polisi

  1. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

    Jeshi la Polisi Tanzania, limetoa onyo kali watu wanaotangaza mpango wa kuiangusha serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia akibainisha kuwa huu ni uhaini na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Akitoa taarifa hiyo, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wizi wa nafaka na mafuta ya Syria, “polisi” amegeuka kuwa “mwizi”?

    Shirika la Habari la Syria hivi karibuni liliripoti kuwa jeshi la Marekani "limeiba" kiasi kikubwa cha ngano kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na kuisafirisha kwenye kambi yake ya kijeshi nchini Iraq. Katika miaka ya hivi karibuni, jeshi la Marekani ambalo linajidai kuwa “polisi duniani”...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Polisi yapewa mafunzo ya kupambana na Ukatili wa Kijinsia

    Kituo cha Utafiti cha Jeshi la Polisi kilichopo Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam kwa kushirikina na Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) imeendelea na mafunzo awamu ya pili kwa kundi la wanafunzi wa kozi ya uofisa ambayo yamelenga kuwajengea uwezo na maarifa mapya katika...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mwanafunzi wa Darasa la 5 adaiwa kujinyonga. Ndugu wadai kuna kitu nyuma ya pazia kinafichwa na Shule na Polisi

    Ujumbe huu nimeukuta huko Duniani Naomba utupazie sauti, kuhusu mtoto wetu Heri Severin Yagaza (11) ambaye anadaiwa kujinyonga shuleni. Heri alikua darasa la 5, shule ya msingi Triple A iliyopo mjini Tanga. Inadaiwa amejinyonga bwenini kwa kutumia shuka, siku ya jumatano saa 10 jioni. Heri ni...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mbele ya Waziri Mkuu mzee asema bora afe asiposaidiwa kupatikana kwa mtoto wake anayedai alitekwa na Askari Polisi

    Katika hali isiyo ya kawaida Mzee Isaac Mwasilu amesema Bora arudi nyumbani na kwenda kufa kama itashindikana kusaidiwa kupatikana kwa mtoto wake aliyepotea tangu tarehe 11/11 mwaka 2021, kwa madai kwamba alichukuliwa kama Mateka na askari wa jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya aliyedai atampoteza...
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mwenge, Dar: Mapambano ya Polisi na Wamachinga. Mabomu ya machozi yatembezwa

    Polisi wanapiga mabomu ya machozi muda huu hapa Mwenge. Wanapambana na Wamachinga ambao wanajihami kwa mawe. Chanzo cha vurugu ni kwamba wamachinga wanagoma kuondoka maeneo waliyoamuriwa kutoka na kwenda kwenye eneo walilopangiwa katika barabara ya kwenda Cocacola. Nguvu kubwa inatumika...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Polisi Chato wasema gari la CHADEMA lililoharibiwa na watu wasiojulikana Agosti 2, 2023 lilikuwa bovu

    Nimecheka sana, tuna Askari wa ajabu sana sana. Waliruhusu gari bovu likazunguka kote likaenda kuungulia Chato baada ya vitisho vya Wasira na uvccm. Such a pathetic statement!
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Polisi yamsaka Mwalimu kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza

    Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa tuhumiwa huyo James Fabian Urasa anatafutwa kwa tuhuma za kutenda kosa hilo dhidi ya aliyekuwa Mwanafunzi katika Shule ya Msingi Samanga ya Wilayani Rombo. Inadaiwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo Julai 17, 2023 na kutokomea kusikojulikana Kamanda wa Polisi...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Je, Jeshi la Polisi linamkwamisha na kumgombanisha Rais Samia na Wananchi?

    Ni muda mfupi tu umepita tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan apokee taarifa ya Tume ya Haki Jinai na moja ya maeneo yaliyotajwa kama kinara kwa uozo na uovu ni Jeshi la Polisi hasa kitengo cha Usalama Barabarani. Wakati Rais Samia akifanya jitihada za...
  10. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Camera za polisi zinashindwa kutambua 3D plate Numbers

    Kufuatia operesheni ya kukamata plate number za 3D, habari kutoka vyanzo visivyotaka vitambulike ni kuwa, camera za polisi zile maarafu kwa kuwakamata wadaiwa sugu wa traffic fines! Zinashindwa kutambua plate number za 3D na hivyo kuisababishia jamhuri ya muungano wa Tozo kukosa mapato yake ya...
  11. Siafu na Manga

    JamiiForums Tanzania Kamata kamata tinted taa za Magari

    Kwa wale waliobahatika kuwa na usafiri kama umebandika tinted kwenye taa za mbele na nyuma kuna msako wakukamata unafanywa na polisi --- Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani limesema litaendelea kuwakamata madereva wa magari wanaoweka ‘tinted’ kwenye taa za mbele na nyuma...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wamsaka Chande Mwaigaga aliyetoa posa ya Tsh. 110,000 na mbuzi ili amuoe Mwanafunzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu 1. NAZARETH NDELE [50] 2. STEVEN MWAIGAGA [29] na 3. FARAJA MWAIGAGA [26] wote wakazi wa Kijiji cha Igunda Wilaya ya Mbeya Vijijini kwa tuhuma za kumtorosha mwanafunzi na kutaka aolewe na kijana wao kinyume cha sheria. Kamanda wa...
  13. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania nini mabaya na mazuri yao? Kuna umuhimu wa kuwa na Polisi binafsi?

    Polisi wa tanzania tumesoma na kusikia malalamiko mengi sana juu yao, mpaka inakuwa vigumu kuanza kutafuta mema yao. Tunaona kuwa Polisi ndiyo wamekuwa chimbuko la rushwa, imefikia mpaka kuna msemo mitaani "kuingia kwa pesa, kutoka kwa pesa" katika mema yao machache ni pale tunapoona kwenye...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi: Walinzi wa makampuni binafsi watumike sehemu zenye wageni wengi wakati wa Msimu wa NaneNane

    Maonesho ya wakulima ya Nanenane Kimataifa yanatarajia kufanyika mkoani Mbeya ambapo taasisi, mashirika ya serikali, mashirika binafsi na watu binafsi watashiriki katika maonesho hayo. Mataifa zaidi ya 30 yanatarajia kushiriki maonesho hayo yatakayofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale...
  15. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Polisi Trafiki wa Arusha mnakera sana kuwasimamisha watembeza watalii bila sababu, mkikosa kosa mnaomba rushwa

    Habari. Mimi ni Safari Guide, nina Kero kubwa sana kuhusu Traffic Police wa Arusha. Wamekuwa wakisimamisha magari ya watalii kila mahali hawajali kama umebeba wageni au la, waanza kuomba leseni na kukagua gari wanachukua hadi dakika 10 wamekusimamisha bila kujali umetoka wapi na unaratiba gani...
  16. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Hauwezi kuandamana halafu utarajie Polisi akupige Mabusu

    Naibu Rais huyo wa Kenya amesema Serikali haitowavumilia Wanaoandamana kwa kuharibu Mali za watu pia wajue wao ndio sababu ya Polisi kuingia Mtaani na kupambana nao, vinginevyo wangekaa tu Vituoni. Gachagua amewataka Askari kutekeleza majukumu na kutosumbuliwa na kauli za Wanasiasa wa Upinzani...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wanne wamepigwa risasi na Polisi Mjini Kisumu katika Siku ya Mwisho ya Maandamano ya Azimio

    Watu hao wanaendelea na matibabu katika Vituo vya Jaramogi Oginga Odinga Teaching na Hospitari ya JOOTRH baada ya kujeruhiwa kwa risasi katika maandamano yaliyoratibiwa na Azimio la Umoja One Kenya. Mmoja kati ya waliojeruhiwa ni Afisa Afya wa JOOTRH ambaye alipigwa risasi ya bega akiwa katika...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyumba ya Mtoto wa Uhuru Kenyatta yadaiwa kuvamiwa na Polisi

    Uhuru Kenyatta’s Son Jomo's Karen Home Allegedly Raided By Police Former President Uhuru Kenyatta now claims that his first-born son Jomo's residence in Karen was on Friday raided by mysterious individuals who identified themselves as police officers. Addressing the media on Friday night...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dar: Asalimisha Bastola na risasi kwa Polisi, adai uhalifu haulipi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kiusalama ikiwa ni pamoja na kushirikisha wananchi katika kuzuia, kubaini, na kupambana na vitendo vya kihalifu kuanzia ngazi ya mtaa. Katika hatua hiyo Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na wananchi wema limefanikiwa...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanga yanasa watu 11 wakidaiwa ni "Tuma kwa namba hii"

    Tanga. Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga likiwashikilia watuhumiwa 11 kwa makosa ya utapeli kwa njia ya mandao, majirani katika nyumba waliyokuwa wakiishi watuhumiwa hao wamesema wakiwa humo walikuwa na utamaduni wa kufungua muziki kwa sauti kubwa. Pia wanadai watuhumiwa waliokuwa wamepanga...
Back
Top Bottom