nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni gani nzuri ya tracking system kwenye magari kati ya hizi?

    Habari wakuu; ninataka kufunga tracking system kwenye gari yangu ndogo ambayo naikodisha. Nimegoogle nikapata kampuni kadhaa hapa (Cartrack, U-track, Afritrack, Wetrack). Ninaomba wenye uzoefu na hizi kampuni wanisaidie ipi hapa iko poa zaidi. Na kama kuna kampuni zingine pia naomba mapendekezo...
  2. D2050

    JamiiForums Tanzania CCM, malalamiko ya watu yamekuwa mengi sana, jiangalieni sana

    Leo 13/10/2020 nilikuwa crdb banki, wakati tupo kwenye foleni ndani ya hii banki niliwakuta watumishi watatu wa serikali 1) Alikuwa ni mwanamke ambaye ni mwalimu,huyu mama alikuwa analalamika kuwa serikali ndani ya miaka 5 haijawaongezea mshahara hata kidogo,kutokana na ufinyu wa mshahara...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: DUh! Kuna wakati Watanzania akili huwakaa vizuri, hadi wanaanza kutamani katiba nzuri yenye ubora kama hii yetu Kenya

    Hapa katibu muenezi wa CCM anazungumza na kuachia nondo, sijui nini huwaingia Watanzania ghafla mnabadilisha na kuanza tena kuponda umuhimu wa katiba nzuri.
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zawadi nzuri kwa mswazi mwenzangu

    Kuna mwanamke wa uswazi hapa kwetu, uswazini nimetokea kumpenda. Nikamsimamisha maeneo fulani kuongea nae, nikamtongoza, akanijibu nyodo. Sasa kwa sabu mi nampenda nataka nitumie njia ya zawadi kumlainisha. Kwa kipato changu cha kiswazi ni zawadi gani ya bei rahisi ? Nimewaza kuhusu vizawadi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jiulize; Ethiopia wana Dreamliner zaidi ya 20, SGR, barabara nzuri, flyover nyingi, lakini bado watu wake wanafia kwenye malori wakizamia Bondeni!

    Ni afadhali CCM wameamua kukaa kimya kuhusu kujisifia kwamba wameleta maendeleo nchini sijui wamenunua Dreamliner mbili, wamejenga flyover Tazara na nyingine Ubngo kwa hiyo wameleta maendeleo Tanzania, na hiyo iwe sababu ya kuwachagua tena. Maendeleo kwa ajili ya nani? Bibi yangu kule kwetu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hongera BAVICHA na BAWACHA mmefanya kazi nzuri matunda tunayaona

    Umoja wa vijana na umoja wa wanawake umeimarika na umetoa viongozi wengi wa leo na kesho wa Taifa hili. BAWACHA nadhani ndio umoja wa wanawake wa vyama vya siasa uliowahi kusimamisha wanachama wengi kugombea Ubunge Afrika na hata Duniani. Lakini pia umoja huu si tu umetoa wagombea wanawake Bali...
  7. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli anaiona Tanzania nzuri miaka 30 ijayo, shida wengi tuna njaa

    Nimejipa kazi kuwafatilia wagombea wawili wa uraisi wanaoonekana kupendwa na watu wengi, nimegundua kuwa Dr. Magufuri anawaza mambo ya miaka kama 30 ijayo ndo tule bata. Ili hali Ndg Lisu akiwaza mambo ya leo, kesho itajulikana ikifika. Shida kwa watu wengi, bado huduma muhimu ( chakula...
  8. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya "Kuishi Vizuri na Watu"? Je, ni sahihi kuenenda ndivyo sivyo ili kujijengea taswira njema katika jamii?

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania eti; Nini maana ya "Kuishi Vizuri na Watu"? Je, ni sahihi kuenenda ndivyo sivyo ili ujijengee taswira njema katika jamii? Kuna siku moja mwezi wa August mwaka huu wa 2020 nikiwa nimemaliza mizunguko yangu huko Kariakoo...
  9. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kazi nzuri sana viongozi wa CHADEMA majimboni, sasa mnashindana kuvunja rekodi na kesho tupo Tarime!

    Sasa viongozi wa CHADEMA majimboni wanashindana kutambiana rekodi. Kazi nzuri sana hii. Tulianzia Morogoro, tukaja Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na sehemu ya Katavi ( Hapa tutarudi pamoja na Kyela, Tukuyu na Rungwe) Kote tulilopita tumeshuhudia hamasa ya wanachama na viongozi wa majimbo...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF mna nia nzuri mnakosa sera

    Tff ndie mdau wa kwanza wa mpira nchini kwetu hamna sera yeyote ile hata kutueleza nia yenu siku moja hatujawahi kusikia kuhusu sehemu za kuchezea yaani pitch. Inasikitisha kwakweli kwa taasisi kubwa kama hii inashindwa hata kutoa maelekezo kwa klabu na wamiliki wa viwanja wanunue mbegu za nyasi...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ipi ni njia nzuri ya kumdhibiti mtoto mtundu?

    Habari wana JF,, Mwanangu ana miaka 5 lakini ni mtundu kupita kiasi, daily anaharibu vitu ndani, anapiga wenzake, ashameza msumari akanusurika, alimtia harage puani mdogo wake mpaka akatolewa hospitali, hua nina mchapa kiasi lakini sioni akipunguza utundu. Laiti kungekua na selo za watoto...
  12. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama usifurahie. Hiyo sio sifa nzuri. Unaweza ukadhurika kwa bahati mbaya (Mistaken Identity)

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu yangu; Mtanzania Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama wa taifa usifurahie wala kuchekelea. Hiyo sio sifa njema hata kidogo. Unaweza ukadhurika au kuuwawa kwa bahati mbaya (Mistaken Identity); Huko mtaani mnapoishi...
  13. Nyamsusa JB

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sijauona ‘u-kibaraka’ wala ‘ubeberu’ kwa Lissu mpaka sasa

    Najaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni. Nautafuta Ubeberu wake siuoni. Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa. Eti oooh, anatumika na Wabeligiji, swali la kujiuliza hapa Je, Lissu alifikajefikaje huko Ubeligiji (Jibu Risasi zenu...
  14. Its Pancho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Software ipi nzuri kuhifadhi data na kurestore data pale computer inapocorruot ama window ku espire??

    Wakubwa, Natafuta software kwa ajili ya kuhifadhi data zikae kama mafile ya aina zote yakae humor ili siku labda PC vitu vikifutika bahati mbaya ama nikipiga window niitumie hiyo kurestore vitu vyote vya mwanzo kama kawaida. Natumia window 7 32 bit system. Pia nikiwa narestore data zote iwe...
  15. mimi mtakatifu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Simu gani nzuri ya Samsung kwa bajeti yangu

    Nataka kununua Simu. Naomba ushauri toleo gani zuri la Samsung. Bajeti yangu 300,000/= ~ 400,000/=. Nazingatia zaidi good camera na muonekano. Update Niliongeza pesa kidogo nikachukua Samsung A 51, nimeipenda ni nzuri. Asanteni.
  16. MzaramoTz

    JamiiForums Tanzania Benki Gani Nzuri Kufungua USD acc na Vigezo Vipoje Wakuu...? Nipo Arusha.

    Heshima kwenu wakuu. Naulizia ni benki gani nzuri kufungua account ya USD na gharama au vigezo vyao vikoje au natakiwa kuwa na nini...? Zipi faida na hasara zake...? Inachukua muda gani kuwa tayari...? Ni kwa ajili ya kuingiziwa mshahara wanatulipa kwa dollar ila wanahitaji uwe na account...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Mitsubishi Fuso Bus inauzwa bei nzuri

    Mitsubishi Fuso Bus inauzwa shiling Milion 52. Specification: -Mitsubishi Fuso Bus - Engine type : D17 - Millage : 110,000KM - Capacity: 47 Seat -Interior Condition : Grade A -Exterior Condition: Grade A Gari imeshalipiwa ushuru wiki moja imepita. Kwa Maongezi zaidi ni DM au tuma message kwenye...
  18. Matope

    JamiiForums Tanzania Msaada Lodge nzuri maeneo ya Makumbusho Dar

    Wakuu msaada naomba kujua lodge nzuri maeneo ya makumbusho isiozidi 25,000 Jina.......... Bei............ Asante
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'

    Kuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado...
  20. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya benki ya Dunia inaonesha Zimbabwe ina nafasi nzuri kwa mazingira ya uwekezaji kuliko Tanzania

Back
Top Bottom