Gari T887 CKW imeibwa, atakayeiona atoe taarifa kituo cha polisi

Bemendazole

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
2,358
5,872
Kwa masikitiko napenda kutoa taarifa kuwa gari inayoonekana pichani imeibwa.

Aina ya gari: Nissan Gloria

No za usajili T887 CKW

Rangi: Nyeusi, iliibwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam.

Yeyote atakayeiona atoe taarifa kwa jeshi la polisi.

Ahsante kwa ushirikiano.

Wako

Mmiliki, Bemendazole

Gari 1.jpg

Gari 2.jpg
 
Dunia ya leo unaibiwaje Gari na usijue iko wapi?

Ulishindwa nini kufunga gps tracker?
Daah Dunia jinsi ilivyofunguka unadhani magari yanayoibiwa hawafungi hizo GPS gari inafungwa na hiyo tracker wafanyakazi wanauza password kwa wezi unakuta Ford ila ina tracker ya Toyota na Ford na bado wezi wanaiba na tracker zako watazifukia sehemu wajanja wanachezea sana Technology aisee...
 
Back
Top Bottom