Hivi pesa ya kishika uchumba huwa ni shilingi ngapi?

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,182
2,000
Habari za Leo wakuu,

Nahitaji kujua hivi pesa ya kishika uchumba huwa ni shilingi ngapi? Na anayepanga huwa ni nani? Na anapewa nani?
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,199
2,000
We jamaa unaonekana kama umetoka mbio kwenye kikao cha kupeleka posa, mapigo ya moyo yapo spidi kama umelambishwa turufu kwa kukabwa koo. Tafuta mahala ununue pepsi baridi halafu uandike uzi wako vizuri.
 
mbenda said

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
611
1,000
Kushika uchumba kimegawanyika ktk sehemu 2

Sehemu ya kwanza ni ww kuwa na mwanamke ambe ni mpenzi wako alafu ukamwita rafiki yake au mtu yeyote lkn asiwe ndugu yako ukasema mm nampa huyu mpenzi wangu kitu hiki awe mchumba wangu rasmi,

Hapo utatoa chochote chenye thaman walau iyanzie 15 eflu na kuendelea sasa baaada ya hapo kama huyo mchumba wako atakuwa na mahusiano mengine unaweza ita watu wamuulize na hata kama kwao atatolewa barua unaweza mtuma mtu akawaambie kwmba bint yenu amepokea kishika uchumba kwa Fulani , kwa jina lingine tunaita kibani,

.sehemu ya pili ni kupatana na mpenzi wako anawaambia wazazi kwmba nimepata mwanamme na analeta barua ya uchumba ,kisha ww mwanaume unamtuma mtu apeleke barua ya uchumba ,sasa hapa kwa uchache unaweza weka 20 eflu na kuendelea kutokana na uwezo wako,

Kuna tofauti kati ya mpenzi na mchumba, ndio maaana kuna mama mpenzi , dada mpenzi , baba mpenzi nk ,

Lon hakuna mjomba mchumba kwa hiyo ukitumia lugha ya mpenzi inakuwa na tafsili nyingi tofauti na mchumba

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,199
2,000
Au jaribu kuwatafuta hawa vijana wataalamu waliobobea wa kubageni mahari. Juzi walienda kubageni mahari na walifanikiwa kuishusha mahari ya jamaa kutoka 900,000/= mpaka 350,000/=.
EYYM-bqXkAErVNS.jpeg
 
EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,182
2,000
Kushika uchumba kimegawanyika ktk sehemu 2

Sehemu ya kwanza ni ww kuwa na mwanamke ambe ni mpenzi wako alafu ukamwita rafiki yake au mtu yeyote lkn asiwe ndugu yako ukasema mm nampa huyu mpenzi wangu kitu hiki awe mchumba wangu rasmi,

Hapo utatoa chochote chenye thaman walau iyanzie 15 eflu na kuendelea sasa baaada ya hapo kama huyo mchumba wako atakuwa na mahusiano mengine unaweza ita watu wamuulize na hata kama kwao atatolewa barua unaweza mtuma mtu akawaambie kwmba bint yenu amepokea kishika uchumba kwa Fulani , kwa jina lingine tunaita kibani,

.sehemu ya pili ni kupatana na mpenzi wako anawaambia wazazi kwmba nimepata mwanamme na analeta barua ya uchumba ,kisha ww mwanaume unamtuma mtu apeleke barua ya uchumba ,sasa hapa kwa uchache unaweza weka 20 eflu na kuendelea kutokana na uwezo wako,

Kuna tofauti kati ya mpenzi na mchumba, ndio maaana kuna mama mpenzi , dada mpenzi , baba mpenzi nk ,

Lon hakuna mjomba mchumba kwa hiyo ukitumia lugha ya mpenzi inakuwa na tafsili nyingi tofauti na mchumba

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
πŸ™πŸ™πŸ™
 
MoneyHeist4

JF-Expert Member
Jul 10, 2017
1,571
2,000
Maswala ya kishika uchumba ni kupotezeana muda tu, wewe mchukue ukae nae ndani maisha yaendelee, sheria ya ndoa inasema sio lazima kutoa mahali, au kama unataka kutoa kishika uchumba lazima muandikishane ili hata akizingua unaenda kudai chako
 
Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
26,190
2,000
Tunapokea tenda zozote zinazohusu ndoa, miongoni mwa huduma tunazotoa ni pamoja na zifuatazo
1. Kubargain mahari kubwa kuwa ndogo
2. Kumuumbua bibi harusi anayetaka mahari kubwa wakati ni used
3. Kuwakomesha wazee wanaotaka mahari kubwa.
4. Kupokea mahari ndogo na kuipeleka ukweni kwa mbwembwe
5. Kupatana hadi ukachukua mke bure!
Na mikoani tunafika!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Bitoz

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
30,803
2,000
Kushika uchumba kimegawanyika ktk sehemu 2

Sehemu ya kwanza ni ww kuwa na mwanamke ambe ni mpenzi wako alafu ukamwita rafiki yake au mtu yeyote lkn asiwe ndugu yako ukasema mm nampa huyu mpenzi wangu kitu hiki awe mchumba wangu rasmi,

Hapo utatoa chochote chenye thaman walau iyanzie 15 eflu na kuendelea sasa baaada ya hapo kama huyo mchumba wako atakuwa na mahusiano mengine unaweza ita watu wamuulize na hata kama kwao atatolewa barua unaweza mtuma mtu akawaambie kwmba bint yenu amepokea kishika uchumba kwa Fulani , kwa jina lingine tunaita kibani,

.sehemu ya pili ni kupatana na mpenzi wako anawaambia wazazi kwmba nimepata mwanamme na analeta barua ya uchumba ,kisha ww mwanaume unamtuma mtu apeleke barua ya uchumba ,sasa hapa kwa uchache unaweza weka 20 eflu na kuendelea kutokana na uwezo wako,

Kuna tofauti kati ya mpenzi na mchumba, ndio maaana kuna mama mpenzi , dada mpenzi , baba mpenzi nk ,

Lon hakuna mjomba mchumba kwa hiyo ukitumia lugha ya mpenzi inakuwa na tafsili nyingi tofauti na mchumba

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Shukrani,
Umetuelimisha wengi

Je, uchumba mwisho miaka mingapi ?
 
profftobe

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
906
1,000
Habari za Leo wakuu,
Nahitaji kujua hivi pesa ya kishika uchumba huwa ni shilingi ngapi.

Na anayepanga huwa ni nani.
Na anapewa nani
Siku hizi naona kishika uchumba ni mimba, vinginevyo huyo binti atashikwa uchumba hadi na watu 50+ mpaka atayemtia mimba ndiye ataoa kama atataka kuendelea na huyo mama kijacho
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom