Mke aweka rehani nyumba ya mumewe benki achukue pesa na kumpa mchepuko

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,028
Kuna watu ukisikia wameua unaweza kudhani wana roho mbaya sana kumbe ni situation imetokea tu. Leo nilikuwa nachat na jamaa yangu, katika mazungumzo nikamuuliza hivi flani yuko wapi nina muda mrefu sijawasiliana naye kama miaka mitatu hivi. Jamaa akanijibu hata hajulikani alipo kakimbia mwezi uliopita anafutwa kwa kesi ya utapeli.

Eti jamaa alikuwa na mahusiano na mke wa mtu ambaye mume wake alikuwa ng'ambo. Basi sijui mdada penzi likakolea, jamaa akamshawishi aweke nyumba ya mumewe benki wachukue mkopo. Na mwanamke akafanya hivyo, pesa akampa jamaa. Jamaa akanunua usafiri wa maana na kutumbua. Jamaa anapata taarifa karejea anamsaka jamaa. Jamaa kusikia kaacha kazi na alikuwa anafanya kazi nzuri tu kakimbia.

Nikawaza, ningekuwa mimi huenda hata unaweza kujikuta unaua mtu. Yani niko nje huko nina hustle, wewe unagongwa halafu na nyumba yangu unahonga. Wallah naweza kukupiga risasi.
Wanawake tuoneane huruma jamani unaweza kumuofosaro mtu hivi hivi.
 
Kwa maelezo ya jamaa walifanya kufoji pia wakasaini documents kama vile jamaa ndiye mume wa mwanamke
Hapa kidogo yawezekana ila sio kirahisi vile maana ni mchakato mrefu kuanzia hati yenyewe na vitambulisho. Huwa bank wanafanya mpaka uthibitisho ni kamchakato labda iwe wamecolude na ofsa mikopo!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom