Je, Rais Magufuli anachelewesha Baraza la Mawaziri sababu Serikali haina pesa?

Ashasembeko

Senior Member
Dec 14, 2017
192
1,000
Katika hafla ya kumwapisha Waziri Mkuu Majaliwa na Mawaziri Mpango na Kabudi, Magufuli alisema wazi kuwa hana haraka ya kuteua baraza la mawaziri. Sababu yake ilikua ni uwingi wa wabunge wa CCM ambao unampa muda mwingi wa kufikiri na kuchambua yupi anayefaa.

Leo wakati Mwinyi wakati anatangaza mawaziri wake alisema baraza hilo halitakua na manaibu mawaziri ili kubana matumizi ya serikali, akaongeza atawateua hapo itakapohitajika. Kwa jicho la haraka hili linaweza kuonekana kama jambo jema, kwani manaibu mawaziri huwa wanaonekana kama hawana kazi ya maana sana.

Ila, kwa jicho la upana, huu uamuzi unaashiria kuwwa kuna ukata wa fedha za kuendesha serikali maana Mnaibu Mawaziri ni takwa la sheria na wanatambiliwa na katiba ya Zanzibar kifungu namba 47 na 48. Kwa namna hii Mwinyi anavunja katiba. Hatakama nia ni kubana matumzii, utaratibu na sheria za nchi zifuatwe.

Uwamuzi huu Mwinyi umenionyesha kuwa hata kwenye serikali ya Muungano, kuna ukata wa fedha. Sio siri kuwa CCM ilitumia nguvu na mali nyingi sana za serikali katika uchaguzi huu (pengine kupita chaguzi zozote zilizopita). Ukiongezea na kuwa serikali, kwa mara ya kwanza imetumia billion 260 kugharamia uchaguzi, utagundua kuna tatizo kubwa la kifedha serikalini tusiloambiwa.

Pia, jumuiya za kimataifa zinafikiria kupunguza misaada yao kwa kutofurahishwa na jinsi uchaguzi ulivyoendeshwa. Ndio maana kwenye hotuba ya Magufuli aligusia sana sekta binafsi na uwekezaji. Anajua huko ndipo atategemea pesa nyingi miaka hii mitano. Na ofisi ya uwekezaji kaiweka kwenye Ofisi ya Rais aisimamie mwenyewe.

Naona wafanya biashara wanakenua na kufurahia hawajui linalokuja. Miaka mitano iliyopita tumeona jinsi walivyopewa makesi ua uhujumu uchumi na kuwekwa ndani ili baadae wanunue uhuru wao through "plea deals".

Mpango na Kabudi wameteuliwa wa kwanza mahususi ili wawatongoze mabeberu an kuwaomba fedha zao maana hali ni mbaya. Tumeshaona mawaziri walioita kama Kalemani wakizindua miradi. Je wanafanya volunteering? Wote tunajua baraza la mawaziri ni expensive. Magufuli anachelewesha kulitangaza ili asave ela hizo. Tutubirie na sherehe za uhuru zifutwe tena mwaka huu.
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
7,000
2,000

Mimi nashauri kusiwepo na mawaziri kabisa aisee.

Mkuu wa mkoa
Mkuu wa wilaya
Mbunge
Waziri
Raisi
Diwani
Mwenyekiti wa mtaa aaaaah mambo kibao.
 
King Kisali

JF-Expert Member
Nov 20, 2019
770

Jiwe ananyooshwa muda si mrefu , yeye alifikiri akitukanyaga kichwani watanzania wote akajua na dunia nzima hivyohivyo , muda si mrefu utawasikia wenye dunia wanafanya yao .
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
9,948
2,000
Hapa vita ya uchumi imekua kubwa kuliko vitta ya siasa na demokrasia inatumika kuuficha ukweli
Tanzania ya sasa mamaa ai mamaa inawakawaka mamaa ai mamaa
82652-flags-africa-tanzania-map.gif
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom