Kampuni gani bora za mabasi Dar kwenda Mwanza?

Kampuni gani bora za mabasi Dar kwenda Mwanza?

Anko Kong

Senior Member
Joined
Jul 3, 2020
Posts
130
Reaction score
72
Wasalaam wapendwa.

Wakuu nataka kusafiri kwenda Mwanza basi gani nzuri inayoweza kunifikisha kwa siku moja tu, iwe luxury ya kisasa. Karibuni tujuzane wakuu
 
Panda Darlux japo siku hizi inazingua, au chukua Ally's ukikosa panda Tungizi
 
Usipande KISBO kama una historia ya kutapika maana utatapika mpaka utumbo
 
Mwanza gari ni tatu 2 nazo ni Tungis,ally star, na happynation kwengine matatizo 2
 
Back
Top Bottom