nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    GE2020 Ilani za Uchaguzi: CCM na CHADEMA zinakubaliana kwenye Bima kwa Wote, Maslahi ya Wafanyakazi na Bei nzuri za mazao!

    Tofauti na mwaka 2015 kampeni za mwaka huu zimeongeza mambo muhimu kwenye ilani za vyama. Ikumbukwe kuwa ilani ya CCM kwenye kitabu chenye kurasa zaidi ya 350 ndio iliyosheheni mambo makubwa na baadhi ya vyama vya upinzani vimedesa huko. Cha msingi ni kwamba Dr Magufuli na Tundu Lisu wote...
  2. Muvi gani nzuri zakipelelezi..?

    Wakuu naombeni majina ya muvi nzuri za kipelelezi zisizochosha kuangalia na stori Moto....
  3. L

    Restaurant nzuri Dar es Salaam

    Wadau naulizia restaurant yenye chakula kizuri ninapoweza kwenda na mwenza kupata chakula cha mchana au dinner. Napendelea zaidi seafood, na itakuwa nzuri zaidi restaurant ikiwa maeneo ya beach. Bei isizidi sana 50,000 kwa mtu
  4. M

    Guest house nzuri around Mlimani City

    Habari zenu. Nilikuwa naomba kujuzwa guest house nzuri ambazo zinatoa breakfast karibu na Mlimani City
  5. S

    Ushauri wa Laptop nzuri kwa ajili ya graphics design

    Habari wana JF, Naombeni ushauri nataka kununua laptop kwa ajili ya graphic designing. Je, ninunue laptop ipi? Naomba ushauri wa brand na aina. Mkifanya description kubwa mtanichanganya. Mfano ukisema lenovo thinkpad T350, inakuwa rahisi kwa mimi kwenda madukani na kuitafuta. Bajeti yangu...
  6. Laptop inauzwa kwa bei nzuri sana

    Habari. Laptop inauzwa kwa bei nzuri sana, imetumika ila ipo katika hali nzuri sana. BEI:500,000/=. Mahali:Dar es salaam. Utatumiwa kama upo mkoani. Aina: Core i 5 4gb Ram hdd 500GB Hp probook 450 g2 battery. 3 hours 0753651541
  7. Umeme kukatikakatika Dar kipindi cha uchaguzi ni ishara nzuri

    Mzee baba alishajinadi hakuna mgao ila wenye umeme wao hazipiti siku mbili wanakata tena bila taarifa wala nini. Nadhani ni ishara nzuri hasa kipindi hiki ambapo zimebaki siku chache tufanye uchaguzi mkuu. Kuanzia Mbezi mwisho hadi Goba kote ni kilio cha umeme daily,sijui pande zingine nako...
  8. A

    Kampuni gani bora za mabasi Dar kwenda Mwanza?

    Wasalaam wapendwa. Wakuu nataka kusafiri kwenda Mwanza basi gani nzuri inayoweza kunifikisha kwa siku moja tu, iwe luxury ya kisasa. Karibuni tujuzane wakuu
  9. L

    Msaada: Kampuni gani nzuri ya tracking system kwenye magari kati ya hizi?

    Habari wakuu; ninataka kufunga tracking system kwenye gari yangu ndogo ambayo naikodisha. Nimegoogle nikapata kampuni kadhaa hapa (Cartrack, U-track, Afritrack, Wetrack). Ninaomba wenye uzoefu na hizi kampuni wanisaidie ipi hapa iko poa zaidi. Na kama kuna kampuni zingine pia naomba mapendekezo...
  10. CCM, malalamiko ya watu yamekuwa mengi sana, jiangalieni sana

    Leo 13/10/2020 nilikuwa crdb banki, wakati tupo kwenye foleni ndani ya hii banki niliwakuta watumishi watatu wa serikali 1) Alikuwa ni mwanamke ambaye ni mwalimu,huyu mama alikuwa analalamika kuwa serikali ndani ya miaka 5 haijawaongezea mshahara hata kidogo,kutokana na ufinyu wa mshahara...
  11. Video: DUh! Kuna wakati Watanzania akili huwakaa vizuri, hadi wanaanza kutamani katiba nzuri yenye ubora kama hii yetu Kenya

    Hapa katibu muenezi wa CCM anazungumza na kuachia nondo, sijui nini huwaingia Watanzania ghafla mnabadilisha na kuanza tena kuponda umuhimu wa katiba nzuri.
  12. J

    Zawadi nzuri kwa mswazi mwenzangu

    Kuna mwanamke wa uswazi hapa kwetu, uswazini nimetokea kumpenda. Nikamsimamisha maeneo fulani kuongea nae, nikamtongoza, akanijibu nyodo. Sasa kwa sabu mi nampenda nataka nitumie njia ya zawadi kumlainisha. Kwa kipato changu cha kiswazi ni zawadi gani ya bei rahisi ? Nimewaza kuhusu vizawadi...
  13. S

    Jiulize; Ethiopia wana Dreamliner zaidi ya 20, SGR, barabara nzuri, flyover nyingi, lakini bado watu wake wanafia kwenye malori wakizamia Bondeni!

