarehe 17 Julai 2023 IMEFUTA PLEA BARGAIN iliyoingiwa Kati...
  10. kitonsa

    JamiiForums Tanzania Polisi yapiga marufuku maandamano ya UVCCM ya kuunga mkono Serikali yaliyokuwa yafanyike Julai 18, 2023

    Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa. Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii. My take, Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Jeshi la Polisi kuwaanika wahalifu kwenye Televisheni kwa nini ulifutwa?

    Miaka ya nyuma jeshi la polisi lilikuwa linawaleta wahalifu mbele ya televisheni. Jambo hili nililipenda sana maana ile ni adhabu tosha kuliko hata kumuweka mhalifu gerezani ambapo Serikali itagharimika kumtunza. Kwa nini utaratibu uliondolewa kwa kisingizio cha kukiukwa haki za binadamu...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku watu kuvaa nguo zinazofanana na Majeshi ya Ulinzi na Usalama

    Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazofanana na majeshi ya ulinzi na usalama kwa watu binafsi. Atakayekiuka atachukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufikishwa mahakamani mara moja.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza sana Polisi wetu kwa utaratibu mpya wa kumuita mtu kwa barua au kupiga simu

    Utaratibu huu wa polisi wa kumuita mtu kwa kumpigia simu au barua afike kituo cha polisi ni utaratibu mzuri sana kwani unalinda staha na heshima ya mtuhumiwa. Na ni utaratibu wa kistaarabu sana. It is a civilized form of summoning the accused person. Katika hili nawapongeza sana polisi. Mambo...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi Mtwara inawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji disko

    Mtwara. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limewakamata watu wawili huku likimtafuta mtu mmoja kwa tuhuma za mauji ya Mahadhi Selemani Humbu (20). Tukio hilo lilitokea katika ukumbi wa disco ujulikanao kama ‘The Don’ uliopo Kata ya Ziwani katika Halmashauri ya Wilaya Mtwara June 30 mwaka huu baada...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa DKT. Rugemeleza Nshala wadai Askari wamepekua maktaba ya mteja wao kinyume cha Sheria

    Siku chache baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumpa wito Wakili Rugemeleza Nshala aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es Salaam, kuna mambo kadhaa yameibuka. Ikumbukwe kuwa Ofisi ya...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linachunguza kifo cha mtu mmoja aliyekutwa ameuawa ndani ya gari

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetangaza kuwa linachunguza tukio la kifo cha mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Felix Josephat Mgeni (47) anayedaiwa kuuawa na mwili wake kukutwa ndani ya gari ukiwa na baadhi ya vitu vingine vya jinsia ya kike. Akizungumza leo SACP Jumanne...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakili Boniface Mwabukusi aitikia wito wa Jeshi la Polisi, afika kituoni

    Wakili Boniface Mwabukusi ambaye ni mmoja wa mawakili wanaowawakilisha walalamikaji kwenye kesi ya kupinga mkataba wa bandari iliyofunguliwa mkoani Mbeya, ameitikia wito wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya baada ya kuitwa (kwa njia ya simu na maandishi) na polisi siku chache...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Polisi yazuia maandamano yaliyopangwa kufanyika Julai 12, 2023

    Imefikia taarifa ya Jeshi la Polisi Kitaifa kupitia vyombo vya habari kuwa kuna makundi au watu binafsi wanaopanga kufanya maandamano, migomo au mikusanyiko ya umma katika maeneo mbalimbali nchini, siku ya Jumatano, Julai 12, 2023. Ingawa Ibara ya 37 ya Katiba inahakikisha uhuru wa kukusanyika...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LHRC: Waliotishiwa maisha watoe taarifa polisi

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimekemea vikali matukio ya kutishiwa maisha kwa baadhi ya Watanzania wanaoonekana kuwa na mlengo au maoni tofauti. Sambamba na hilo, LHRC imekemea vitendo vya baadhi ya viongozi wa Serikali hususani mawaziri kutoa maonyo ambavyo yanaashiria...
  20. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Askari Polisi atuhumiwa kumuua raia Arusha kwa kumpiga risasi 3, Wananchi wamtuhumu kwa mauaji ya mara kwa mara

    Kijana mmoja aliejulikana kwa jina la Israel Daudi, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi 3 na askari Polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuachia ng'ombe kuingia shambani. Tukio hilo limetokea katika Mtaa wa Olaresho, Kata ya Olasiti katika Halmashauri ya Jiji la Arusha. Akizungumzia tukio...
Back
Top Bottom