Kuanzia mwezi huu kama huna pesa usije Dodoma

Kuanzia mwezi huu kama huna pesa usije Dodoma

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,907
Reaction score
28,464
Kama mnavyojua wandugu kuwa kwa sasa makao makuu rasmi imekuwa ni Dodoma, mpaka Rais yuko hapa, Waziri Mkuu na wadosi wengine wamehamia huku.

Kwahiyo gharama za vitu na bidhaa zimesogea kidogo hasa kwa upande wa wale jamaa wa kula Faru John mbuzi katoliki.

Yaani hapa nilipo naona kama ni dharau hata panya na kunguni wa ndani kwangu naona wananidharau kwani wanazaliana na Mimi ndo nawalisha.

Kibaya zaidi wao wana familia kazi yao wao ni kufyatua mitoto ndani.

Huku Mimi mlezi wao mwaka huu nilipanga niwe na mtoto wakati hata mama yao sina.

Imagine kipindi hiki cha kilimo cha watoto.

Usije Dodoma.

Funzo: tuache kulala na kunguni
 
JAKANA, RAINBOW
TOROKA UJE, KWA MATEI, MPEPO, ROSE GARDEN, CHAKO NI CHAKO, DODONA CARNIVAL, CAPE TOWN, FORU WAY
N.K baadhi ya machimbo ya zamani enzi za JK

Soon nakuja huko
 
JAKANA, RAINBOW
TOROKA UJE, KWA MATEI, MPEPO, ROSE GARDEN, CHAKO NI CHAKO, DODONA CARNIVAL, CAPE TOWN, FORU WAY
N.K baadhi ya machimbo ya zamani enzi za JK

Soon nakuja huko
Saiv ni mwendo wa Pestana, Waswanu, Rainbow, Royal, Malaika, Wazee Pub, Sinza, Sky Longue, T-Square, Pub 150, ....
 
JAKANA, RAINBOW
TOROKA UJE, KWA MATEI, MPEPO, ROSE GARDEN, CHAKO NI CHAKO, DODONA CARNIVAL, CAPE TOWN, FORU WAY
N.K baadhi ya machimbo ya zamani enzi za JK

Soon nakuja huko
Hata sio trending tena, kuna vitu vipyaaa.
 
Soon nakuja huko nshachoka foleni za Dar
Dodoma foleni ndo inaanza aanza 😁😁, halafu wao roundabout huwa ni kuwahiana kupita,,yaani kosa kosa za ajali ni nyingi,,halafu magari yanakimbia mjini utadhani yako safari rally..Roho mkononi..
 
Dodoma foleni ndo inaanza aanza 😁😁, halafu wao roundabout huwa ni kuwahiana kupita,,yaani kosa kosa za ajali ni nyingi,,halafu magari yanakimbia mjini utadhani yako safari rally..Roho mkononi..
Nimeishi hapo Uhindini kwa miaka kama6 hivi

Narudi maana mwajiri anapanga bajeti tugeuke huko
 
Back
Top Bottom