nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kukopa na kutokulipa deni, Kama una tabia hii jitathimini sio nzuri kwani inapunguza uaminifu na kuvunja uhusiano pia

    Mambo vipi wakuu Kuna baadhi ya watu katika jamii tunayoishi, wengine ni ndugu, jamaa na rafiki zetu. Huwa wanatabia ya kukopa na kutolipa deni kwa wakati au wengine kutolipa kabisa, na baada ya muda mtu anataka umkopeshe tena hali ya kuwa deni la mwanzo hajalipa. Kiukweli hili jambo...
  2. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kampuni nzuri ya kuagiza magari japani

    Mimi leo nitaongelea kamapuni moja tu inaitwa NIKKYO ambayo imenipa huduma nzuri mimi na marafiki zangu. Nimesha agizia marafiki zangu watatu kwa kupitia kampuni hii ya Kijapani ijulikanayo kama NIKKYO www.nikkyocars.com Hii kampuni haina jina kubwa Tanzania ila nilipata recommendation kwa...
  3. Ryzen

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya kuanzia maisha kati ya Dodoma na Babati?

    Wakuu habari, mimi ni mdau wa maswala ya ujenzi (civil engineer) nataka nifanye maisha ambayo kwa kiasi kikubwa yatakuwa yanahusiana na sekta ya ujenzi. Je, kati ya Dodoma na Babati ni mji gani utakuwa poa zaidi? Na je gharama za maisha kwa ujumla zikoje maeneo hayo. Pia kati ya miji hiyo...
  4. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kumwambia rafiki yako ajirekebishe jambo fulani pasipo kuikwaza nafsi yake? Mfano kinywa chake hakipo katika hali nzuri siku hiyo

    Habari za wakati huu ndugu zangu wote wa humu jamiiforums. Unawezaje kumwambia swahiba/rafiki yako ajirekebishe jambo fulani pasipo kuikwaza nafsi yake? Mfano kinywa chake hakipo katika hali nzuri siku hiyo. Sote tunajua ya kwamba watu wakishakuwa marafiki wa karibu walioshibana inakuwaga...
  5. D

    JamiiForums Tanzania SUV gani nzuri kwa Milioni 40?

    Baada ya kupambana na toyota/mjapani kwa muda mrefu (tunajua anasaidia kujenga barabara zetu lakini yeye pia anapata $$ $ za kutosha kutoka ununuzi wa magari yake). Ni wakati wa kuabdili upepo na kujaribu wazungu haswa ulaya. Wajuvi hebu mtusaidie ni SUV gani nzuri kwa matumizi ya kawaida...
  6. Izizimba

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba mwenye templates nzuri ya blog anisaidie

    Wakuu habari! Naomba mwenye template nzuri ya blog anisaidie
  7. J

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania ni nzuri kuliko ya Marekani, hapa Rais hawezi kuratibu maandamano ya ghasia

    Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani. Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea? Itoshe tu kusema...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kafeini ni nini? Ni nzuri ama ni mbaya kwa afya?

    Kafeini imekua ikitumika kwa watu wengi kwa lengo la kuondosha usingizi ama uchovu. 90% ya watu duniani hutumia kafeini angalau mara moja kwa siku. Kafeini ni nini? Kafeini ni kichocheo cha asili mara nyingi hupatikana kwenye chai, kahawa na mmea wa kakao. Inatumika kuchochea ubongo na mfumo...
  9. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu hotel nzuri Mwanza

    Nataka kwenda Mwanza for personal issues. Naomba kufahamu the best hotel, located at the beach front na ambayo ina big rooms, madirisha makubwa facing the beach. Price siyo tatizo. Umbali kwenda mjini au airport siyo tatizo pia. Shukrani sana.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni Mbao gani nzuri kwa ajili ya kuchongesha kitanda?

