Laptop inauzwa kwa bei nzuri sana

rilprogrammer

Member
Jun 5, 2011
94
19
Habari.
Laptop inauzwa kwa bei nzuri sana, imetumika ila ipo katika hali nzuri sana.
BEI:500,000/=.
Mahali:Dar es salaam. Utatumiwa kama upo mkoani.
Aina:
Core i 5 4gb Ram hdd 500GB
Hp probook 450 g2
battery. 3 hours
0753651541
IMG-20201018-WA0014.jpg
IMG-20201018-WA0016.jpg
IMG-20201018-WA0013.jpg
IMG-20201018-WA0015.jpg
 
Kwa hiyo bei utakaa nayo sanaaa na hata utakaye muuzia Mungu akulaani hiyo hela ipotee.

Nimemnunulia mdogo wangu anayekwenda chuo Hp ni Yoga na ni touch processor yake ni ya kibabe sanaa, ram 4gb hdd 500GB icore 7 kwa laki tano na nusu!
 
Habari.
Laptop inauzwa kwa bei nzuri sana, imetumika ila ipo katika hali nzuri sana.
BEI:500,000/=.
Mahali:Dar es salaam. Utatumiwa kama upo mkoani.
Aina:
Core i 5 4gb Ram hdd 500GB
Hp probook 450 g2
battery. 3 hours
0753651541
Mkuu, nadhani kwa bidhaa yako na hali ya soko sasa hivi, mia tano imechangamka sanaa..
 
Kwa hiyo bei utakaa nayo sanaaa na hata utakaye muuzia Mungu akulaani hiyo hela ipotee.

Nimemnunulia mdogo wangu anayekwenda chuo Hp ni Yoga na ni touch processor yake ni ya kibabe sanaa, ram 4gb hdd 500GB icore 7 kwa laki tano na nusu!
ahsante kwa maoni yako.. ila bei tajwa ni halisi kwa computer husika.
 
Kwa hiyo bei utakaa nayo sanaaa na hata utakaye muuzia Mungu akulaani hiyo hela ipotee.

Nimemnunulia mdogo wangu anayekwenda chuo Hp ni Yoga na ni touch processor yake ni ya kibabe sanaa, ram 4gb hdd 500GB icore 7 kwa laki tano na nusu!
Sio processor zote za i7 ni za kibabe, ziko processor za i7 zinazidiwa uwezo na i5, kwa mfano i7 generation 4600U ni inawezo mdogo sana kulinganisha Core i5-7300HQ. Hapo jambo ambalo muuzaji hajalifafanua ni toleo la hiyo processor ya i5.

Ingia insta watafute hao jamaa,ndo utajua hujuiView attachment 1604112
Laptop na computer zinatumia core2 duo halafu zinauzwa bei around 220,000-280,000?
Hiyo bei ni kubwa sana. Yaani ununue laptop ama kompyuta ambazo zinatumia processor zilizoundwa mwaka 2006. Kuleta hizo core 2 duo pc kisha kulinganisha na laptop i5 kwa bei si kitu sahihi.

Atakeyenunua laptop za core 2 duo kwa hiyo bei naona amepigwa lakini pia atanunu bidhaa ambayo itakuwa na limits za kutumia software zinazohitaji processing power ya kuridhisha.
Kwa mfano, ukitengeneza video mnato(animation) kutumia hizi pc mbili za kwenye picha inaweza ikakuchukua zaidi ya lisaa kurender kakipande ka sekunde 15 tu.
 
Sio processor zote za i7 ni za kibabe, ziko processor za i7 zinazidiwa uwezo na i5, kwa mfano i7 generation 4600U ni inawezo mdogo sana kulinganisha Core i5-7300HQ. Hapo jambo ambalo muuzaji hajalifafanua ni toleo la hiyo processor ya i5.
Umepata wapi nguvu ya kuleta huu ufafanuzi ilihali sikutaja uwezo wa processor ya machine?
Laptop na computer zinatumia core2 duo halafu zinauzwa bei around 220,000-280,000?
Hiyo bei ni kubwa sana. Yaani ununue laptop ama kompyuta ambazo zinatumia processor zilizoundwa mwaka 2006. Kuleta hizo core 2 duo pc kisha kulinganisha na laptop i5 kwa bei si kitu sahihi.
Atakeyenunua laptop za core 2 duo kwa hiyo bei naona amepigwa lakini pia atanunu bidhaa ambayo itakuwa na limits za kutumia software zinazohitaji processing power ya kuridhisha.
Kwa mfano, ukitengeneza video mnato(animation) kutumia hizi pc mbili za kwenye picha inaweza ikakuchukua zaidi ya lisaa kurender kakipande ka sekunde 15 tu.
Mkuu kwani unafikiri kila anayenunua computer atakuwa na mahitaji au matumizi sawia na wewe?

Atengeneze animation au graphics za aina yoyote za nini ujuzi huo kautoa wapi, na kama akitaka kucheza games si ana Play station yake.

Usifanye vitu kuwa vigumu kiasi hicho, the issue hapa ni hii bei ni kubwa sana iko sawasawa na machine mpya tena zenye uwezo mkubwa zaidi.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom