pesa

  1. Liverpool_Jr

    JamiiForums Tanzania Pesa bana ukiwa nazo your the King

    Billionea Laizer kaingia sabasaba akapokewa na KATIBU WA WIZARA. Kilichonishanga ni kwamba Watumishi wa wizara kuvaa mashuka ya kimasai. Unadhani wamevaa kwasababu yake NOOO KUBWA SANAA. Wamevaa kwasababu mshua ana Bill 7.8 mfukoni..!! Kila anakopita ni Laizaa laizaaa. Hela bana, ukiwa Nazo...
  2. SumadaVinci

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wenye pesa tu

    DEPRESSION is for people who have money.not you ,my friend you're just suffering from anger mixed with hunger
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tujadiliane hapa videos ambazo hazipo Youtube ila Watanzania wanapenda ziwepo wadau tupige views na pesa

    Nadhani kila moja jukwaa hili anajua youtube wanalipa pesa kwa videos zako unazokubali kuwawekea matangazo yao. Hakuna kipimo kimoja ama kilichokuwa fixed kujua malipo ni kiasi gani kwa views kadhaa ila ukweli ni kwamba pesa ipo. Sasa naombeni wadau tupeane idea za niche gani ambayo wabongo...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Ni aibu na fedheha watia nia wa CCM kuzidiana kwa kugawa pesa ili kujitambulisha

    Yaonekana CCM ndo tatizo la nchi hii. M/kiti wao alisema hataki rushwa katika uchaguzi. M/kiti huyo anasisitiza atawakata wagombea wote wala rushwa. Akazidi kusema rushwa ni mdudu mbaya sana! Baadaye ameruhusu wagombea kujitambulisha majimboni. Huku majimboni imekuwa ni kugawa pesa. Kila...
  5. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Hivi vitambulisho vya mjasiriamali mdogo vina maana gani hasa? Pesa inayokusanywa ni ya nani na inakwenda wapi?

    WanaJF, habari zenu wote!! Hebu tulijadili tena hili. Mwaka huu 2020 limekuja kiaina na kivingine kabisa. Limeniacha na maswali yasiyo na majibu. Labda wenye majibu watatushirikisha... Ni kuhusu hii kitu iliyopewa jina la "KITAMBULISHO CHA MJASIRIAMALI MDOGO". Mimi naona kama ni usanii na...
  6. bigmen

    JamiiForums Tanzania Pesa ya masishi yangu

    Sio mapenzi sio pesa vyote hivi vinanisumbua akili yangu, ila kwa suala la pesa nazani limefika mwisho wa kusumbua akili yangu.. Maana kwa jinsi hali ilivo ngumu nimeongea na ndugu zangu wanipatie pesa za mazishi yangu nitumie, halafu nikifa nitajua mwenyewe cha kufanya.😆😆😆
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tutaelewana taratibu; Ukitoa pesa kwa wakala wa pesa Jina liwe la jinsia tofauti na yako hutakiwi kupewa pesa zaidi ya kukamatwa

    Mfano wewe Ni jinsia ya kiume (Me) ukaenda kutoa pesa kwa wakala halafu jina lionekane mtoaji aliyetoa ni jinsia ya kike (KE)! Utaratibu wa Sasa hutakiwi kupewa pesa hiyo vinginevyo Ikitokea iwe Ni kwa huruma ya wakala! Utaratibu kwa Sasa wenye majina yenye mashaka sahivi unapaswa kuonesha...
  8. bigmen

    JamiiForums Tanzania Pesa hukupa heshima na jina, lakini pesa hiyo hiyo inaweza kukupa fedheha na kukudhalilisha bila kujali wadhifa wako au umri

    Pesa inakupa heshima na jina vile vile, lakini pesa hiyo hiyo inaweza kukupa fedhea na kukuzaraulisha bila kujali wadhifa wako, umri, busara zako na elimu yako. Watu wengi wanaeza uliza kivipi pesa ikupe fedhea na kukuzaraulisha...? kwa sababu wao wanaamini kuwa pesa ndio kila kitu lakini...
  9. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Kazi zenye pesa zisizojadiliwa na vijana hizi hapa

    Natumai hamjambo, kichwa Cha habari kinajieleza, Kuna kazi vijana wengi hawazijadili ila ukizizingatia unaweza ukatengeneza kampuni kubwa Tena yenye kuheshimika 1; Shoe care, hi inajumuisha kushona viatu vilivyochanika, mikoba, begi, nk, kung'arisha viatu na kufua viatu, Hakika, kwa mtaji wa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

    Socialite wa mitandaoni kutoka Nigeria, mfanyabishara hewa Hushpuppi aliekamatwa mwezi uliopita mjii Dubai amehamishiwa Marekani na kusomewa mashtaka ya utakatishaji pesa na uhalifu wa kimtandao. Atuhumiwa kutaka kutapeli club moja ya EPL wamtumie Pound 100M sawa na Dollar 124M au Bilioni 280...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nikiona wanafunzi wa Sekondari na Vyuo wanaenda shule, naona kama wanaenda kupoteza muda na pesa

    Maana sasa ajira hamna (statistically ajira zipo chache mno), wanaenda kusomea nini cha ziada? mm naona elimu ya form 4 inatosha kabisa kuishi kitaa, mtu akishajua hesabu ya kujumlisha, kutoa, kugawanya, kuzidisha, kusoma na kuandika kiswahili na kingereza, bookeeping inatosha vizuri tu, + kama...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tabia ya watu kuniomba pesa kuwaacha wenye pesa inatokana na nini?

