johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,904
- 141,856
Tofauti na mwaka 2015 kampeni za mwaka huu zimeongeza mambo muhimu kwenye ilani za vyama.
Ikumbukwe kuwa ilani ya CCM kwenye kitabu chenye kurasa zaidi ya 350 ndio iliyosheheni mambo makubwa na baadhi ya vyama vya upinzani vimedesa huko.
Cha msingi ni kwamba Dr Magufuli na Tundu Lisu wote wameahidi mambo matatu muhimu:
1. Bima ya afya kwa wananchi wote
2. Maslahi bora kwa wafanyakazi wa umma na sekta binafsi
3. Bei nzuri kwa mazao ya wakulima na kuwatafutia masoko
Kutekeleza mambo hayo matatu kwa pamoja ndani ya miaka 5 siyo jambo jepesi na mimi binafsi namuona Dr Magufuli ndiye mwenye uwezo wa kutuongoza kuyafikia matarajio haya ya maendeleo ya watu.
Maendeleo hayana vyama.