nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Book readers, tushirikishane App nzuri za kusomea (e-reader)

    Kwa wasoma vitabu, kutokana na sababu mbalimbali, wengi tunatumia zaidi softcopies badala ya hardcopies. Formats za vitabu zilizotawala ni pdf, ePub na Mobi. Mimi binafsi napendelea ePub au mobi kuliko pdf sababu ya fonts za pdf ni ndogo ndogo sana. Hivyo kwenye kusoma, App unayotumia inaweza...
  2. boniuso

    JamiiForums Tanzania Nyakati ngumu huwa kwajiili ya kutufunza na nyakati za furaha ni kwaajili ya kumbukumbu nzuri za maana ya kuishi

    UKIBADILI NAMNA UNAVYO TAZAMA VITU NA VITU UNAVYOTAZAMA HUBADILIKA Kinachotokea sio tatizo ila tafsiri unayoweka juu yake ndio inaweza kuuwa tatizo Kikwazo chochote kinachotokea huwa kinakuja kuboresha sehemu ya maisha yetu Usitazame vikwazo kwa ubaya wake tazama vikwazo kwa mazuri yake...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea DC Sabaya akasafishika vyema na kutakata vilivyo kwa Sabuni nzuri ya Haki tuliomshadadia tutaficha wapi Minyago yetu?

    Leo Krav Maga niliamua kujipa tu Kazi binafsi ya kupitia Maamuzi ya Uchunguzi ya waliowahi kuwa Viongozi Serikalini katika Tawala mbalimbali ili Kujiridhisha na hili la aliyekuwa DC wa Moshi Ole Sabaya. Nilichokigundua tu ni kwamba kati ya Watu kama nane ambao Marais waliwasimamisha Kazi...
  4. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Rim Nzuri na Durable Napata Wapi Kwa Dar

    Nahitaji kubadilisha Rim za Gari Harrier, zilizopo zimepinda sana kila siku ukiamka tairi hazina upepo. Kwa hiyo nahitaji Rim Origal nzuri na durable sio lazima ziwe sport maana naona hizi sport sio imara. Pia naomba ushauri kutoka kwenu kujua aina nzuri na original za rim. Nitajuaje hizi ni...
  5. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Nasimama na Yanga

    Tunaweza tusikichukulie kwa jicho la tatu ila kitendo kilichofanywa na yanga ni cha kishujaa na manufaa makubwa ya soka letu. Kama hii mechi ingechezwa leo saa 1 usiku basi tayari ndio ingekuwa michezo ya TFF kila siku kucheza na ratiba kwa sababu wangejua kumbe hakuna kitu chochote...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Faida nzuri ya kilimo utaipata ukitoa bidhaa badala ya malighafi

    Nimeangalia documentary nyingi za kilimo kutoka Australia mpaka Brazil hata Italy, Ghana na South Africa. Kilimo kina faida baada ya uwekezaji mkubwa. Kwanza kilimo chenye faida kina anzia heka 20+. Kupata ukubwa huu wa shamba uweze kulima kwa trekta kutoka kwenye pori si kazi ya mwaka mmoja...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Tanzania Oxygen walalamikia Serikali kutotengeneza barabara nzuri kwenda kwenye visima vyao vya gesi

    Msimu huu ea mvua madereva wa malori ya TOL wamelalamika kuhusu kuisahau barabara ya kutoka Katumba kwenda Mwakaleli ambako huko.kuna visima vyao vya gesi. Wanasema mtwara kwenye gesi wameoeleka barabara nzuri ambako gesi imegunduliwa juzi tu lakini kule kwenye visima vyao serikali haitaki...
  8. Zuia Sayayi

    JamiiForums Tanzania Aina gani ya friji ni nzuri?

    Habari zenu wana Jamvi, naombeni ushauri juu ya hizi fridge zilizopo madukani, ni aina gani ya fridge ni nzuri na inayodum mda mrefu, na ni kitu gani cha kuzingatia wakati wa kununua hizi fridge, maana nmeona kampuni nyingi sana kwa sasa zikiwa zinauza hizi bidhaa. Mfano, jana nmetaka kununua...
  9. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Pikipiki gani ya kichina ni nzuri kati ya hizi?

