Zawadi nzuri kwa mswazi mwenzangu

Joel360

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
981
631
Kuna mwanamke wa uswazi hapa kwetu, uswazini nimetokea kumpenda.

Nikamsimamisha maeneo fulani kuongea nae, nikamtongoza, akanijibu nyodo. Sasa kwa sabu mi nampenda nataka nitumie njia ya zawadi kumlainisha.

Kwa kipato changu cha kiswazi ni zawadi gani ya bei rahisi ?

Nimewaza kuhusu vizawadi flani vya mademu wa kinyamwezi kama chocolate nikaona hapa ntakuwa nakosea. Maana ni aina ya wale wanawake wavaa madela kwenye shughuli kucheza chura.

Kwa wale mnaoshangaa, sisi waswazi wacheza chura ndo wanawake zetu na ndo tunaowaoaga. Watundu hatari.
 
Umeshasema amekujibu nyodo Sasa zawadi ya Nini? Akachukua zawadi Kisha akutose uanze kulalamika..
 
Huyo labda demu wa masaki, ila hawa waswazi wenzetu ni ngumu
Si kweli mkuu. Yoyote tu ilimradi awe mwanamke, Wote their mijd can be manipulated so easily and u ca win their hearts. Au huna malengo yoyote juu yake unataka kupoteza poteza muda
 
Si kweli mkuu. Yoyote tu ilimradi awe mwanamke, Wote their mijd can be manipulated so easily and u ca win their hearts. Au huna malengo yoyote juu yake unataka kupoteza poteza muda
Atakavyonitreat ndo ntajua kama nafika nae mbali au namwacha njiani?

Ila nachukua ushauri wako, natafuta mbinu ya kumuingia kwa mikono mitupu.
 
Back
Top Bottom