polisi

  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ungekuwa Polisi ungetenda Haki? Je, usingekula rushwa?

    Sijawahi kuwa askari wa jeshi lolote ila nimekaa nimewafikiria tu polisi hasa hawa wa usalama barabarani. Je, ungekuwa ni askari trafiki, usingekula rushwa? Je ungetenda haki kwa kila anayepatikana na kosa kumuandikia cheti/ mkeka? NB: Sisi raia ndio tunawaomba Polisi wapokee rushwa zetu ili...
  2. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DJ aliyerekodi Video wakati mkewe akinywa Sumu hadi kufa, akamatwa na Polisi

    Jeshi la Polisi Nchini #Kenya, linamshikilia kwa mahojiano, #DJBrownskin (Michael Macharia Njiiri) anayedaiwa kurekodi tukio hilo ambalo limetajwa kuwa ni kosa la kusaidia kuua, kinyume na Kifungu cha 225 (c) cha Kanuni ya Adhabu. Upande wa Upelelezi umesema DJ huyo aliacha bila kuchukua hatua...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi ndio suluhu kwa madereva kuchepuka?

    Kumekuwa na huu mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi kwenye barabara ya bagamoyo ili wale wanaochepuka warudi kuunga na foleni kama wengine. Ni kwamba wamekosa njia kabisa ya kupunguza foleni asubuhi mpaka kuamua kuziba service road? Halafu cha kuchekesha ni...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Aitaka Wizara ya Mambo ya Ndani Kuboresha Makazi ya Polisi na Magereza

    MARTHA FESTO MARIKI AITAKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI KUBORESHA MAKAZI YA POLISI NA MAGEREZA "Katika Mkoa wa Katavi katika Jeshi la Zimamoto tuna takribani zaidi ya miaka 12 hatuna gari la uhakika la Zimamoto. Mkoa unakua, Serikali imewekeza ikiwepo Bandari. Mkoa unapokea wafanyabiashara wengi...
  5. benzemah

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku kuwasha fataki mechi ya fainali Yanga vs Usma uwanja wa Mkapa

    Kuelekea mchezo wa kesho Mei 28, 2023 wa fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na USM Alger ya Algeria itakayopigwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar saa 10:00 jioni, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema tayari limechukua tahadhari zote za kiusalama kabla, wakati na baada...
  6. halfcastmangi

    JamiiForums Tanzania Bajaji za pale Uhasibu Kurasini ni hatari kwa maisha ya wavuka barabara, Polisi ilitazameni hili

    Habari za uzima wana JF, Kuna kero huwa naiona na nimewahi kunusurika kugongwa na zile bajaji pale Uhasibu Kurasini, madereva wake wana tabia wanakuja chuo cha Uhasibu kwa kutumia upande wa magari yanayoenda Mbagala, sasa mtu akiwa anavuka anaangalia upande wa magari yaendayo Mbagala then...
  7. Koffi Annan

    JamiiForums Tanzania Polisi: Kigwangalla hajampiga risasi mlinzi Jumanne

    Polisi Mkoani Mwanza wametoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa mitandaoni kumhusu Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini na Mmiliki wa Kiwanda cha kuchakata Pamba kitwacho Mwalujo Ginery kilichopo Kijiji cha Mwalujo, Wilaya ya Kwimba, Hamisi Kingwangala kudaiwa kumpiga risasi Mlinzi wake Jumanne...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Dar: Ajaribu kuwakimbia polisi lakini aishia kukamatwa

    Hii imetokea mtaa wa Lumumba, haifahamiki kulikuwa na nini? Jamaa walikuwa wamekunjana kama ugomvi katikati ya kundi la watu. Hamadiii, difenda ya polisi yawasili na askari kuanza kupiga risasi hewani. Jamaa mmoja (mwanaume wa dar ) anakamatwa na kuanza kula makofi kisha anapakiwa kwenye gari...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa aipongeza CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha usalama kwa watalii Arusha

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa (wa pili kushoto) akiwa katika pikipiki zilizokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa Kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwa ajili ya kusaidia katika doria na kuimarisha ulinzi na usalama kwa watalii. Wengine pichani ni Mkurugenzi...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi Uganda ampiga risasi Mhindi dukani

