Umeme kukatikakatika Dar kipindi cha uchaguzi ni ishara nzuri

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,144
15,143
Mzee baba alishajinadi hakuna mgao ila wenye umeme wao hazipiti siku mbili wanakata tena bila taarifa wala nini.

Nadhani ni ishara nzuri hasa kipindi hiki ambapo zimebaki siku chache tufanye uchaguzi mkuu. Kuanzia Mbezi mwisho hadi Goba kote ni kilio cha umeme daily,sijui pande zingine nako kama TANESCO wanawasaidia kufanya maamuzi sahihi ya viongozi.
 
Uchumi wa kati Mkuu na mambo yake ni ya kati.
Mzee baba alishajinadi hakuna mgao ila wenye umeme wao hazipiti siku mbili wanakata tena bila taarifa wala nini.

Nadhani ni ishara nzuri hasa kipindi hiki ambapo zimebaki siku chache tufanye uchaguzi mkuu. Kuanzia Mbezi mwisho hadi Goba kote ni kilio cha umeme daily,sijui pande zingine nako kama TANESCO wanawasaidia kufanya maamuzi sahihi ya viongozi.
 
Pahala popote mvua ikinyesha

Usually umeme hukatika kuepusha madhara
 
Mzee baba alishajinadi hakuna mgao ila wenye umeme wao hazipiti siku mbili wanakata tena bila taarifa wala nini.

Nadhani ni ishara nzuri hasa kipindi hiki ambapo zimebaki siku chache tufanye uchaguzi mkuu. Kuanzia Mbezi mwisho hadi Goba kote ni kilio cha umeme daily,sijui pande zingine nako kama TANESCO wanawasaidia kufanya maamuzi sahihi ya viongozi.
Tulia ww Sisiemuu wana igeuza TZ kama ULAYA
 
Basi wawashe afu mpigwe radi mfe mkose kupiga kura
Usikasirike sasa ! Hili janga tu la umaskin wa SSC ikiwemo Tz, kwa kununua ma vifaa used ...ulaya mvua ataa inyeshe siku mbili mfululizo huo umeme una waka kama kawaida
 
Haka katheory kakujilianganisha na ulaya kwa kila kitu kitawaponza,,,,,,,.
 
Back
Top Bottom