    Ninataka kutafuta pikipiki kwa ajili ya bodaboda na kutembelea pia.Ninataka kufahamu je ni pikipiki gani ya kichina ambayo angalau ina ubora kiasi kati ya hizi Fekon SanLG King Lion T better
  10. baba mausingizi

    JamiiForums Tanzania Natafuta IST iliyo kwenye hali nzuri

    Natafuta IST iliyo kwenye hali nzuri, iwe haijawahi pata ajali, haijarudiwa rangi no D. Offer yangu ni milioni 7. Mawasiliano ni 0766049522.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wanasiasa wanaotaka kuacha legacy nzuri na ya kudumu

    Wanasiasa, na hata Wanaharakati wengi duniani, wakiwemo wa nchi hii (including the late Magufuli) wanaonekana kupenda sana kuja kukumbukwa baadae hata na vizazi vijavyo, ila hawaelewi wafanye nini waache legacy na hata historia imeshindwa kuwasaidia ni namna gani wanaweza kuacha legacy. In...
  12. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Nahitaji laptop sharti iwe kwenye hali nzuri

    Naomba kuuliza mwenye laptop anauza. RAM iwe kuanzia 3GB na kuendelea. Hard disc kuanzia 200 na kuendelea. Ikae na charge kuanzia masaa mawili na kuendelea. Bei isizidi laki tatu Kama unayo comments chini nikufate au njoo pm. NB: Nipo Dodoma
  13. King snr

    JamiiForums Tanzania Ni pikipiki gani nzuri kwa bodaboda?

    Habari zenu wakuu, Naomba kujua pikipiki nzuri kwa ajili ya boda boda nahitaji kununua pikipiki used nijaribu biashara ya bodaboda
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mazao jamii ya maharage ni fursa nzuri ya biashara

    Mazao jamii ya maharage ni maharage, kunde, choroko, mbaazi, njugumawe nk. Kutokana na idadi ya wasio kula nyama duniani kuongezeka soko la mazao haya limeongezeka sana. Mazao haya hutumiwa na watu wa dini na race zote. Licha ya mabara mengi kuwa watumiaji wazuri wa mazao haya, Afrika ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Biashara United FC 'Akhsanteni' kwa kufanya 'Biashara' nzuri sana na Yanga Hersi GSM FC

    Nipo katika Mpira wa 'Bongo' na bahati nzuri hata Michezo yote ya 'Kimjini Mjini' naijua na hata Kushiriki nimeshiriki pia hivyo nasubiri leo Biashara United FC afungwe Magoli 4 au 7 aliyofanya 'Biashara' ili nije 'nifunguke' kila Kitu hapa. Na mtaniambia kwanini Viongozi wa Biashara United FC...
  16. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 25, naweza kuwekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?

    Nina milioni 25, naweza wekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi? Wadau mawazo yenu Tafadhali. Mchango wa mdau Pia soma: Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?
  17. F

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Wanaouguza wazee na vijana, ninauza wheelchair nzuri za mtumba kwa bei nafuu

    Habari wadau.. Nauza wheel chair za mtumba.. nzuri kabisa zipo mbili.. Yenye draft draft bei yake ni Tsh. 200,000. na nyingine nyeusi bei yake ni Tsh 150,000. Namba ya simu ni 0692 275 229
  18. J

    JamiiForums Tanzania Makamba: Kurekebisha alichofanya Hayati Magufuli sio usaliti. Dalili nilizoanza kuziona si nzuri

    Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kifo cha Magufuli kimeleta kipindi cha mpito chenye wasiwasi ila Rais Samia Suluhu ameanza vizuri kuendeleza yale aliyoacha Rais na kufanya marekebisho na mashahihisho pale panapostahili Makamba ameongea kauli za kutiliana shaka, utengano, kuhukumiana...
  19. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

    Kwa mapenzi mema namshauri Konde boy aache kutumia poda, ajifunze kwa kaka zake waliopotea kwa kuendekeza poda. Management yake msimuogope boss wenu msaidieni kabla gari haijawaka, ikiwaka hakuna sober house itayomsaidia. Haya mengine mengi mnayoyasikia ni matokeo ya stress na kuchanganywa na...
  20. Annny

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua browser nzuri yenye kudownload kama torch (altenative ya torch browser)

    Waungwana naombeni msaada tutani. Nilikuwa natumia Torch broswer kushusha nyimbo na movies, sasa naona kwenye local internet yangu imepigwa burn. Naombeni mwenye kujua altenative ya hii kitu tafadhari. Nashukuru kwa msaada. Annny
Back
Top Bottom