    Tena alirudi mara ya pili kuhakikisha anamuua kabisa....
  11. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wabaini maiti nyingine 29 kwenye Makaburi ya Shakahola, miili yafikia 179

    Polisi nchini Kenya Ijumaa wamepata miili 29 zaidi katika Msitu wa Shakahola, idadi kubwa zaidi ya kila siku tangu uchimbaji wa kaburi uanze mwezi uliopita, ikiwa ni uchunguzi dhidi ya sakata la Mchungaji Paul Mackenzie. Awamu ya pili ya uchimbaji wa miili ilianza wiki hii, baada ya timu...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania BAWACHA wadai wameruhusiwa kuandamana, Polisi yasema inasubiri siku ifike

    Wakati Baraza la wanawake Chadema (Bawacha) likieleza kuwa wameruhusiwa kufanya maandamano kesho, Jeshi la Polisi Kanda Maalum limesema linasubiri siku hiyo ifike. Mei 7, mwaka huu Bawacha walipanga kufanya maandamano ya kushinikiza Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson kuwaondoa wabunge 19 ambao...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Matumizi ya nguvu kupita kiasi katika ukamataji wa jeshi la polisi unavyodidimiza kaya masikini

    Nice try
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Musa Pwele ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za Kumbaka mwanaye wa kumzaa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Musa Pwele (47) Mkazi wa Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuzini na maharimu. Kaimu Kamanda wa Polisi, ACP Christina Musyani amesema tukio hilo limetokea Mei 05, 2023 Jijini Mbeya baada ya mtuhumiwa kumtishia binti yake wa kumzaa kuwa hatampatia huduma...
  15. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Madrid: Polisi Waandamana Wakidai Nyongeza Ya Mshahara

    Tumezoea kuona Polisi wakituliza maandamano ya Raia katika maeneo mbalimbali na hata wakati mwingine kushuhudiwa kwa vurugu kati ya Raia na Polisi wakati wa maandamano lakini mambo yamekuwa tofauti Nchini Hispania ambapo Polisi ndio wameingia Barabarani kuandamana kushinikiza nyongeza ya...
  16. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Mackeninzie analalamika polisi wanamnyima chakula

    DUNIA bwana,huyu analalamika polisi wanamnyima chakula wakati yeye aliwafungisha watu mpaka kufa ili wakamuone Yesu,kwani yeye hapendi kumuona YESU :D :D :D :D :D :D :D
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uganda: Askari Polisi wakamatwa wakituhumiwa kuwaibia wezi

    Jumla ya Askari Polisi 10 wamekamatwa Jijini Kampala baada ya watuhumiwa wa wizi waliokamatwa na askari hao kudai kuwa kiasi cha pesa kilichotangawa kuwa kimerejeshwa hakifiki hata nusu ya nusu ya walichoiba wao. Inadaiwa kuwa wezi hao waliiba Dola 110,000 (Tsh. Milioni 258.1) na Euro 700 (Tsh...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania SACP David Misime awataka Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi kuimarisha uhusiano na Waandishi wa Habari

    Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi nchini wametakiwa kuimarisha uhusiano na Waandishi wa habari ili kwa pamoja waweze kuelimisha jamii kuhusu miradi mbalimbali ya Polisi Jamii kwa lengo la kutokomeza uhalifu. Hayo yamesemwa na Msemaji wa Jeshi Polisi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Polisi wawatawanya wananchi waliotaka kuchota mafuta baada ya ajali ya lori

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, limefanikiwa kuwatawanya wananchi waliojitokeza kuchota mafuta, baada ya lori lenye namba za usajili T 810 AJL lililobeba mafuta aina ya dizeli kuacha njia na kuingia mtaroni kisha mafuta hayo kuanza kumwagika, katika eneo la Msimba lililopo wilayani Kilosa...
  20. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ianzishe kikosi cha Jeshi la Polisi Mazingira

    Kama Serikali ina nia ya dhati kufaulu kwenye usimamizi wa mazingira, Serikali haina budi kuanzisha kikosi cha jeshi la polisi mazingira. Suala la uchafuzi wa mazingira ni la saa 24 hivyo haliwezi likasimamiwa na watumishi wa wizara ambao hawana nyenzo za kuwadhibiti wahalifu.
Back
Top Bottom