    Habari za majukumu wadau wenzangu. Nimekuwa nikiombwa hela na watu tofautitofauti tangu nikiwa Mdogo kabisa. Nilipokuwa nasoma shule, nikirudi likizo watu huniuliza una buku hapo? Hadi leo nahangaika na maisha yangu bado mizinga ni mingi. Mfano kuombwa Shililingi 200, 500, 1000, 5000, 10000...
  13. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Prof. Anna Tibaijuka: Waandishi walipewa pesa ili kunichafua, sijawahi kutamka "pesa ya mboga"

    Akiongea Star TV kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Prof Tibaijuka anayejinadi kama mtu wa hoja amesema kuwa wakati wa sakata la Escrow hakusema hela ile (1.6 bil) ni ya mboga Bali wabaya wake ndio waliwanunua waandishi ili wamchafue. Chanzo: Star TV
  14. mgt software

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge mmemaliza muda wenu msirudi Dodoma kupiga mizinga. Pesa zenu ziwekeze mzalishe ajira; msizitumie kwenye rushwa ya kuomba kura

    wana JF Haya sasa mshapewa chenu, sasa tunataka kuona mahubiri yenu mliyokuwa mnatuhutubia kuhusu ajira , kilimo kwanza, viwanda. tayari mtaji wa kuwa na viherani saba kuwa kiwanda mnazo hela. Sisi wasio na kazi tunangoja hela zenu zitutengenezee ajia. Muigeni Mh. Pinda anafuga Nyuki, anafuga...
  15. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe hatafuti urais, bali anatafuta njia ya kupiga pesa

    MBOWE HATAFUTI URAIS, BALI ANATAFUTA NJIA YA KUPIGA PESA - Ni mjasiriasiasa mbobezi, Kwake muhimu ni pesa na sio huduma kwa wananchi - Anafahamu katika dunia ya leo hakuna mtu anaweza chagua Rais aliyepata sifuri darasani na kuacha Rais mwenye PHD - Anajua akigombea yeye atakusanya pesa kwa...
  16. Dunamist

    JamiiForums Tanzania Ni pesa gani huwa unazikumbuka ukifulia?

    Binafsi huwa nazikumbuka sana - Ngawira zangu nilizolipia gym wakati ningeweza kupiga zangu push ups home na jogging nikachoma calories kama kawaida, na - Zile nilizolipa car wash kuosha kamkweche kangu wakati ningeweza kukapiga maji mwenyewe home alone kakang'aa kama kawaida Wewe je!
  17. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili sitaki nifeli, naombeni ushauri wenu waungwana

    Nimemaliza chuo muda (2016) kidogo, nimesota sana kupata ajira, nimesota sana mpaka nilifikia kukata tamaa ya maisha, Mungu mkubwa mwaka jana mwezi wa 5 nikaja kupata kazi kwenye mradi mmoja hivi, kutokana na mapito ya kukosa kazi na kuangaika mtaani, nilijichanga mnooo mnoo nilijichanga kupita...
  18. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ruja, mwanamama aliyewatapeli watu pesa yenye ukubwa wa nusu ya bajeti ya Tanzania na kupotea kwenye uso wa Dunia

    Miaka saba liyopita, Dr Ruja alikuwa akifanya kazi kama mshauri katika shirika moja la kimataifa linahusiana na mambo ya kifedha. Akiwa hapo, ndipo aliposikia habari za bitcoin, pesa mpya ya kimtandao ambayo ilikuwa imeanza kukua kwa kasi ya ajabu ikiwa huru bila kuhodhiwa na benki kuu. Bei ya...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

    Inasemekana ni kwa ajili ya kuwawezesha viongozi wa ccm kufanya shughuli za chama kwa urahisi , Jumla ya baiskeli zilizogawiwa ni 780 Kutoa ni moyo .
  20. K

    JamiiForums Tanzania Funzo: Rais Pierre Nkurunziza pesa ameziacha

    Alitawala kwa nguvu na hakuondoka mpaka Bunge limpe mshahara kwenye nchi masikini. Sasa jiulize yuko wapi leo. Hawa viongozi wetu wa Mungu watu wajue huwezi kujua kesho kitatokea nini! Burundi's parliament has voted to pay $530,000 (£400,000) to President Pierre Nkurunziza and provide him with...
Back
Top Bottom