Serikali hii nguvu ambayo mmeipatia TRA kuwa na uwezo wa kushirikia account za bank za wateja (wafanya biashara) na hata kuchukua pesa, muingalie, huenda hiyo nguvu (Authority) wanaitumia vibaya. Kama mnawapenda wafanya biashara na mnapenda waendelee mtawalinda 🌽🌽🌽
#Uzi tayari
#maendeleo haya chama
Tigo tusaidieni maelezo,*150*01# inagoma
inasema
"Ndugu mteja, namba hii haipo. Kupata huduma za Tigo Pesa, piga *150*01#"
wakati umepiha namba hiyo hiyo.
Wanazingua
Seneta Norma Durango aliwasilisha muswada bungeni ili kumfanya kiungo huyo, ambaye alifariki wiki mbili zilizopita akiwa na umri wa miaka 60, kuwa kwenye noti ya 1,000 sawa na dola ($ 12, £ 9), noti ya juu zaidi.
Noti hiyo itakuwa na uso wa Maradona upande mmoja na picha ya moja ya mabao yake...
Je, pesa ni bahati? hasa ya kuzaliwa nayo?
Je, pesa ni kitu kinachotafutwa?
Je, pesa ina thamani ile ile tunayoiamini?
Je, ni kwa nini walio wachache wanamiliki kiasi kikubwa cha pesa na kutuacha wengine tuking`ang`aniana “Vijisenti” vilivyobaki?
Hayo ni maswali yaliyowahi na yanaendelea...
Kusema kweli kwa sasa wateja wa mabasi ya mikoani kupitia njia ya Morogoro rd. Watapata tabu sana.
Kwanza naipongeza serikali kwa juhudi zake katika mradi huo lakini location si rafiki kwa wateja wote.
Unatokea Mbagala,Mbande, Kisewe, Vikindu, Kisemvule, Gongo la Mboto na Chanika n.k...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimeja sana Afrika na hatufanyi maajabu?
Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanaume ya...
Wasalaam wana jamvi.
Bila shaka kila Mtanzania aliyepata wasaha wa kupita jangwani atakubaliana nami na Watanzania wengine kuwa Jangwani kunahitaji suluhu nyingine na si kila leo kutoa mchanga na kuchimba mitaro kwa sababu hivyo vyote havijawahi kuwa suluhu kabisa pale Jangwani kwani kila leo...
Kuna watu ukisikia wameua unaweza kudhani wana roho mbaya sana kumbe ni situation imetokea tu. Leo nilikuwa nachat na jamaa yangu, katika mazungumzo nikamuuliza hivi flani yuko wapi nina muda mrefu sijawasiliana naye kama miaka mitatu hivi. Jamaa akanijibu hata hajulikani alipo kakimbia mwezi...
Wakuu!
Huu ni utafiti Rasmi nilioufanya mimi mwenyewe kwa miaka mitano.
Utafiti wangu niliuweka kwa mtindo wa swali; WANAWAKE WAPI NDIO WENYE MAPENZI YA KWELI?
Muda wa Utafiti: Miaka Mitano
Sampo ya wafanyiwa Tafiti: Mia moja thelasini
Maeneo ya Utafiti: Dar es salaam, Arusha, Mwanza...
Kama mnavyojua wandugu kuwa kwa sasa makao makuu rasmi imekuwa ni Dodoma, mpaka Rais yuko hapa, Waziri Mkuu na wadosi wengine wamehamia huku.
Kwahiyo gharama za vitu na bidhaa zimesogea kidogo hasa kwa upande wa wale jamaa wa kula Faru John mbuzi katoliki.
Yaani hapa nilipo naona kama ni...
Amani iwe nanyi tena wadau!
Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU.
Napenda tu kusema yafuatayo
1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
Katika hafla ya kumwapisha Waziri Mkuu Majaliwa na Mawaziri Mpango na Kabudi, Magufuli alisema wazi kuwa hana haraka ya kuteua baraza la mawaziri. Sababu yake ilikua ni uwingi wa wabunge wa CCM ambao unampa muda mwingi wa kufikiri na kuchambua yupi anayefaa.
Leo wakati Mwinyi wakati anatangaza...
Mfumo wa chama kimoja utafanya maisha ya mtanzania kubadilika kabisa, kiuchumi, kijamii nk.
Tukiongelea upande wa magazeti hamna kipya kwa kweli, habari ni zile zile na watu ni wale wale tutakaowasikia. Hiyo ni mbaya maana itapelekea watu kutonunua magazeti na mwisho wake waandishi kwenye...
Pamoja na Sherehe mnazofanya mitaani kumbukeni pesa za Mkopo zinarudishwa kwa Rate ya 15% kwenye Basic Salary let say umeajiriwa unalipwa 2.5M utakatwa jumla ya sh. 0.375 Million so tukumbuke kuwa pesa inarudishwa ili na wengine wasomee pia kuna adhabu kama utachelewa kulipa ndani ya mda baada...
Jean Bokhasa alikua mwanajeshi aliyepigana WWII Katika jeshi la Ufaransa. Katika maisha yake jeshini kiongozi aliyemhusudu na kupenda kufuata nyayo zake alikua Napoleon.
Bhokassa alikua mfujaji sana wa pesa, aliishi maisha ya anasa sana. Wapinzani wake waliuliwa kama kuku.. Alipoamua...
Nimekaa nikawaza, Bunge la JMT lina wabunge zaidi ya 300 yani wabunge 264 wa kuchaguliwa na zaidi ya 100 wa viti maalum, maana nimesikia CCM imepeleka majna 94 ya wabunge wa viti maalum, chadema wana nafasi 19, na CUF 3.
Kila mbunge anakula zaidi ya milion 10, bado wawape zile tablet, bado...
Habari wana jamvi?
Natumai mu wazima wa afya.
Leo nina swali ambalo naamini likijibiwa hapa nitakuwa nimefumbuliwa macho ya fikra, pia watu wengi watakuwa wamefumbuliwa.
Swali: Ni vigezo gani huwa vinaangaliwa mpaka Serikali inaprintiwa pesa?
Kwa nini wasprint nyingi tukalipa madeni ya nje...
Ipo hivi wakuu, kuna biashara ya rafiki yangu ambayo ni ya familia ambayo ilikuwa inaenda vizuri tu inaingiza milioni 8 kila mwezi na ndiyo inayolisha familia
Sasa ile ni biashara ya familia na mkurugenzi ni baba yao, Pesa ikaanza kuchotwa dukani ili mzee afanyie mambo yake kwenye kesi ya...
Kenya kwa mara nyingine tena wamekwenda kulialia kwa IMF kuomba msaada wa bajeti (loan) ili wapambane na madhira ya COVID-19.
Ikimbukwe kwamba hawa viongozi walipokea jumla ya US$ 739,000,000 mwezi wa tano tu mwaka huu
Na kuonyesha msisitizo, Rais Kenyatta ametangaza night curfew upya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.