nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Ooh happy day: Oh lalalala siku nzuri sana hii, asante Mungu

    OOH HAPPY DAY ..lalalalalalalalalalaaaa lalalalalaaaa Siku imeanza vizuri sana Thank you Jesus kwako kila goti litapigwa,nakula double kicks za kutosha huku nikiangalia movie ya UNDERCOVER BROTHER OOOH HAPPY DAY..USHUKURIWE MUNGU
  2. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Wana JF hii tabia siyo nzuri, tubadilike

    Kuna katabia kamoja kabaya sana naona kanaanza kuota mizizi. Unakuta mkuu kauliza swali kwa mtoa uzi au mtoa hoja. Mkuu mwingine anatokea na kumwambia "akikujibu nitag" na yeye anasema poa. Sasa unakuta anajibiwa halafu hamtag yule mkuu aliyeomba kutagiwa. Hii ni tabia mbaya na haifai kwa watu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Tecno Camon X

    SOLD
  4. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Anayejua dawa nzuri ya mchwa

    Msaada unahitajika kwa anaejua jinsi ya kuangamiza mchwa hawa wa ardhini ambao wanakula ukoka, miti, maua na kila kitu kinachoota kwenye bustani. Hawana tofauti na wale nzige wa kule siha. Natanguliza shukrani
  5. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Unapata zawadi nzuri ukipata jibu sahihi la hesabu hii ya calculus

    To all students and graduates; QN: Integrate with respect to x: 1/lnx (one over natural logarithm of x)
  6. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

    Wadau naomba mnijuze, Je, ni simu gani hapo ina ubora zaidi kati ya simu tajwa hapo juu.
  7. monotheist

    JamiiForums Tanzania Anayejua aina nzuri ya perfume

    Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo. Jinsia yangu ni mme Ahsanteni
  8. Bowie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya wana Katiba nzuri na kuna ufisadi mkubwa

    Ni jambo la kushangaza sana taifa la Kenya kuwa na katiba bora Afrika Mashariki lakini Ufisadi ni mkubwa sana. Asilimia kubwa ya budget ya serikali inaishia kwenye mifuko ya viongozi wa majimbo. Tumeona pia kuelekea uchaguzi mkuu mwakani hali ya kisiasa ikizidi kuchafuka na chuki za kisiasa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna taarifa za Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kufariki dunia

    Wakuu salama Kuna habari kuwa kule zanzibar kuna msiba mzito Embu walioko huko watujuze kama hizi taarifa nizakweli
  10. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ni ipi Masters nzuri kati ya Public Administration na GID?

    Ndugu wana Jukwaa la Elimu, Yupo jamaa yangu ni mtumishi wa serikali upande wa utawala na ana BAED (Geography and Political Science and Public Administration) wiki moja nyuma alikuja kuomba ushauri juu ya ipi masters nzuri ya kusoma Kati ya public administration na GIS nikamshauri kwa kuwa Yuko...
  12. MEXICANA

    JamiiForums Tanzania Kati ya Ummy Mwalimu na Dkt. Gwajima nani ana strategy nzuri ya kukabiliana na Covid-19?

    Members JF, Hebu jaribu kuwa rate hawa mawaziri kwenye kukabiliana na hii catastroph facing the global, yupi ana strategic plans nzuri ya kukabiliana na hii kitu?
  13. Ryzen

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kupata Laptop nzuri kwa budget ya laki nane?

    Heshima kwenu watalaamu wa jukwaa hili, Nina Budget ya 800K ninahitaji laptop. Majukumu maalum ni kama Kutumia Softwares kama AUTOCAD, CIVIL 3D, STAAD PRO, MATLAB na program baadhi za Engineering ambazo sijazitaja. Nahitaji laptop bora kwa hio gharama kikubwa iweze kurun hizo programs...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Jamani naomba msaada, nimeandaa bwawa nataka nifuge samaki nisaidieni mbegu nzuri ya kufuga

    Jamani naomba msaada, nimeandaa bwawa nataka nifuge samaki. Nisaidieni mbegu nzuri ya kufuga.
  15. JOESKY

    JamiiForums Tanzania Nyimbo nzuri za mahaba

    Mapenzi ni kitu ambacho kwa asilimia kubwa kinatawala katika nafsi ya mwanadamu. Amini usiamini kubali ukatae mapenzi yana thamani sawa na uhai wako. Mimi ninapokuwa niko free napenda kusikiliza nyimbo zifuatazo kwa utulivu na kwa hisia nzito nikitafakari mengi juu ya wapendwa wanaonipa amani...
  16. Gshtargets

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani nzuri ya kuanza nayo 'Car wash' na bei yake kwa sisi wa kipato kidogo?

    Asalaam alaikum. Wakuu kuanzisha tenda ya "car wash". Nakuombeni ushauri ni mashine gani nzuri ya kuanza nayo na bei yake kwa sisi wa kipato kidogo?
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna nzuri ya Mama Mjamzito kulala ili kulinda uhai wa Mtoto

    Ujauzito ni mtihani mgumu maana anayoyapitia mwanamke ni mazito. Anashindwa wakati mwingine kula, kulala, kutembea yani kwa ujumla kuishi maisha yake ya kawaida kabla ya ujauzito wake ni changamoto na mtihani mkubwa. Kikubwa sasa huwa atalalaje,hasa anapokuwa kileleni mwa ujauzito wake.Namna ya...
  18. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Mikoa yenye hali nzuri ya hewa

    Ni mikoa ipi ambayo ina hali nzuri ya hewa, isiwe na jua kali sana.yani mara nyingi iwe cool au warm.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Ni Apps gani za kupakua nzuri, best of the best huwezi kosa kwenye smartphone yako?

    heri nikose apps zote kwenye simu ila sio hizi mbili 🤣 🤣 🤣 🤣 apple music kwa ajili ya kusikiliza miziki amazon kindle kwa ajili ya vitabu labda naweza pata ya ziada apa
  20. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki nzuri, ngumu inauzwa kwa bei nafuu!

    HIYO HAPO PIKIPIKI TOYO TOLEO LA KWANZA KABISA... BADO MBICHI KABISA...ILIKUWA YATUMIKA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI...YAWEZA PIA KUWA BODABODA... NI NGUMU ASIKWAMBIE MTU...NISHASEMA NI TOLEO YA KWANZA WAKATI ZINAINGIA TU... Documents za msingi na Original zipo kabisa unapewa pikipiki yako...
Back
Top Bottom