Wabunge zaidi 300 - nchi masikini kweli zina pesa nyingi

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,045
Nimekaa nikawaza, Bunge la JMT lina wabunge zaidi ya 300 yani wabunge 264 wa kuchaguliwa na zaidi ya 100 wa viti maalum, maana nimesikia CCM imepeleka majna 94 ya wabunge wa viti maalum, chadema wana nafasi 19, na CUF 3.

Kila mbunge anakula zaidi ya milion 10, bado wawape zile tablet, bado magari, bado posho, bado BIMA. Hivi haiwezekani tukawa na wabunge wachache kweli?

Nchi masikini nadhani tatizo siyo pesa bali ni vipaumbele. Maana malupulupu ya Mbunge mmoja, yanaweza kununua madawati na kuboresha madarasa ya shule.

Yani nchi kama Marekani na ukubwa wake wote, na pesa iliyo nayo ina members wa congress 535 tu ambapo 100 wanaingia kwenye Senate, na 435 house of representatives.
 
Nchi hii ni ya wapigaji tu wa pesa kama tungewapata watu kama Thomas Sankara nchi ingekuwa imepiga hatua kubwa sana ktk nyanja ya afya,elimu na kilimo.
Kuna mwandishi wa vitabu anaitwa Ayi Kwei Armah aliandika kitabu kimoja kinachoitwa The beautiful ones are not yet born alikuwa sahihi kabisa hatujapata viongozi wazuri wanaojali masirahi ya waafrika wenzao hasa Tanzania baada ya kuondoka mwl Nyerere.
 
Hiyo ni njaa tu na wivu vinakusumbua, tafuta pesa achana na siasa
Hakuna anayeweza kuikataa ilanaongelea kiujumla kama kuwa na wabunge wote hao ni tija kwa tifa. Siongelei wawe chadema au cuf, yani si kwa muktadha wa vyama vya siasa.
 
Nimekaa nikawaza, Bunge la JMT lina wabunge zaidi ya 300 yani wabunge 264 wa kuchaguliwa na zaidi ya 100 wa viti maalum, maana nimesikia CCM imepeleka majna 94 ya wabunge wa viti maalum, chadema wana nafasi 19, na CUF 3.
Kila mbunge anakula zaidi ya milion 10, bado wawape zile tablet, bado magari, bado posho, bado BIMA. Hivi haiwezekani tukawa na wabunge wachache kweli?
Nchi masikini nadhani tatizo siyo pesa bali ni vipaumbele. Maana malupulupu ya Mbunge mmoja, yanaweza kununua madawati na kuboresha madarasa ya shule.
Yani nchi kama Marekani na ukubwa wake wote, na pesa iliyo nayo ina members wa congress 535 tu ambapo 100 wanaingia kwenye Senate, na 435 house of representatives.
Hao ndio wanakula KEKI YA TAIFA.

Wewe chukua kitambulisho cha machinga uchape kazi kweri kweriiiiiiiiiii.

Hapo serikali imeajijri watu LAKI Tano (Kati ya watanzania Milioni Sitini ) na inawalipa Mishahara Uchwara ya LAKI kwa mwezi, huku kiiinua mgongo hakifiki hata Milioni MIA Baada ya kutumikishwa Miaka 30.

Ukiachana na hao watu Laki walioajriwa na serikali, wengine ni Wakulima na wengine kazi zetu ni hizi.
1.
1604949267855.png

2.
1604949340612.png
 
Back
Top Bottom