    Wakuu kwa wale wataalamu wa furniture, hivi ni mbao gani nzuri kwa ajili ya kuchongesha kitanda. Maana kuna kitanda fulani nilinunua, sasa kile kitanda kishaanza kuliwa na wadudu. Yaani kishaanza kumwaga unga unga fulani hivi. Sasa, kwa mwenye experience na hivi vitu labda anaweza kushare...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpango mshauri Rais mpunguze idadi ya miradi, pia kuzuia miradi hali sio nzuri

    Mh Mpango mimi naombi moja ni bora ukubali jiuzulu au uendelee kusimamia kile mnakiamini kwamba pesa ipo na watu wameficha hivyo mnapambana kuzipata hizo pesa kwa ku impose new tax return na kufuwatilia madeni ya zamani nakuapia kuna madeni hayalipiki. Mkuu bora lawama kuliko fedhea. Yani huku...
  12. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Zawadi gani nzuri ushawahi kutoa au kupokea?

    Habari zenu ndugu zangu, hopefully mpo salama,heri ya Christmass. Kama tunavyofahamu binadamu wote tunapenda kupewa zawadi kutoka kwa wapendwa wetu,zawadi zinafanya mtu ujisikie Bora Sana, mwenye kupendwa na kujaliwa,katika msimu huu wa sikuu labda umepokea zawadi au kipindi chochote kile Cha...
  13. luangalila

    JamiiForums Tanzania SAT Finder nzuri ni ya kampuni gani?

    Habarini wajuzi wa technoloji, Naulizia ni sat finder ipi ni nzuri na bei zake zimekaaje hapa bongo?
  14. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupata Idea nzuri kwa ajili ya Title project

    Habari za asubuhi, naenda straight to the point Niko mwaka wa mwisho nachukua Multimedia Technology and Animation. Nilikuwa naomba kupata idea nzuri ambayo inaweza ikawa tatizo katika jamii yetu ya sasa. Ili niwe kudemostrate kwa kutumia 2DAnimation au Content Development maana niliweza...
  15. guzman_

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni ipi shule nzuri ya wasichana kwa mikoa ya Dar au Pwani?

    Salamu wakuu Wataalamu naombeni mwenye kujua shule nzuri na affordable hapa Dar es Salaam au pwani ya wasichana. NB Mtoto kasoma shule za serikali St. Kayumba Natanguliza shukrani.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Chato ni sehemu nzuri ujenzi wa vyuo na uwekezaji mwingine, karibu

    Katika kutungua eneo la kanda ya ziwa especially mkoa wa kagera na Geita naunga mkono juhudi za serikali kutengeneza maeneo yamkakati na yakudumu katika eneo lile. Ujenzi wa uwanja, mbuga ya wanyama, vyuo na majengo yenye adhi zikiwemo hotel kutasiadia sana kupunguza uhalifu kwa maana ulinzi...
  17. Travis 1

    JamiiForums Tanzania Msaada wapi naweza pata tablet nzuri kwa Dar es Salaam

    Wapi naweza kupata tablet nzuri kwa Budget ya laki nne?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni ipi Scholarship Nzuri Kwa Aliyesoma Degree Ya Human Resource Management.ili kujiendeleza na Masters?

    Naomba kujua taratibu za Scholarship kwa aliyemaliza degree ya HRM. njia za kupata scholarship
  19. yuda75

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na gari, pesa na nyumba nzuri basi umemaliza. Mwanamke gani hapendi hivyo vitu?

    Kwa sasa mwenye kisu kikali ndio mla nyama mana maneno mengi ni sawa na miluzi mingi hupoteza mbwaa. Ni kweli pesa sabuni ya roho ingaawa ugonja wa moyo ni mapenzi. Vijana ongezeni nguvu ya kutafuta pesa kuliko kujichubua na kuvaa vizuri mkijua mtapendwa, mwanamke gani asie penda kukaa pazuri...
  20. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya juisi ya miwa, Nzuri sana kwa bei nafuu sana

    Habari Jf. Nauza mashine ya kukamulia juice za miwa. Mashine inatumia engine ya petrol. Mashine iko vizuri na mwamvuli wake kwa ajili ya kukukinga na Jua. Bei ya kuuza ni 1.1 milion, dukani ina 1.3milion. Mashine iko Ubungo River side. Atakayenunua namtolea elfu 30 ya usafiri. Piga simu au...
Back
Top Bottom