    Ni afadhali CCM wameamua kukaa kimya kuhusu kujisifia kwamba wameleta maendeleo nchini sijui wamenunua Dreamliner mbili, wamejenga flyover Tazara na nyingine Ubngo kwa hiyo wameleta maendeleo Tanzania, na hiyo iwe sababu ya kuwachagua tena. Maendeleo kwa ajili ya nani? Bibi yangu kule kwetu...
  14. K

    Hongera BAVICHA na BAWACHA mmefanya kazi nzuri matunda tunayaona

    Umoja wa vijana na umoja wa wanawake umeimarika na umetoa viongozi wengi wa leo na kesho wa Taifa hili. BAWACHA nadhani ndio umoja wa wanawake wa vyama vya siasa uliowahi kusimamisha wanachama wengi kugombea Ubunge Afrika na hata Duniani. Lakini pia umoja huu si tu umetoa wagombea wanawake Bali...
  15. E

    GE2020 Magufuli anaiona Tanzania nzuri miaka 30 ijayo, shida wengi tuna njaa

    Nimejipa kazi kuwafatilia wagombea wawili wa uraisi wanaoonekana kupendwa na watu wengi, nimegundua kuwa Dr. Magufuri anawaza mambo ya miaka kama 30 ijayo ndo tule bata. Ili hali Ndg Lisu akiwaza mambo ya leo, kesho itajulikana ikifika. Shida kwa watu wengi, bado huduma muhimu ( chakula...
  16. Nini maana ya "Kuishi Vizuri na Watu"? Je, ni sahihi kuenenda ndivyo sivyo ili kujijengea taswira njema katika jamii?

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania eti; Nini maana ya "Kuishi Vizuri na Watu"? Je, ni sahihi kuenenda ndivyo sivyo ili ujijengee taswira njema katika jamii? Kuna siku moja mwezi wa August mwaka huu wa 2020 nikiwa nimemaliza mizunguko yangu huko Kariakoo...
  17. D

    GE2020 Kazi nzuri sana viongozi wa CHADEMA majimboni, sasa mnashindana kuvunja rekodi na kesho tupo Tarime!

    Sasa viongozi wa CHADEMA majimboni wanashindana kutambiana rekodi. Kazi nzuri sana hii. Tulianzia Morogoro, tukaja Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na sehemu ya Katavi ( Hapa tutarudi pamoja na Kyela, Tukuyu na Rungwe) Kote tulilopita tumeshuhudia hamasa ya wanachama na viongozi wa majimbo...
  18. M

    TFF mna nia nzuri mnakosa sera

    Tff ndie mdau wa kwanza wa mpira nchini kwetu hamna sera yeyote ile hata kutueleza nia yenu siku moja hatujawahi kusikia kuhusu sehemu za kuchezea yaani pitch. Inasikitisha kwakweli kwa taasisi kubwa kama hii inashindwa hata kutoa maelekezo kwa klabu na wamiliki wa viwanja wanunue mbegu za nyasi...
  19. M

    Ni ipi ni njia nzuri ya kumdhibiti mtoto mtundu?

    Habari wana JF,, Mwanangu ana miaka 5 lakini ni mtundu kupita kiasi, daily anaharibu vitu ndani, anapiga wenzake, ashameza msumari akanusurika, alimtia harage puani mdogo wake mpaka akatolewa hospitali, hua nina mchapa kiasi lakini sioni akipunguza utundu. Laiti kungekua na selo za watoto...
  20. Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama usifurahie. Hiyo sio sifa nzuri. Unaweza ukadhurika kwa bahati mbaya (Mistaken Identity)

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu yangu; Mtanzania Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama wa taifa usifurahie wala kuchekelea. Hiyo sio sifa njema hata kidogo. Unaweza ukadhurika au kuuwawa kwa bahati mbaya (Mistaken Identity); Huko mtaani mnapoishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…