pesa

  1. GLOBAL CITIZEN

    JamiiForums Tanzania Pesa bhana, kama Mwanamke Mzuri vile (Pisi Kali) usipompa attention anakukimbia

    Kwanza kabisa napenda kuwasalimu Jf family. Ni tumaini langu u buheri wa afya. Kama sivyo nakuombea upate afya njema ili uendelee na kazi zako zakusaka noti. Leo nataka nikuonyeshe jambo kuhusu pesa na pengine itakusaidia kubadili fikra zako vile unavyoiwazia pesa. Kwa wanaosoma nyuzi...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mel B anamtaka Eddie Murphy kuongeza pesa za malezi ya mtoto wao Angel

    Mel B na Eddie Murphy walibahatika kupata mtoto wa kike Angel mwenye umri wa miaka 10 sasa. Miaka tisa iliyopita walifikia makubaliano Eddie awe anampa Mel B £21,000 kwa mwezi kwa malezi ya mtoto huyo. Kutokana na kushuka kwa mapato ya Mel B, ameamua kufanya majadiliano mapya ili Mr Murphy...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Pesa zenu ndio natumia mimi. Endeleeni kujifanya Vidume

    Ni mwaka na nusu sasa nina mchepuko wangu ni Traffic. Naenjoy sana. Huwa haniombi pesa na nikijifanya kutaka kumpa anacheka sana. Ananambia yeye mtaji wake ni Uniform tu akitinga hizo akaenda simama barabarani ndani ya dk 20 ana zaidi ya 70,000. Anajua mitego ya sehemu watu wana fanya makosa...
  4. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani CHADEMA itakuwa moja tena bila pesa za ruzuku?

    Najiuliza sana na sipati jibu hivi kwa pigo hilo itakuwaje CHADEMA bila ruzuku itabaki moja tena! Ni kwa namna ipi itapata pesa za kulipa mishahara watendaji wake wa ngazi mbalimbali? Je, kama CHADEMA ilikuwa ikitegemea pesa ya ruzuku kuendesha mambo mengi/yake sasa itakuwaje?
  5. mzushi

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ni upotevu tu wa muda na pesa usio na msingi

    Nadhani ifike muda tuachane na huu ujinga wa kiini macho cha so called uchaguzi, huu ni upotevu mkubwa sana wa muda na pesa bila sababu ya msingi. Watu wameshapanga matokeo since day one na wanajua kabisa wanachokwenda kufanya why muhangaike kupoteza pesa za walipa kodi na muda wao kwa njia ya...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Apps za kutuma pesa

    Naomba kujuzwa kuhusu hizi app za kutumia pesa toka ughaibuni kuja Tz. Nasikia kipindi hili cha uchaguzi zimezuiwa kwa muda kufanya kazi hapa Tanzania.
  7. minyoo

    JamiiForums Tanzania BoT acheni Usumbufu juu ya pesa za watu

    Kutumiwa pesa toka nje ya Nchi sasa ni dhahama kubwa maofisa wa BOT wanaleta usumbufu mkubwa na baadhi wamegeuza kama kitengo cha kupigia pesa kwa kuwatisha waliotumiwa pesa kuwa watapewa kesi za utakatishaji pesa. Utawala huu imepelekea wajanja wachache kutumia fursa hizo kujinufaisha na hapo...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Diaspora changeni pesa mfanye kitu kikubwa nyumbani

    Diaspora mkiweza kuwekeza kwa mfano muweke $100 kila mwezi kila mmoja. Muunde kamati, muamue kujenga kitu mfano Mall. Inategemea idadi yenu, mkiwa 20+ mtamaliza haraka. Mkimaliza kila mtu aingiziwe faida yake kila mwezi. Hata mkichoka kubeba mabox faida itakua inaingia kila mwezi kama kiinua...
  9. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ni Watanzania wangapi wanamudu kusafiri na ndege kwa pesa kutoka mifukoni mwao?

    Tumekuwa tukisikia wanasiasa fulani wakijisifu kuleta maendeleo kwa kununua ndege na wengine wakikosoa vikali uamuzi huo. Ukweli unaokubalika kwa makundi yote mawili kuhusu usafiri wa ndege ni kuwa; usafiri wa ndege ni jambo la gharama kubwa na huenda ni mahususi kwa baadhi ya watu tu. Nimekaa...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini mke wako akikuta meseji ya mchepuko ukiomba msamaha na kufanya nae mapenzi anakusamehe?

    Hii nimeishuhudia mara kwa mara maeneo mbalimbali ila Jioni hii ndiyo 'nimeithibitisha' kabisa. Kuna Mke wa Watu 'Kafumania' Meseji ya 'Hawara' ya Mumewe katika Simu yake na kwa jinsi Mwanamke ( Mke ) huyu alivyokuwa akifoka, akipiga kelele, akitishia Kuondoka kurejea Kwao huku akimtukana huyo...
  11. The Master pizo

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutengeneza pesa kutumia Mobile App

    Habari za leo wandugu! napenda kushirikishana nanyi jambo moja ambalo yamkini wengine walishalizungumzia au wanalifanya lakini sio mbaya na mimi nikiligua kwa nafsi yangu. kwa kipindi hiki cha sasa kumekuwa na wimbi kubwa la kukosa ajira na hivyo kupelekea mai9sha kuwa duni kwa baadhi ya watu...
  12. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

    Mtu ukiwa na hela ya kueleweka ama kama unataka kuwekeza kweli kwa watoto wako, wasomeshe international schools au shule zenye mitaala ya kimataifa kama Cambridge, IB nk. Hizi shule zenye mitaala ya kimataifa zinawajenga watoto kwenye analytical skills, reasoning, logic, creativity, competence...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama huu 'Utafiti' wa 'Kisayansi' ni kweli basi nashauri Wanaume wote tuanze Kudai 'Pesa' zetu tulizokuwa 'tukiwahonga' Wanawake

    Wanasayansi na Wabobezi wa 'Kungonoka' wamedai ya kwamba katika ufanyaji wa 'Ngono' Mwanamke huwa anasikia 'Utamu Kunoga' kwa 65% na Mwanaume kwa 35% tu. Na ili kuonyesha kuwa hawa 'Wataalam' wamedhamiria katika kutuelezea ukweli wao hii 65% ya 'Utamu Kunoga' wanaopata Wanawake wameigawanya...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Brazil: Kiongozi mwanasiasa akutwa amesindika kitita cha hela kwenye makalio

    Tena mtu mzima mwenye heshima zake kama kiongozi, ameanikwa kwenye runinga ya taifa la Brazil na sasa taarifa zake zimeenea duniani kote Chico Rodrigues reportedly had 30,000 reais (more than £4,000) in his underpants. Photograph: Adriano Machado/Reuters Jair Bolsonaro’s efforts to portray...
  15. IAfrika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inaanza kutoa msaada kwa Mozambique baada ya watu 300,000 kuyahama makazi yako kufuatia mashambulio ya kigaidi

    Kenya imetoa msaada wa vyakula na madawa kwa zaidi ya watu 300,000 Mozambique waliofurushwa kutokana na vita vya kigaidi vya kundi la Ansar al-Sunna. Anyway kila mtu akichangia watapata usaidizi kwenye janga hili
  16. C

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuna Pesa za Jimbo la Kawe ni hawa hapa...

    Kwa muda mrefu hivi sasa kumekuwa na propaganda kuhusu utafunwaji wa Pesa za Mfuko wa Jimbo huku wengi wakimtuhumu Halima Mdee, Mbunge wa Kawe kuzitafuna pesa hizo! Ingawaje waendesha propaganda hawa wanataka kuaminisha watu kwamba mkwamo wa Jimbo la Kawe unatokana na ulaji wa fedha za jimbo...
  17. bothlegs

    JamiiForums Tanzania Mbona tunazidi kuwanufaisha mabeberu?

  18. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akili nyingi, alichokisema kuhusu pesa kupotea mtaani

    Huyu bwana akili zake nyingi sana pamoja na kua na ufahamu mkubwa wa masuala ya katiba na sheria lakini hayupo nyuma pia kwenye kuyafahamu masuala kazima ya kiuchumi. UNAJUA ALISMAJE? Lissu alisema kua pesa zimeadimika mtaani siyo eti kwa porojo za CCM kwamba dili hakuna, alisema kua pesa...
  19. Mi-Ann

    JamiiForums Tanzania Wakaka mnakosea mnapodhani pesa ndo inayotuvutia kwenu

    Omekua kawaida sasa kuona kila anayekutongoza anajaribu kuonesha how much he has. labda hii inachangiwa na namna tunavyoonekana kuwa ni viumbe tunaopenda kuhongwa. Utakuta msg inbox, "umekula?" ukijibu bado atakwambia "naomba namba yako nikutumie hela ya lunch". Au wengine direct kabla ya...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tangu nifanye ukarabati wa nyumba ya mama yangu, napata pesa nyingi karibu kila siku. Vijana tuamke baraka zetu wanazo mama zetu

    Habari wakuu! Mama yangu ana watoto 8 nikiwemo na mimi. Wanaume tupo 4 na wanawake wako 4. Kati ya watoto hao mmoja ambaye ni brother wetu yaani first born ndiye ana Pesa . Hizi milioni kumi, ishirini kwake zinapita mara nyingi tu sema ana roho mbaya sana. Anashindwa hata kuwajengea nyumba...
Back
Top Bottom